Обновить до Про

  • ."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls

    Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    ."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    1 Комментарии ·341 Просмотры
  • Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..?

    Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..?

    Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji

    Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo

    https://www.nyumbachap.com
    Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..? Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..? Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo 👇 https://www.nyumbachap.com
    ·148 Просмотры
  • Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..?

    Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..?

    Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji

    Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo

    https://www.nyumbachap.com
    Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..? Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..? Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo 👇 https://www.nyumbachap.com
    Like
    Love
    2
    ·155 Просмотры
  • Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..?

    Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..?

    Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji

    Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo

    https://www.nyumbachap.com
    Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..? Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..? Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo 👇 https://www.nyumbachap.com
    Like
    Love
    2
    ·153 Просмотры
  • #MARADHUL_BAWL
    U.T.I
    (Urinary Truck Infections)
    Dawa hii hutibu maradhi yote ya mfumo wa mkojo kama vile mkojo mchafu(U.T.I),Maumivu,kuwasha na mkojo kutoka kwa shida fangasi ukeni,Vijiwe katika figo,gono,kichocho,kaswende,huzibua mirija na mengineyo.
    MATUMIZI:
    Mkubwa:Kunywa vijiko vya chakula 2x2
    Mtoto:Kunywa kijiko cha chai 1x2.
    TIKISA DAWA HII KABLA YA KUTUMIA
    "Hakika Mungu ni mponyaji pekee"
    #Bei chupa 1 ni 10000Tsh na dozi kamili ni chupa 2/3.

    MARADHUL BAWL
    U.T.I
    (Urinary Truck Infection)
    This is natural Sunna Medicine treats all diseases of the urinary system such as dirty urine(UTI).Pain,burning and difficulty starting urination,Kidney stones,Gonorrhoea,Bilharzia,Syphilis,Genital warts,Unblocked tubes and etc.
    USAGE:
    Adult:Use 2 tablespoons to drink twice a day(2x2)
    Child:Use 1 tablespoon to drink twice a day(1x2)
    SHAKE WELL MEDICINE BEFORE USE
    PRODUCED & PACKED BY:
    TWAIB HERBS
    +255767607724
    +255679607724
    #MARADHUL_BAWL U.T.I (Urinary Truck Infections) Dawa hii hutibu maradhi yote ya mfumo wa mkojo kama vile mkojo mchafu(U.T.I),Maumivu,kuwasha na mkojo kutoka kwa shida fangasi ukeni,Vijiwe katika figo,gono,kichocho,kaswende,huzibua mirija na mengineyo. MATUMIZI: Mkubwa:Kunywa vijiko vya chakula 2x2 Mtoto:Kunywa kijiko cha chai 1x2. TIKISA DAWA HII KABLA YA KUTUMIA "Hakika Mungu ni mponyaji pekee" #Bei chupa 1 ni 10000Tsh na dozi kamili ni chupa 2/3. MARADHUL BAWL U.T.I (Urinary Truck Infection) This is natural Sunna Medicine treats all diseases of the urinary system such as dirty urine(UTI).Pain,burning and difficulty starting urination,Kidney stones,Gonorrhoea,Bilharzia,Syphilis,Genital warts,Unblocked tubes and etc. USAGE: Adult:Use 2 tablespoons to drink twice a day(2x2) Child:Use 1 tablespoon to drink twice a day(1x2) SHAKE WELL MEDICINE BEFORE USE PRODUCED & PACKED BY: TWAIB HERBS +255767607724 +255679607724
    Like
    1
    ·109 Просмотры
  • .Nyanda wa klabu ya Yanga, Djigui Diarra ametajwa kwenye orodha ya magolikipa 10 waliotangazwa na Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) wanaowania Tuzo ya Golikipa Bora 2024.

