Upgrade to Pro

  • Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi CS Constantine.

    #paulswai
    Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi CS Constantine. #paulswai
    Love
    1
    Β·8 Views
  • ILA MUTALE MCHOKOZI SANA | MUONE ALIVYOCHEZEA KIPARA CHA ATEBA
    #paulswai
    ILA MUTALE MCHOKOZI SANA | MUONE ALIVYOCHEZEA KIPARA CHA ATEBA πŸ˜‚ #paulswai
    Β·13 Views
  • Kadiri siku ya mwisho ya amri ya kupiga marufuku au kuuzwa kwa TikTok inavyokaribia Januari 19, 2025, Watumiaji wengi wa TikTok kutoka Marekani wamehamia kwenye Xiaohongshu, jukwaa maarufu la miandao wa kijamii la Kichina.

    Hii inakuja baada ya amri inayotaka kampuni mama ya TikTok, ByteDance, kuuza biashara yake ya Marekani au kukabiliwa na kupigwa marufuku kutokana na wasiwasi wa usalama wa kitaifa.

    Watumiaji wengi wa TikTok wanapigania marufuku hiyo kwa kuhamia Xiaohongshu, na kuitwa wakimbizi wa TikTok. Hali iliyopeleka pelekea Xiaohongshu kupanda kwenye orodha ya programu zinazopakuliwa zaidi.

    Hata hivyo, baadhi ya Wanaharakati wa Kichina wanakosoa hatua hii, wakisema inapuuzia mbali mateso halisi ya Watu chini ya utawala wa China. Kwa upande mwingine, mamlaka za China zinaona hili kama fursa ya kupanua ushawishi wao duniani, na Xiaohongshu inaboresha zana za tafsiri ili kuwezesha mawasiliano na Watumiaji wa kimataifa.

    Kadiri siku ya mwisho ya amri ya kupiga marufuku au kuuzwa kwa TikTok inavyokaribia Januari 19, 2025, Watumiaji wengi wa TikTok kutoka Marekani wamehamia kwenye Xiaohongshu, jukwaa maarufu la miandao wa kijamii la Kichina. Hii inakuja baada ya amri inayotaka kampuni mama ya TikTok, ByteDance, kuuza biashara yake ya Marekani au kukabiliwa na kupigwa marufuku kutokana na wasiwasi wa usalama wa kitaifa. Watumiaji wengi wa TikTok wanapigania marufuku hiyo kwa kuhamia Xiaohongshu, na kuitwa wakimbizi wa TikTok. Hali iliyopeleka pelekea Xiaohongshu kupanda kwenye orodha ya programu zinazopakuliwa zaidi. Hata hivyo, baadhi ya Wanaharakati wa Kichina wanakosoa hatua hii, wakisema inapuuzia mbali mateso halisi ya Watu chini ya utawala wa China. Kwa upande mwingine, mamlaka za China zinaona hili kama fursa ya kupanua ushawishi wao duniani, na Xiaohongshu inaboresha zana za tafsiri ili kuwezesha mawasiliano na Watumiaji wa kimataifa.
    Β·31 Views
  • Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126).

    Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester.

    "Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland

    Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City.

    "Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.

    Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126). Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester. "Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City. "Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.
    Β·36 Views
  • “Maandalizi yapo vizuri tunamshukuru mwenyezi Mungu, sisi kama Yanga SC tupo vizuri kabisa kwa mchezo. Tumefanya maandalizi makubwa na yapo sawa tuwaachie tu mashabiki waje uwanjani”

    “Sisi tunataka kwenda robo fainali ya CAF champions League, tunataka tuingie kwenye Top 5 ya klabu bora barani Afrika, kwa mujibu wa taratibu wa renki za klabu kwa ubora barani Afrika tukishinda kesho tunapata point 39 tunataka nafasi ya tano na inakuwa mara ya kwanza klabu ya Tanzania na Afrika mashariki kufika nafasi ya tano, tuna vitu vingi vyakutusukuma kwenda kupambana kesho kupata maatokeo mazuri”

    “Malengo makubwa ambayo viongozi waliyatoa mapema ni kufika tulipofika msimu uliopita yaani tukifika robo fainali tutakuwa tumefikia malengo yetu ya michuano ya kimataifa baada ya hapo gari itakuwa imekata breki ila atakayekuja mbele yeyote yule tutamfokea na kuruka naye sababu itakuwa tayari presha imeshaondoka”

    “Kwanza tumalize mchezo wa kesho kwa wana Yanga njooni tukajaze uwanja,tukamchinje mwarabu, na kuhusu mauzo ya tiketi yanakwenda vizuri” - Ally Kamwe Msemaji wa Klabu ya Yanga SC.

