Upgrade to Pro

  • Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda.

    Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa.

    Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake.


    #daviddavoo
    #davidatto
    #neliudcosian
    Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda. Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa. Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake. #daviddavoo #davidatto #neliudcosian
    Like
    1
    1 Reacties ·245 Views
  • Hivi karibuni mafanikio ya Tayla yameshitua watu wengi, Mwezi Novemba mwaka huu alishinda tuzo tatu za MTV EMA , Usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Billboard kipengele cha Msanii bora wa Afrobeat.

    Kama Tyla angekuwa Mwanaume basi baadhi ya Watu wangedai nyuma yake kuna watu kama Diddy, ila ni Mwanamke, wewe binafsi unahisi Tyla anastahili hizi tuzo anazopata au nyuma yake kuna watu? kama kuna Watu ni watu gani mbali na Management yake?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Hivi karibuni mafanikio ya Tayla yameshitua watu wengi, Mwezi Novemba mwaka huu alishinda tuzo tatu za MTV EMA , Usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Billboard kipengele cha Msanii bora wa Afrobeat. Kama Tyla angekuwa Mwanaume basi baadhi ya Watu wangedai nyuma yake kuna watu kama Diddy, ila ni Mwanamke, wewe binafsi unahisi Tyla anastahili hizi tuzo anazopata au nyuma yake kuna watu? kama kuna Watu ni watu gani mbali na Management yake? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    1 Reacties ·190 Views
  • Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB.

    Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB. Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    2 Reacties ·201 Views
  • Unaona mabao mangapi kwa mnyama simba leo
    Updates

    #daviddavoo
    Unaona mabao mangapi kwa mnyama simba leo Updates 👉👉👉👉 #daviddavoo
    Like
    1
    ·79 Views
  • Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,.....
    Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo
    Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki.....
    Barakadaprince yupo sahihi?.......

    #daviddavoo
    Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,..... Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki..... Barakadaprince yupo sahihi?....... #daviddavoo
    Like
    2
    ·138 Views