    1.Djigui Diarra - Yanga Sc na Mali

    2.Ronwen Williams - Mameloedi na South Africa

    3.Andre Onana - Man United na Cameroon

    4.0ussama Benbot - Usm Alger na Algeria

    5.Yahia Fofana Angers na lvory coast

    6.Lionel Mpasi - Rodez AF na Dr Congo

    7.Mostafa Shobeir - Al Ahly na Misri

    8.Munir Al Kajoui - RS Berkane na Morocco

    9.Stanley Nwabali -Chipa United na Nigeria

    10. Amanala Memmiche - Esperance na Tunisia

    Golikipa yupi atachomoza na tuzo hii?
    .Nyanda wa klabu ya Yanga, Djigui Diarra ametajwa kwenye orodha ya magolikipa 10 waliotangazwa na Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) wanaowania Tuzo ya Golikipa Bora 2024. 1.Djigui Diarra - Yanga Sc na Mali 2.Ronwen Williams - Mameloedi na South Africa 3.Andre Onana - Man United na Cameroon 4.0ussama Benbot - Usm Alger na Algeria 5.Yahia Fofana Angers na lvory coast 6.Lionel Mpasi - Rodez AF na Dr Congo 7.Mostafa Shobeir - Al Ahly na Misri 8.Munir Al Kajoui - RS Berkane na Morocco 9.Stanley Nwabali -Chipa United na Nigeria 10. Amanala Memmiche - Esperance na Tunisia ✍️ Golikipa yupi atachomoza na tuzo hii?
    Like
    2
    25 Комментарии ·289 Просмотры
  • Tunauza simu iliyo tumika aina ya Tecno spark10 C Kwa Bei nafuu kabisa Tsh 220,000/,
    Pia Tunauza Hard disk 1TB Kwa Bei nafuu kabisa Tsh200,000/.
    Piga simu 0625007469.
    #soccersportstz
    #canadafixiedodds
    #sokachampions
    Tunauza simu iliyo tumika aina ya Tecno spark10 C Kwa Bei nafuu kabisa Tsh 220,000/, Pia Tunauza Hard disk 1TB Kwa Bei nafuu kabisa Tsh200,000/. Piga simu 0625007469. #soccersportstz #canadafixiedodds #sokachampions
    Like
    Love
    3
    1 Комментарии ·580 Просмотры
  • *CODE GENG TECHNOLOGY*
    Tunatoa huduma zifutazo kwa unafuuuu zaidi

    1.Tunatengeneza apk mbalimbali kama vile web,android, ios n.k

    2.Tunatengeneza website ambazo ni za ki professional zaidi

    3.Tuna upload apk kwenye Google playstore, appstore kwa bei nafuuu

    4.Tunatengeneza Google play console

    5.Tuna modify apk mbalimbali

    6.Tunatengeneza game za aina zote

    7.na Kuna huduma zingne ni private ambazo siwez kuziorodhesha kwa msaada zaidi inbox

    5.Huduma za hacking zinapatika na software zake kwa bei lais Sana

    Kama unataka huduma tofauti na zilizo olozeshwa hapo njoo inbox na maelezo ya huduma unayo taka

