UTAMU WA KUNGUMANGA
Mwanamke jicho la nyege
Jicho la mahabaaa
Jicho la kumuita bwanaaaa
Jinsi ya kuziandaa
Nunua kukumanga zako weka ndani zihifadhi kwenye chupa ya kigae zisipate baridi
Chukua kukumanga zako2 ziponde huku unazisemea kungu nakufunda na nakutuma
Nataka nitakapokula ww kungu unilegeze jicho liwe la kuvutia
Nataka huyu mwanaume nimpe style ambazo sijawahi kumpa
Nataka nimkatie mauno ambayo sijawahi kumkatia
Na kama unakula na mumeo pia unamnuilia Nataka huyu mwanaume leo anipe raha ambazo hajawahi nipa
Yaaaani wkt unazifunda unasema hayo maneno huku unakata mauno ya taratiiibu
Ukimaliza weka kungu zako pembeni
Chukua kisufuria chako pika uji vikombe viwili
Tia sukari na chumvi
Ukiiva mwisho ukiita kuutegua koroga kungu zako tia changanya vzr epua
Upoze kidogo weka kwenye vikombe nenda kanywe na mumeo
Kama una mechi usiku kula mchana saa6 au 7
Mpk usiku utaona macho mazito umekaa kinyegenyege tu
Kungu inachukua masaa ma4 au 5 kukukamata
Mwari mda ukifika jipure mamy unukie na vimake up vyako simple na mumeo umfukize udi
Umvalie shanga
Uvae vijikanga vyako vyeupeeee uvifukize kipande kimoja chako chengine ajifunge mumeo
Hayaaa sasa anza kudeka mtoto wa kike
Vp unakuwa mtamu unapokula kukumanga!!!!!???
Mwari ukila kukumanga unakuwa mtamu sijuiiiii nikwambie nini mwari wangu tena haswa mkila wote
Woooow usiku kucha bwana hakuachi ni raha tuuuu na asubuhi kazi moja mpk ziishe nguvu
Baaas pale mnapoandaana jamani hamtaki kuachiana
Sikwambii dyudyu likiingia yani havielezekiiii
Style zinakuja zenyeweee wala huzijui nakwambiaaa
Kungu zinakufanya uwe very romantic loveee
Kiuno kinakuwa laini
Nasema hiviiiiiii kanunue kukumanga ulete mrejesho hapaaaa
By irwin
πππππππππ
πUTAMU WA KUNGUMANGAπ
πMwanamke jicho la nyege
πJicho la mahabaaa
πJicho la kumuita bwanaaaa
πππππππππ
Jinsi ya kuziandaa
πππππππππ
πNunua kukumanga zako weka ndani zihifadhi kwenye chupa ya kigae zisipate baridi
πChukua kukumanga zako2 ziponde huku unazisemea kungu nakufunda na nakutuma
πNataka nitakapokula ww kungu unilegeze jicho liwe la kuvutia
πNataka huyu mwanaume nimpe style ambazo sijawahi kumpa
πNataka nimkatie mauno ambayo sijawahi kumkatia
πNa kama unakula na mumeo pia unamnuilia πNataka huyu mwanaume leo anipe raha ambazo hajawahi nipa
πYaaaani wkt unazifunda unasema hayo maneno huku unakata mauno ya taratiiibu
πUkimaliza weka kungu zako pembeni
πChukua kisufuria chako pika uji vikombe viwili
πTia sukari na chumvi
πUkiiva mwisho ukiita kuutegua koroga kungu zako tia changanya vzr epua
πUpoze kidogo weka kwenye vikombe nenda kanywe na mumeo
πKama una mechi usiku kula mchana saa6 au 7
πMpk usiku utaona macho mazito umekaa kinyegenyege tu
πKungu inachukua masaa ma4 au 5 kukukamata
πMwari mda ukifika jipure mamy unukie na vimake up vyako simple na mumeo umfukize udi
πUmvalie shanga
πUvae vijikanga vyako vyeupeeee uvifukize kipande kimoja chako chengine ajifunge mumeo
πHayaaa sasa anza kudeka mtoto wa kike
πVp unakuwa mtamu unapokula kukumanga!!!!!???
πMwari ukila kukumanga unakuwa mtamu sijuiiiii nikwambie nini mwari wangu tena haswa mkila wote
πWoooow usiku kucha bwana hakuachi ni raha tuuuu na asubuhi kazi moja mpk ziishe nguvu
πBaaas pale mnapoandaana jamani hamtaki kuachiana
πSikwambii dyudyu likiingia yani havielezekiiii
πStyle zinakuja zenyeweee wala huzijui nakwambiaaa
πKungu zinakufanya uwe very romantic loveee
πKiuno kinakuwa laini
πNasema hiviiiiiii kanunue kukumanga ulete mrejesho hapaaaa
πππππππππ
By irwin
Β·118 Views