Marekani Hiko Karibu Kupiga Marufuku TikTok!
Senati ya Marekani imepitisha sheria ya kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo. Hatua hii inangojea saini ya mwisho kutoka kwa Rais Biden, ambaye ameonyesha nia ya kuidhinisha.
Iwapo TikTok haitauzwa kwa kampuni ya Marekani ndani ya miezi mitano ijayo, Apple na Google watalazimika kuondoa programu hiyo kutoka kwa maduka yao ya App Store na Google Play.
Nini kitafuata?
Tunasubiri Rais Biden asaini sheria hii. Tukishapata taarifa mpya, nitahakikisha kuwa nakushirikisha kupitia chaneli hii ya Telegramu ya https://t.me/Ulimwengu_Wako
#TikTok #Marufuku #Marekani #Habari

Marekani Hiko Karibu Kupiga Marufuku TikTok! ๐บ๐ธ
Senati ya Marekani imepitisha sheria ya kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo. Hatua hii inangojea saini ya mwisho kutoka kwa Rais Biden, ambaye ameonyesha nia ya kuidhinisha. โ๏ธ
Iwapo TikTok haitauzwa kwa kampuni ya Marekani ndani ya miezi mitano ijayo, Apple na Google watalazimika kuondoa programu hiyo kutoka kwa maduka yao ya App Store na Google Play.
Nini kitafuata?โณ

ยท538 Views