    Asanteni sana
    *CODE GENG TECHNOLOGY* Tunatoa huduma zifutazo kwa unafuuuu zaidi 1.Tunatengeneza apk mbalimbali kama vile web,android, ios n.k 2.Tunatengeneza website ambazo ni za ki professional zaidi 3.Tuna upload apk kwenye Google playstore, appstore kwa bei nafuuu 4.Tunatengeneza Google play console 5.Tuna modify apk mbalimbali 6.Tunatengeneza game za aina zote 7.na Kuna huduma zingne ni private ambazo siwez kuziorodhesha kwa msaada zaidi inbox 5.Huduma za hacking zinapatika na software zake kwa bei lais Sana Kama unataka huduma tofauti na zilizo olozeshwa hapo njoo inbox na maelezo ya huduma unayo taka Asanteni sana
    Like
    2
    ·301 Просмотры
  • kaka habari ya kazi mimi nilikuwa naomba ushauri mume wangu tulikuwa tuaishi vizuri tu, baadae akaja akabadilika analala nje ukimuuliza anakuwa mkali, basi nikamuacha kumuuliza nikawa navumilia,siku moja akaniambia mke wangu hapa naona maisha yamekuwa magumu nataka niende sehemu nyingine nikatafute hela nikasema sawa baada ya kuondoka akawa hanipigii simu wala kutuma sms,nikimpigia simu kumuambia matumizi ananiambia sina hela yeyote..
    Hivohivo mwisho wa siku akaniambia tusijuane yeye amempata mwanamke anaempenda na mimi nitafute mwanaume niolewe na akaacha kumtafuta maana pale tulipokuwa tunaishi kodi ilikuwa imeisha nikatafuta chumba cha bei nafuu maisha yakaendelea,baada ya mwezi mmoja akanifuta akaniambia nimerudi nilikuwa naomba nije nimsalimie mtoto mimi nikakataa
    Basi yakaendelea akaja akaumwa mtoto nikamuambia akatoa fedha ya matibabu, ndipo nikamuuliza unaishi wapi akaniambia amepanga yupo kutafuta hela akipata ndipo atarudi nyumbani kuishi na sisi. nilikuwa naomba ushauri wenu huyu mwanaume niendelee kumsubiri?
    [ Unaweza kuuza na kununua bidhaa kupitia https://www.niuziechap.co.tz/ ]
    Au jiunge na WhatsApp Channel yangu kwa mahitaji ya Mchumba na Simulizi na video na stories kibao
    Link https://bit.ly/4b6xGV4
    ______________________________________
    ■Kama una jambo linakutatiza usikae nalo linaweza kuharibu hatima ya maisha yako, tushirikishe, tusaidiane na tushauriane.. Nitumie ujumbe WhatsApp 0625 791 849
    kaka habari ya kazi mimi nilikuwa naomba ushauri mume wangu tulikuwa tuaishi vizuri tu, baadae akaja akabadilika analala nje ukimuuliza anakuwa mkali, basi nikamuacha kumuuliza nikawa navumilia,siku moja akaniambia mke wangu hapa naona maisha yamekuwa magumu nataka niende sehemu nyingine nikatafute hela nikasema sawa baada ya kuondoka akawa hanipigii simu wala kutuma sms,nikimpigia simu kumuambia matumizi ananiambia sina hela yeyote.. Hivohivo mwisho wa siku akaniambia tusijuane yeye amempata mwanamke anaempenda na mimi nitafute mwanaume niolewe na akaacha kumtafuta maana pale tulipokuwa tunaishi kodi ilikuwa imeisha nikatafuta chumba cha bei nafuu maisha yakaendelea,baada ya mwezi mmoja akanifuta akaniambia nimerudi nilikuwa naomba nije nimsalimie mtoto mimi nikakataa Basi yakaendelea akaja akaumwa mtoto nikamuambia akatoa fedha ya matibabu, ndipo nikamuuliza unaishi wapi akaniambia amepanga yupo kutafuta hela akipata ndipo atarudi nyumbani kuishi na sisi. nilikuwa naomba ushauri wenu huyu mwanaume niendelee kumsubiri? [ Unaweza kuuza na kununua bidhaa kupitia https://www.niuziechap.co.tz/ ] Au jiunge na WhatsApp Channel yangu kwa mahitaji ya Mchumba na Simulizi na video na stories kibao Link https://bit.ly/4b6xGV4 ______________________________________ ■Kama una jambo linakutatiza usikae nalo linaweza kuharibu hatima ya maisha yako, tushirikishe, tusaidiane na tushauriane.. Nitumie ujumbe WhatsApp 0625 791 849
    Like
    Love
    Sad
    9
    2 Комментарии ·376 Просмотры
  • Habari zenu ndugu zangu mko poa
    Kwa mahitaji yoote ya vifaa vya piki piki yako njoo hapa utapata spea nzuri kwa bei rafiki kabisa bila kusahau kila jumamos ukinunua oili tunamwaga bureeee utapata wapi ofa kama hiii
    Habari zenu ndugu zangu mko poa 💪 Kwa mahitaji yoote ya vifaa vya piki piki yako njoo hapa utapata spea nzuri kwa bei rafiki kabisa bila kusahau kila jumamos ukinunua oili tunamwaga bureeee utapata wapi ofa kama hiii
    Love
    Like
    3
    2 Комментарии ·227 Просмотры
  • Haya vile vichuma vya urembo vinavyofanya pikipiki zetu kupendeza hivyoo kwa bei rahisi saana kalibu boss wangu na kila jumamos ukinunua oili tunamwaga bureeee utapata wapi ofa kama hiii
    Haya vile vichuma vya urembo vinavyofanya pikipiki zetu kupendeza hivyoo kwa bei rahisi saana kalibu boss wangu na kila jumamos ukinunua oili tunamwaga bureeee utapata wapi ofa kama hiii
    Like
    Love
    3
    1 Комментарии ·172 Просмотры
  • . “Kwa sasa John Bocco anafahamu. Sure Boy anafahamu. Shomari Kapombe anafahamu. Erasto Nyoni anafahamu. Gadiel Michael anafahamu. Aishi Manula anafahamu. Hata Prince Dube ameanza kufahamu.
    .
    Tatizo la Azam ni nini? Watu wamekuwa wakiulizana. Sina jibu lakini naweza kukisia kwamba kuna kitu kisichoelezeka sawa sawa kinakosekana Azam. Labda zinakosekana hisia kali fulani kwa kila anayehusika pale Azam.
    .
    Azam hawatembei na madeni ya hisia za watu? Labda. Ndiyo, labda. Wana kila kitu. Uwanja wa kisasa, kambi za kisasa, usafiri wa kisasa, pesa na kila kitu. kwanini watolewe na APR kirahisi namna hii? Wamewekeza pesa nyingi kuliko APR, kwanini watolewe na APR kirahisi namna hii?” — Edo Kumwembe.
    .💬 “Kwa sasa John Bocco anafahamu. Sure Boy anafahamu. Shomari Kapombe anafahamu. Erasto Nyoni anafahamu. Gadiel Michael anafahamu. Aishi Manula anafahamu. Hata Prince Dube ameanza kufahamu. . Tatizo la Azam ni nini? Watu wamekuwa wakiulizana. Sina jibu lakini naweza kukisia kwamba kuna kitu kisichoelezeka sawa sawa kinakosekana Azam. Labda zinakosekana hisia kali fulani kwa kila anayehusika pale Azam. . Azam hawatembei na madeni ya hisia za watu? Labda. Ndiyo, labda. Wana kila kitu. Uwanja wa kisasa, kambi za kisasa, usafiri wa kisasa, pesa na kila kitu. kwanini watolewe na APR kirahisi namna hii? Wamewekeza pesa nyingi kuliko APR, kwanini watolewe na APR kirahisi namna hii?” — Edo Kumwembe.
    Like
    5
    3 Комментарии ·245 Просмотры
  • Истекший: 31/08/2024
    Купить 120000 Get 120000 120000
    Из Tsh170000
    Discount ya bei suti baada ya punguzo bei ya jumla kwa suti kuanzia tano
    Discount ya bei suti baada ya punguzo bei ya jumla kwa suti kuanzia tano
    Like
    2
    1 Комментарии ·327 Просмотры
  • Kwani Bei gani
    Kwani Bei gani
    Like
    1
    1 Комментарии ·79 Просмотры
  • Bei za tiketi na sehemu zinakopatikana
    Bei za tiketi na sehemu zinakopatikana
    Like
    1
    ·93 Просмотры
  • Karibu tukupe Huduma nzuri ya ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma.
    #Customer's Safety is Our Priority
    Contact Us+255 743 663 512
    Karibu tukupe Huduma nzuri ya ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma. #Customer's Safety is Our Priority Contact Us+255 743 663 512
    ·419 Просмотры
  • Tunatoa Huduma nzuri ya Ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma.
    #Customer's Safety is Our Priority
    Contact Us 0743 663 512
    Tunatoa Huduma nzuri ya Ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma. #Customer's Safety is Our Priority Contact Us 0743 663 512
    Like
    1
    ·428 Просмотры
  • Heshima ni kitu cha bure, ungekuwa wewe ndo mwenye hayo magari ungepamia beiskel au ungeipisha kama hao maboss
    Heshima ni kitu cha bure, ungekuwa wewe ndo mwenye hayo magari ungepamia beiskel au ungeipisha kama hao maboss 😌
    ·189 Просмотры ·20 Просмотры
  • "Umesema Wateja wanaulizia tu bei halafu wanapotea?"
    "Umesema Wateja wanaulizia tu bei halafu wanapotea?"😂🤣🤣🤣🤣
    Love
    Like
    3
    ·80 Просмотры
  • *Anaandika Askofu Bagonza*


