Upgrade to Pro

Miaka 19 iliyopita nilikua miongoni mwa Watanzania wanaotumiwa pesa kutoka Mikoani kwa Basi la Scandinavia kuja DSM alafu nazipokelea kwenye Ofisi yao pale Kamata Kariakoo Ma-legend watanielewa vizuri hapo, yani kutuma pesa haikuwa rahisi kama ilivyorahisishwa sasa na TIGO PESA.

Enzi hizo kabla Tanzania haijabahatika kuwa na TIGO PESA nilishawahi kutumwa pesa na Mjomba nikazibeba kutoka Dar kupeleka Arusha kwa Basi la Ngorika (kama laki 3 na nusu hivi) na hiyo safari ilikua maalum tu ya kupeleka pesa lakini kuanzia September 2010 TIGO PESA ilipozaliwa hajatumwa Mtu tena, ni Watu na viganja vyao tu.

Mwaka 2014 TIGO waliitambulisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza APP ya TIGO PESA ambayo kwa miaka yote hiyo ilitokea kupendwa na wengi kutokana na viwango vyake vya ubora lakini kama vile haitoshi, leo Kampuni ya TIGO imeifanyia mabadiliko makubwa hadi kufikia kiwango cha SUPER APP kwa kuiongezea teknolojia ya juu na vitu vingi vya kijanja na vya kumrahisishia maisha Mtanzania.

Afisa Mkuu wa TIGO PESA Angelica Pesha amezitaja Sifa chache kati ya nyingi za SUPER APP ukiwemo mionekano mitatu tofauti, teknolojia ya hali ya juu ikiwemo akili bandia ( A.I), unaweza kutuma pesa kwa Watu watano tofauti kwa mkupuo ( mfano mshahara) na kila Mtu ukamtumia kiasi chake bila kulazimika kufanya muamala mmojammoja, ni APP ambayo inazo APP nyingine ndani mfano DSTV na App ya malipo/madeni ya Serikali hivyo inarahisisha Mtumiaji kuangalia madeni kwa urahisi.

App hii ambayo inapatikana kwa wanaotumia APP STORE na PLAY STORE, inamruhusu Mtumiaji kuweka account zake 5 za TIGO PESA kwa wakati mmoja, kupitia kipengele cha GIFT MONEY inamruhusu Mtumiaji pia kutuma pesa kama zawadi na kumuandikia anayemtumia maneno anayotaka yamfikie sambamba na muamala huo na mengine, tazama video hapa instagram.com/reel/C7N9vXHCj…
Miaka 19 iliyopita nilikua miongoni mwa Watanzania wanaotumiwa pesa kutoka Mikoani kwa Basi la Scandinavia kuja DSM alafu nazipokelea kwenye Ofisi yao pale Kamata Kariakoo πŸ˜ƒ Ma-legend watanielewa vizuri hapo, yani kutuma pesa haikuwa rahisi kama ilivyorahisishwa sasa na TIGO PESA. Enzi hizo kabla Tanzania haijabahatika kuwa na TIGO PESA nilishawahi kutumwa pesa na Mjomba nikazibeba kutoka Dar kupeleka Arusha kwa Basi la Ngorika (kama laki 3 na nusu hivi) na hiyo safari ilikua maalum tu ya kupeleka pesaπŸ˜ƒ lakini kuanzia September 2010 TIGO PESA ilipozaliwa hajatumwa Mtu tena, ni Watu na viganja vyao tu. Mwaka 2014 TIGO waliitambulisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza APP ya TIGO PESA ambayo kwa miaka yote hiyo ilitokea kupendwa na wengi kutokana na viwango vyake vya ubora lakini kama vile haitoshi, leo Kampuni ya TIGO imeifanyia mabadiliko makubwa hadi kufikia kiwango cha SUPER APP kwa kuiongezea teknolojia ya juu na vitu vingi vya kijanja na vya kumrahisishia maisha Mtanzania. Afisa Mkuu wa TIGO PESA Angelica Pesha amezitaja Sifa chache kati ya nyingi za SUPER APP ukiwemo mionekano mitatu tofauti, teknolojia ya hali ya juu ikiwemo akili bandia ( A.I), unaweza kutuma pesa kwa Watu watano tofauti kwa mkupuo ( mfano mshahara) na kila Mtu ukamtumia kiasi chake bila kulazimika kufanya muamala mmojammoja, ni APP ambayo inazo APP nyingine ndani mfano DSTV na App ya malipo/madeni ya Serikali hivyo inarahisisha Mtumiaji kuangalia madeni kwa urahisi. App hii ambayo inapatikana kwa wanaotumia APP STORE na PLAY STORE, inamruhusu Mtumiaji kuweka account zake 5 za TIGO PESA kwa wakati mmoja, kupitia kipengele cha GIFT MONEY inamruhusu Mtumiaji pia kutuma pesa kama zawadi na kumuandikia anayemtumia maneno anayotaka yamfikie sambamba na muamala huo na mengine, tazama video hapa instagram.com/reel/C7N9vXHCj…
Like
Love
Haha
9
7 Comments Β·641 Views