    “Maandalizi yapo vizuri tunamshukuru mwenyezi Mungu, sisi kama Yanga SC tupo vizuri kabisa kwa mchezo. Tumefanya maandalizi makubwa na yapo sawa tuwaachie tu mashabiki waje uwanjani” “Sisi tunataka kwenda robo fainali ya CAF champions League, tunataka tuingie kwenye Top 5 ya klabu bora barani Afrika, kwa mujibu wa taratibu wa renki za klabu kwa ubora barani Afrika tukishinda kesho tunapata point 39 tunataka nafasi ya tano na inakuwa mara ya kwanza klabu ya Tanzania na Afrika mashariki kufika nafasi ya tano, tuna vitu vingi vyakutusukuma kwenda kupambana kesho kupata maatokeo mazuri” “Malengo makubwa ambayo viongozi waliyatoa mapema ni kufika tulipofika msimu uliopita yaani tukifika robo fainali tutakuwa tumefikia malengo yetu ya michuano ya kimataifa baada ya hapo gari itakuwa imekata breki ila atakayekuja mbele yeyote yule tutamfokea na kuruka naye sababu itakuwa tayari presha imeshaondoka” “Kwanza tumalize mchezo wa kesho kwa wana Yanga njooni tukajaze uwanja,tukamchinje mwarabu, na kuhusu mauzo ya tiketi yanakwenda vizuri” - Ally Kamwe Msemaji wa Klabu ya Yanga SC.
    Β·29 Views
  • Wabunge wa Marekani wamemtaka Rais wa Nchi hiyo J. Biden kutohufungia mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo ifikapo Jumapili na kutoa tahadhari juu ya mamillioni ya Wabunifu wa mtandao huo wanaweza kuathiriwa na kitendo hicho.

    "Tunaomba iwepo njia ya kujaribu kusuluhisha suala hili kwa busara ili TikTok isijikute katika hali ngumu" amekaririwa akisema Seneta mmoja kutoka Democratic aitwaye Ed Markey

    Hata hivyo Kiongozi wa Democratic katika Baraza la Seneti Chuck Schumer alizungumza na J. Biden na kumtaka kuongeza muda wa mwisho wa siku (90) kwa kampuni inayomiliki TikTok kutoka Nchini China ya ByteDance ili kuuza mali za TikTok kwa Mmarekani na kuzuia marufuku ya mtandao huo unaotumiwa na Wamarekani zaidi millioni (170).

    Ikumbukwe kwamba ugomvi baina ya Nchi ya Marekani na Wamiliki wa TikTok ni kuwa TikTok ilikataa kutoa nafasi kwa Nchi ya Marekani kuingilia ubinafsi (Private) wa Watumiaji wa mtandao huo ambapo Nchi ya Marekani inadai kuwa mtandao huo unatumiwa na Nchi ya China kuingilia mambo ya ndani ya Marekani .

    Ili mtandao huo wa TikTok uruhusiwe Nchini Marekani, Nchi hiyo ilitoa aina mbili za makubaliao. Mosi ni mtandao huo kukubali Nchi ya Marekani kuingia ndani ya mtandao ili ifahamu kinachoendelea au kukubali kuuza hisa (share) kwa Mmarekani.