    UJINGA NI MZIGO Vs UJINGA NI MTAJI

    Leo 6 Julai 2024, KKKT- DAYOSISI YA KARAGWE, imehitimisha kundi la pili la watu wazima 125 katika kisomo cha watu wazima (EWW). Kundi la kwanza lilihitimishwa mwaka jana 2023. Watu wazima wasiojua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) wanapata fursa ya kuelimishwa kupitia mradi maalum jimboni Murongo katika Tarafa ya Murongo-Kyerwa. Wahitimu wamepewa vyeti vya kuhitimu.

    Mradi huu unafadhiliwa kwa ushirikiano na shirika la Bread for the World la nchini Ujerumani. Majimbo ya Murongo (Tanzania) na Gutersloh (Ujerumani) ndio watekelezaji wa mradi huu. Labda kama kuna takwimu za kipekee, lakini kwa macho yangu naona ujinga unaongezeka katila maeneo mengi ya vijijini.

    Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:

    1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

    2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

    3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

    4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

    5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

    6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

    7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

    8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

    9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

    10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

    Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.
    *Anaandika Askofu Bagonza* UJINGA NI MZIGO Vs UJINGA NI MTAJI Leo 6 Julai 2024, KKKT- DAYOSISI YA KARAGWE, imehitimisha kundi la pili la watu wazima 125 katika kisomo cha watu wazima (EWW). Kundi la kwanza lilihitimishwa mwaka jana 2023. Watu wazima wasiojua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) wanapata fursa ya kuelimishwa kupitia mradi maalum jimboni Murongo katika Tarafa ya Murongo-Kyerwa. Wahitimu wamepewa vyeti vya kuhitimu. Mradi huu unafadhiliwa kwa ushirikiano na shirika la Bread for the World la nchini Ujerumani. Majimbo ya Murongo (Tanzania) na Gutersloh (Ujerumani) ndio watekelezaji wa mradi huu. Labda kama kuna takwimu za kipekee, lakini kwa macho yangu naona ujinga unaongezeka katila maeneo mengi ya vijijini. Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali: 1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk. 2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa. 3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo. 4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza. 5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao. 6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga. 7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa. 8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi. 9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu. 10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi. Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.
    Haha
    1
    1 Комментарии ·187 Просмотры
Расширенные страницы