Kuna wakati wa kulia
Na Kuna wakati wa kucheka
Na Kuna wakati wa shida
Ila vyote vipindi
Vya maisha
Na Kuna wakati wa kucheka
Na Kuna wakati wa shida
Ila vyote vipindi
Vya maisha
Kuna wakati wa kulia
Na Kuna wakati wa kucheka
Na Kuna wakati wa shida
Ila vyote vipindi
Vya maisha