    Wabunge wa Marekani πŸ‡ΊπŸ‡Έ wamemtaka Rais wa Nchi hiyo J. Biden kutohufungia mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo ifikapo Jumapili na kutoa tahadhari juu ya mamillioni ya Wabunifu wa mtandao huo wanaweza kuathiriwa na kitendo hicho. "Tunaomba iwepo njia ya kujaribu kusuluhisha suala hili kwa busara ili TikTok isijikute katika hali ngumu" amekaririwa akisema Seneta mmoja kutoka Democratic aitwaye Ed Markey Hata hivyo Kiongozi wa Democratic katika Baraza la Seneti Chuck Schumer alizungumza na J. Biden na kumtaka kuongeza muda wa mwisho wa siku (90) kwa kampuni inayomiliki TikTok kutoka Nchini China ya ByteDance ili kuuza mali za TikTok kwa Mmarekani na kuzuia marufuku ya mtandao huo unaotumiwa na Wamarekani zaidi millioni (170). Ikumbukwe kwamba ugomvi baina ya Nchi ya Marekani na Wamiliki wa TikTok ni kuwa TikTok ilikataa kutoa nafasi kwa Nchi ya Marekani kuingilia ubinafsi (Private) wa Watumiaji wa mtandao huo ambapo Nchi ya Marekani inadai kuwa mtandao huo unatumiwa na Nchi ya China kuingilia mambo ya ndani ya Marekani . Ili mtandao huo wa TikTok uruhusiwe Nchini Marekani, Nchi hiyo ilitoa aina mbili za makubaliao. Mosi ni mtandao huo kukubali Nchi ya Marekani kuingia ndani ya mtandao ili ifahamu kinachoendelea au kukubali kuuza hisa (share) kwa Mmarekani.
    Β·66 Views
  • Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

    Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.
    Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.
    Like
    1
    Β·24 Views
  • ....Kama unaamini huyo demu uliyonae ndo amani ya moyo wako basi,hata Young Africans ukiwauliza watakwambia Khalid Aucho the Tank , Daktari wa Mpira ndio amani ya Timu yao.

    ......Hakuna shaka yoyote kua Khalid Aucho akiwa eneo la kati kati la timu Yang ndani ya uwanja hata wachezaji wenzake huenjoy, halafu juu yake asimame mzenji Mudathiri Yahya aaah ni Raha mtupu.

    .......hata ukicheki mechi Mbili za mwisho za Champions league dhidi ya Tp mazembe ambazo ndio alirejea Kutoka majeruhi Kuna kitu amekiongeza Kwa hali ya juu tofauti na Ile partnership ya Duke abuya na Mudathiri Kuna kitu kilikua kinapungua hasa kwenye ulinzi,yaani yule cover man Kipindi Yanga wanashambulia alikua anakosekana.

    ......You know what ukubali ukatae Khalid Aucho ndio mbeba maono kunako klabu ya Yanga,atapiga pasi fupi fupi,ataipa timu balance ya kucheza,pia atailinda timu mda inashambulia, kwenye nguvu atatumia nguvu , kwenye akili atatumia akili,ni complete namba six.

    ...... Anaitwa Jinja maestro Khalid Aucho Kutoka pale Kwa Rais museveni Uganda.

    Usisahau kufollow Neliud Cosiah
    ....πŸŽ™οΈKama unaamini huyo demu uliyonae ndo amani ya moyo wako basi,hata Young Africans ukiwauliza watakwambia Khalid Aucho the Tank , Daktari wa Mpira ndio amani ya Timu yao. ......Hakuna shaka yoyote kua Khalid Aucho akiwa eneo la kati kati la timu Yang ndani ya uwanja hata wachezaji wenzake huenjoy, halafu juu yake asimame mzenji Mudathiri Yahya aaah ni Raha mtupu. .......hata ukicheki mechi Mbili za mwisho za Champions league dhidi ya Tp mazembe ambazo ndio alirejea Kutoka majeruhi Kuna kitu amekiongeza Kwa hali ya juu tofauti na Ile partnership ya Duke abuya na Mudathiri Kuna kitu kilikua kinapungua hasa kwenye ulinzi,yaani yule cover man Kipindi Yanga wanashambulia alikua anakosekana. ......You know what ukubali ukatae Khalid Aucho ndio mbeba maono kunako klabu ya Yanga,atapiga pasi fupi fupi,ataipa timu balance ya kucheza,pia atailinda timu mda inashambulia, kwenye nguvu atatumia nguvu , kwenye akili atatumia akili,ni complete namba six. ...... Anaitwa Jinja maestro Khalid Aucho Kutoka pale Kwa Rais museveni Uganda. Usisahau kufollow Neliud Cosiah
    Like
    1
    Β·45 Views
  • Mwaka 1961, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Patrice Lumumba, aliuawa mikononi mwa mahasimu wake wa ndani kwa usaidizi wa serikali ya Ubelgiji na CIA baada ya migogoro ya kisiasa.

