Mise à niveau vers Pro

Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ halita waandikisha wahitimu wa darasa la saba kufuatia maelekezo ya serikali juu ya uandikishaji wa ajira za jeshi.Naibu wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Godfrey Pinda amesema leo Bungeni Mei 20,2024 kwa niaba ya Waziri wa ulinzi na jesi la kujenga taifa.

"Serikali imeondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanao hitimu darasa la saba."amesema Pinda.
Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ halita waandikisha wahitimu wa darasa la saba kufuatia maelekezo ya serikali juu ya uandikishaji wa ajira za jeshi.Naibu wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Godfrey Pinda amesema leo Bungeni Mei 20,2024 kwa niaba ya Waziri wa ulinzi na jesi la kujenga taifa. "Serikali imeondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanao hitimu darasa la saba."amesema Pinda.
Like
Love
2
2 Commentaires ·164 Vue