• Quality is Permanent
    Quality is Permanent 🐐
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·0 Visualizações
  • Class is Temporary
    Class is Temporary 🐑
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·0 Visualizações
  • HABARI GANI???
    HABARI GANI???
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • Chelsea wameweka bei ya pauni milioni 100 kwa mshambuliaji wao Nicolas Jackson, wakitoa ujumbe wazi kwa vilabu vinavyomtaka kuwa hawako tayari kumuachia kirahisi.

    #SportsElite
    Chelsea wameweka bei ya pauni milioni 100 kwa mshambuliaji wao Nicolas Jackson, wakitoa ujumbe wazi kwa vilabu vinavyomtaka kuwa hawako tayari kumuachia kirahisi. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • Frankie De Jong yuko karibu kuongeza mkataba Barcelona hadi 2029.

    (Source: @NicoSchira)

    #SportsElite
    🚨 Frankie De Jong yuko karibu kuongeza mkataba Barcelona hadi 2029. (Source: @NicoSchira) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • 🏟 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: Fainali ya Kombe la Dunia 2030 itapigwa katika Uwanja wa Santiago Bernabéu uliokarabatiwa upya!

    FIFA na Real Madrid tayari wamefikia makubaliano kuhusu uwanja huo kuwa mwenyeji wa tukio hilo kubwa duniani!

    #SportsElite
    🏟👑 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: Fainali ya Kombe la Dunia 2030 itapigwa katika Uwanja wa Santiago Bernabéu uliokarabatiwa upya! FIFA na Real Madrid tayari wamefikia makubaliano kuhusu uwanja huo kuwa mwenyeji wa tukio hilo kubwa duniani! 🌍⚽ #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko kwenye majadiliano na Tottenham ili kumsajiri kiungo Yves Bissouma, ikiwa ni tageti ya José Mourinho.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko kwenye majadiliano na Tottenham ili kumsajiri kiungo Yves Bissouma, ikiwa ni tageti ya José Mourinho. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • Manchester United imepokea ofa ya £6M kwa uhamisho wa Anthony Elanga kwenda Newcastle.

    (Source: @sistoney67)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United imepokea ofa ya £6M kwa uhamisho wa Anthony Elanga kwenda Newcastle. (Source: @sistoney67) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • Aston Villa iko karibu kukamilisha usajiri wa golikipa wa Brest Marco Bizot.

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa iko karibu kukamilisha usajiri wa golikipa wa Brest Marco Bizot. (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • Tottenham Hotspur bado Ina nia ya kumsaini Yoane Wissa.

    Japokuwa bado hakuna mawasiliano yoyote tangu dau lilipo wekwa bayana £50M.

    (Source: Standard Sport)

    #SportsElite
    🚨 Tottenham Hotspur bado Ina nia ya kumsaini Yoane Wissa. Japokuwa bado hakuna mawasiliano yoyote tangu dau lilipo wekwa bayana £50M. (Source: Standard Sport) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo.

    Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea..

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo. 💚 Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea.. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wesley yuko karibu kujiunga na AS Roma kutokea Flamengo, kwa mkataba hadi 2030.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wesley yuko karibu kujiunga na AS Roma kutokea Flamengo, kwa mkataba hadi 2030. ❤️💛
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyokeres ameuambia uongozi wa Sporting CP nia yake ya kwenda Arsenal, tayari Vilabu vyote viwili viko kwenye majadiliano na dili €80M.

    Gyokeres amekuwa chaguo la Arsenal tangu September mwaka Jana..

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyokeres ameuambia uongozi wa Sporting CP nia yake ya kwenda Arsenal, tayari Vilabu vyote viwili viko kwenye majadiliano na dili €80M. 🔴⚪🇸🇪⌛ Gyokeres amekuwa chaguo la Arsenal tangu September mwaka Jana.. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • | BREAKING

    Crystal Palace imepanga kukata rufaa ili kupinga uamuzi wa UEFA kuwashusha kutoka kushiriki EUROPA hadi kushiriki Conference League.

    Nafasi ya ushiriki wa EUROPA ambayo ilikuwa ni ya Crystal Palace atashiriki Nottingham Forest na Palace watashiriki Conference kama mambo yatabakia hivi.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING Crystal Palace imepanga kukata rufaa ili kupinga uamuzi wa UEFA kuwashusha kutoka kushiriki EUROPA hadi kushiriki Conference League. Nafasi ya ushiriki wa EUROPA ambayo ilikuwa ni ya Crystal Palace atashiriki Nottingham Forest na Palace watashiriki Conference kama mambo yatabakia hivi. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·10 Visualizações
  • RASMI

    UEFA imetangaza kuwa Crystal Palace hawatashiriki EUROPA LEAGUE licha ya kufanikiwa kufuzu kushiriki mashindano hayo.

    Sababu kuu ni uwepo wa Olympique Lyonnais kwenye mashindano hayo, timu zote mbili zipo chini ya mmiliki mmoja.

    Crystal Palace atakuwa na nafasi ya kushiriki Conference League badala ya EUROPA kutokana na sheria.

    #SportsElite
    RASMI ✍️ UEFA imetangaza kuwa Crystal Palace hawatashiriki EUROPA LEAGUE licha ya kufanikiwa kufuzu kushiriki mashindano hayo. Sababu kuu ni uwepo wa Olympique Lyonnais kwenye mashindano hayo, timu zote mbili zipo chini ya mmiliki mmoja. Crystal Palace atakuwa na nafasi ya kushiriki Conference League badala ya EUROPA kutokana na sheria. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·9 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona..

    Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona.. Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia. 🇸🇪 #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·14 Visualizações
  • Boca Juniors wamemsajili tena kiungo Leandro Paredes kutoka AS Roma kwa ada ambayo haijafichuliwa!

    Paredes anarudi nyumbani alikoanzia, akiwa tayari kuipa nguvu safu ya kiungo ya Boca!

    #SportsElite
    🆕 Boca Juniors wamemsajili tena kiungo Leandro Paredes kutoka AS Roma kwa ada ambayo haijafichuliwa! 🔵🟡 Paredes anarudi nyumbani alikoanzia, akiwa tayari kuipa nguvu safu ya kiungo ya Boca! ✨🏟️ #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·8 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi

    Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba..

    Konaté anataka kwenda Real Madrid.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi🤯🤯 Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba.. Konaté anataka kwenda Real Madrid. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·9 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Thiago Almada yuko mbioni kujiunga na Benfica akitokea Botafogo, na mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Thiago Almada yuko mbioni kujiunga na Benfica akitokea Botafogo, na mkataba hadi 2030. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·5 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović

    Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović 🍒 Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·13 Visualizações
Páginas impulsionada