    Lumumba alikabidhiwa kwa wapinzani wake wa kisiasa na kuuawa kwa kupigwa risasi, huku mwili wake ukiharibiwa ili kuficha ushahidi. Mwaka 2002, Ubelgiji ilikiri kuhusika kwake katika mauaji hayo na kuomba radhi

    Lumumba anakumbukwa kama shujaa wa Afrika, aliyehamasisha mapambano dhidi ya ukoloni.

    Mwaka 1961, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Patrice Lumumba, aliuawa mikononi mwa mahasimu wake wa ndani kwa usaidizi wa serikali ya Ubelgiji na CIA baada ya migogoro ya kisiasa. Lumumba alikabidhiwa kwa wapinzani wake wa kisiasa na kuuawa kwa kupigwa risasi, huku mwili wake ukiharibiwa ili kuficha ushahidi. Mwaka 2002, Ubelgiji ilikiri kuhusika kwake katika mauaji hayo na kuomba radhi Lumumba anakumbukwa kama shujaa wa Afrika, aliyehamasisha mapambano dhidi ya ukoloni.
    Like
    2
    Β·28 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Wachezaji tupo tayari kwa mchezo kesho, tunafahamu utakuwa mchezo mgumu na kila mchezaji anapaswa kuwa tayari kiakili ili kuweza kuhimili presha ya mchezo, umakini ndio jambo ambalo wachezaji tunapaswa kusisitiza, tunafahamu ukifanya makosa katika mechi muhimu kama hii inaweza kuigharimu timu hivyo ni muhimu sana kuongeza umakini” Dickson Job

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    ππ‘π„π’π’πŸ’¬ “Wachezaji tupo tayari kwa mchezo kesho, tunafahamu utakuwa mchezo mgumu na kila mchezaji anapaswa kuwa tayari kiakili ili kuweza kuhimili presha ya mchezo, umakini ndio jambo ambalo wachezaji tunapaswa kusisitiza, tunafahamu ukifanya makosa katika mechi muhimu kama hii inaweza kuigharimu timu hivyo ni muhimu sana kuongeza umakini” Dickson Job #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    Like
    2
    Β·79 Views
  • Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuzifungia laini za simu 12,896 kutokana na kujihusisha na vitendo vya ulaghai wa mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

    Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabir Bakari amesema matukio ya ulaghai kwa njia ya simu yamepungua kwa asilimia 19 kutoka laini za simu 16,002 Julai na Septemba 2024 hadi 12,896 Oktoba na Desemba 2024, ikiwa ni punguzo la laini 3,106.
    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuzifungia laini za simu 12,896 kutokana na kujihusisha na vitendo vya ulaghai wa mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabir Bakari amesema matukio ya ulaghai kwa njia ya simu yamepungua kwa asilimia 19 kutoka laini za simu 16,002 Julai na Septemba 2024 hadi 12,896 Oktoba na Desemba 2024, ikiwa ni punguzo la laini 3,106.
    Β·27 Views
  • Wizara ya Fedha imewatahadharisha wastaafu wote nchini kuwa makini na ujumbe mfupi unaotumwa wa kitapeli, ukionesha mtu aliyetumiwa ujumbe alipigiwa simu na Hazina na hakupatikana, na anahitajika kufika Ofisi za Hazina Ndogo huku ukimtaka apige simu kwa namba zilizoandikwa kwenye ujumbe kwa maelezo zaidi.

    Wizara imesema hakuna zoezi lolote la uhakiki wa mafao linalofanywa na Hazina na huduma za wastaafu hutolewa bure.
    Wizara ya Fedha imewatahadharisha wastaafu wote nchini kuwa makini na ujumbe mfupi unaotumwa wa kitapeli, ukionesha mtu aliyetumiwa ujumbe alipigiwa simu na Hazina na hakupatikana, na anahitajika kufika Ofisi za Hazina Ndogo huku ukimtaka apige simu kwa namba zilizoandikwa kwenye ujumbe kwa maelezo zaidi. Wizara imesema hakuna zoezi lolote la uhakiki wa mafao linalofanywa na Hazina na huduma za wastaafu hutolewa bure.
    Β·31 Views
  • Uingereza na Ukraine zimesaini makubaliano ya miaka 100, huku Uingereza ikiahidi kuipa mkopo kwa ajili ya ununuzi wa silaha na vifaa vya kijeshi vya dola bilioni 2.6 [trilioni 6.5] kwa ajili ya kupambana na uvamizi wa Urusi.

