Kuomba ni Aibu ya Kwanza
Kunyimwa ni Aibu ya pili
Kutangazwa kuwa Umeomba ni Aibu ya Tatu
Allaah Atujalie Riziki Tuepukane na Aibu za Dunia 🤲🏾
Kuomba ni Aibu ya Kwanza Kunyimwa ni Aibu ya pili Kutangazwa kuwa Umeomba ni Aibu ya Tatu Allaah Atujalie Riziki Tuepukane na Aibu za Dunia 🤲🏾
Like
Love
2
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·92 Views