Upgrade to Pro

Timu ya klabu ya Chelsea itashirika michuano ya Europa Conference League baada ya timu ya Man United kutwa kombe la FA dhidi ya Man City

Kwenye michuano hiyo, Chelsea itaanzia hatua ya Play-offs ambayo itachezwa mwezi wa nane mwishoni

Kwangu mimi nimeona ni bora tukaanzie huko maana timu yetu naona kama bado haitaweza kupamba Europa League kwa kocha mgeni, maboss wanataka kocha ambaye atakubali kufundisha timu bila kuhusika kwenye usajili au uuzaji wa wachezaji, jambo ambalo litakuwa gumu kwa makocha wenye CV nzuri

Mpaka sasa Chelsea inahusishwa na makocha wanne
1. Enzo Marezsca aliyeipandisha Leicester City ligi
kuu (EPL)
2. Kieran McKenna aliyeipandisha Ipswich ligi ya
championship msimu ule uliopita na kuipandisha
tena EPL msimu huu ulioisha EPL
3. Thomas Frank kocha wa Brentford anasifiwa kwa
namna timu yake inacheza
4. Kocha huyu haku wekwa wazi na timu ya Chelsea
bali walisema tu ni kocha ambaye anasifika kwa
kiwango cha timu yake. Kuna taarifa zinasema
anaweza kuwa Roberto De Zerbi aliyekuwa kocha
wa Brighton au Reuben Amorim kocha wa
Sporting Lisbon ya Ureno. Hii taarifa haija
hakikishwa na source kama Sky sports news au
Fabrizio Romano

Kwa hao makocha wote hapo juu lazima wakubaliane na falsafa ya maboss wa Chelsea ya kuwa watahusika na kufundisha timu tu basi, na siyo kuhusika na usijali
Timu ya klabu ya Chelsea itashirika michuano ya Europa Conference League baada ya timu ya Man United kutwa kombe la FA dhidi ya Man City Kwenye michuano hiyo, Chelsea itaanzia hatua ya Play-offs ambayo itachezwa mwezi wa nane mwishoni Kwangu mimi nimeona ni bora tukaanzie huko maana timu yetu naona kama bado haitaweza kupamba Europa League kwa kocha mgeni, maboss wanataka kocha ambaye atakubali kufundisha timu bila kuhusika kwenye usajili au uuzaji wa wachezaji, jambo ambalo litakuwa gumu kwa makocha wenye CV nzuri Mpaka sasa Chelsea inahusishwa na makocha wanne 1. Enzo Marezsca aliyeipandisha Leicester City ligi kuu (EPL) 2. Kieran McKenna aliyeipandisha Ipswich ligi ya championship msimu ule uliopita na kuipandisha tena EPL msimu huu ulioisha EPL 3. Thomas Frank kocha wa Brentford anasifiwa kwa namna timu yake inacheza 4. Kocha huyu haku wekwa wazi na timu ya Chelsea bali walisema tu ni kocha ambaye anasifika kwa kiwango cha timu yake. Kuna taarifa zinasema anaweza kuwa Roberto De Zerbi aliyekuwa kocha wa Brighton au Reuben Amorim kocha wa Sporting Lisbon ya Ureno. Hii taarifa haija hakikishwa na source kama Sky sports news au Fabrizio Romano Kwa hao makocha wote hapo juu lazima wakubaliane na falsafa ya maboss wa Chelsea ya kuwa watahusika na kufundisha timu tu basi, na siyo kuhusika na usijali
Like
Love
Haha
7
6 Comments ·554 Views