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer amesema mkopo huo hautalipwa na Ukraine bali kutoka kwenye mali za Urusi zilizozuiliwa.
    Uingereza na Ukraine zimesaini makubaliano ya miaka 100, huku Uingereza ikiahidi kuipa mkopo kwa ajili ya ununuzi wa silaha na vifaa vya kijeshi vya dola bilioni 2.6 [trilioni 6.5] kwa ajili ya kupambana na uvamizi wa Urusi. Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer amesema mkopo huo hautalipwa na Ukraine bali kutoka kwenye mali za Urusi zilizozuiliwa.
    Β·40 Views
  • Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara .

    Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla

    Source : @fabriziorom @davidornstein

    Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.!

    #neliudcosih
    Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara . Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla Source : @fabriziorom @davidornstein Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.! πŸ˜€ #neliudcosih
    Β·60 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Naomba niweke wazi, utakuwa ni mchezo mgumu sana, utakuwa mchezo ambao utakuwa na matumizi makubwa ya nguvu, ni mchezo wenye presha kubwa lakini naamini vijana wangu wanaweza kuhimili mikikimikiki hiyo. tunakwenda kuwasha moto kutoka dakika ya kwanza mpaka filimbi ya mwisho” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    ππ‘π„π’π’πŸ’¬ “Naomba niweke wazi, utakuwa ni mchezo mgumu sana, utakuwa mchezo ambao utakuwa na matumizi makubwa ya nguvu, ni mchezo wenye presha kubwa lakini naamini vijana wangu wanaweza kuhimili mikikimikiki hiyo. tunakwenda kuwasha moto kutoka dakika ya kwanza mpaka filimbi ya mwisho” Sead Ramovic #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    Β·91 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    ππ‘π„π’π’πŸ’¬ “Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    Β·87 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic.

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    ππ‘π„π’π’πŸ’¬ “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic. #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    Β·83 Views
  • KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI.

    Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka.

    Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia.

    Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua.

    Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi.

    Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti.

    Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana.

    Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo.

    Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika.

    Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi.

    Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi.

    Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi.

    Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi.

    Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka

    #neliudcosih
    🚨 KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI. Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka. Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia. Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua. Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi. Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti. Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana. Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo. Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika. Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi. Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi. Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi. Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi. ✍️Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka πŸ™Œ #neliudcosih
    Β·62 Views
  • Zuchu amuandikia Diamond Platnumz barua ya wazi kwa madai eti kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM kimemdhalilisha.

    Zuchu amuandikia Diamond Platnumz barua ya wazi kwa madai eti kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM kimemdhalilisha.
    Β·34 Views
  • Van Dijk amezungumzia kuhusu changamoto za Ligi ya Premier League akisema kuwa ingawa klabu haiwezi kuwa kamilifu kila wakati, juhudi zilizowekwa hadi sasa zitawapa imani ya kuendelea na kuonyesha uwezo wao.

    "Hivyo, je, sasa tuko katika mgogoro? Hii inathibitisha tu kwamba Premier League ni Ligi ngumu sana...

    Hatuwezi kuwa wakamilifu kila wakati, lakini kazi ngumu ambayo tumefanya hadi sasa inapaswa kutupa imani ya kutosha kutoka nje na kuonyesha sisi ni nani" Van Dijk

    Van Dijk amezungumzia kuhusu changamoto za Ligi ya Premier League akisema kuwa ingawa klabu haiwezi kuwa kamilifu kila wakati, juhudi zilizowekwa hadi sasa zitawapa imani ya kuendelea na kuonyesha uwezo wao. "Hivyo, je, sasa tuko katika mgogoro? Hii inathibitisha tu kwamba Premier League ni Ligi ngumu sana... Hatuwezi kuwa wakamilifu kila wakati, lakini kazi ngumu ambayo tumefanya hadi sasa inapaswa kutupa imani ya kutosha kutoka nje na kuonyesha sisi ni nani" Van Dijk
    Β·27 Views
More Results