ترقية الحساب

  • TAARIFA KWA UMMA

    #paulswai
    TAARIFA KWA UMMA #paulswai
    Like
    Love
    3
    2 التعليقات ·81 مشاهدة
  • Kesho msemaji wa yanga sc atakuwepo Sports Arena kuihutubia nchi
    Kesho msemaji wa yanga sc atakuwepo Sports Arena kuihutubia nchi
    ·52 مشاهدة
  • TUPO TAYARI KUMVAA PAMBA JIJI,POINTS 3 MUHIMU KWA WANASIMBA
    TUPO TAYARI KUMVAA PAMBA JIJI,POINTS 3 MUHIMU KWA WANASIMBA
    Love
    1
    ·34 مشاهدة
  • HABARI NJEMA KUTOKA TFF
    HABARI NJEMA KUTOKA TFF
    Like
    Love
    5
    1 التعليقات ·91 مشاهدة
  • .KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025

    Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu.

    Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26.

    Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24

    Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji.

    Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF.

    Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??
    .🚨KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025 Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu. 🚨🇹🇿 Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26. 😳👀 Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24 Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji. Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF. Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??
    Like
    Love
    3
    ·120 مشاهدة
  • Hivi tunavyoongea, mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Uganda , Fahad Bayo yupo kambini Avic town anaendelea na mazoezi na timu yetu ya yanga. Fahad Bayo alikuwa anacheza soka barani ulaya.

    Bayo ana miaka 26 , Je amekuja kujifua tu au kuna mtu anampisha ?
    Hivi tunavyoongea, mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Uganda , Fahad Bayo yupo kambini Avic town anaendelea na mazoezi na timu yetu ya yanga. Fahad Bayo alikuwa anacheza soka barani ulaya. Bayo ana miaka 26 , Je amekuja kujifua tu au kuna mtu anampisha ?
    Like
    Love
    3
    2 التعليقات ·114 مشاهدة
  • MASHABIKI WALIMSAJILI BACCA KWA YANGA.

    Mashabiki Visiwani Zanzibar walimuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi kumsajili BACCA baada ya kuridhishwa na kiwango chake kuwa anastahili kuchezea Yanga na siyo kubaki Ligi Kuu ya Zanzibar
    MASHABIKI WALIMSAJILI BACCA KWA YANGA. Mashabiki Visiwani Zanzibar walimuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi kumsajili BACCA baada ya kuridhishwa na kiwango chake kuwa anastahili kuchezea Yanga na siyo kubaki Ligi Kuu ya Zanzibar
    Love
    Like
    7
    2 التعليقات ·93 مشاهدة ·105 مشاهدة
  • Leo Wanangu wameamka wamechagua kutolalamika, wamegundua sio kila Mtu wa kumlilia shida zetu, Wanangu wameamka wamelia na Mungu tu kwakuwa yeye hascreenshot shida zetu wala haoneshi Watu maombi yetu.

    Wanangu wameamka kupigana, hakuna text ya Mwanamke kumpa moyo wala Missed call ya Ndugu kumtakia heri, ni yeye dhidi ya Ulimwengu wakati Walimwengu wamekaa pembeni.


    Cc. Farhan Kiham
    Leo Wanangu wameamka wamechagua kutolalamika, wamegundua sio kila Mtu wa kumlilia shida zetu, Wanangu wameamka wamelia na Mungu tu kwakuwa yeye hascreenshot shida zetu wala haoneshi Watu maombi yetu. Wanangu wameamka kupigana, hakuna text ya Mwanamke kumpa moyo wala Missed call ya Ndugu kumtakia heri, ni yeye dhidi ya Ulimwengu wakati Walimwengu wamekaa pembeni. Cc. Farhan Kiham ✍️
    Love
    1
    ·47 مشاهدة
  • VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA

    1. GUINEA
    Camara -Simba (Tanzania)
    Diakite -Cerce Bruggle(Belgium)
    Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania)
    Saidou Sow -Strasbourg (France)
    Issiaga Sylla -Montpellier (France)
    Mohamed Camara-PAOK (Greece)
    Abdoulaye Toure -Le Havre(France)
    Morlaye Sylla -Arouca(Portugal)
    Seydouba Cisse-Leganese(Spain)
    Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia)
    Serhou Guirassy -Borussia Dortmund

    2. TANZANIA
    Manula-Simba(Tanzania)
    Kapombe-Simba(Tanzania)
    Hussein-Simba(Tanzania)
    Job-Yanga(Tanzania)
    Hamad-Yanga(Tanzania)
    Yahaya-Yanga(Tanzania)
    Bitegeko-Azam(Tanzania)
    Msuva-Al Talaba(Iraq)
    Salum-Azam(Tanzania)
    Mzize-Yanga(Tanzania)
    Samatta-PAOK(Greece)

    NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?
    VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA 1. GUINEA Camara -Simba (Tanzania) Diakite -Cerce Bruggle(Belgium) Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania) Saidou Sow -Strasbourg (France) Issiaga Sylla -Montpellier (France) Mohamed Camara-PAOK (Greece) Abdoulaye Toure -Le Havre(France) Morlaye Sylla -Arouca(Portugal) Seydouba Cisse-Leganese(Spain) Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia) Serhou Guirassy -Borussia Dortmund 2. TANZANIA Manula-Simba(Tanzania) Kapombe-Simba(Tanzania) Hussein-Simba(Tanzania) Job-Yanga(Tanzania) Hamad-Yanga(Tanzania) Yahaya-Yanga(Tanzania) Bitegeko-Azam(Tanzania) Msuva-Al Talaba(Iraq) Salum-Azam(Tanzania) Mzize-Yanga(Tanzania) Samatta-PAOK(Greece) NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?
    Like
    Love
    Wow
    7
    ·172 مشاهدة
  • Mnyama Simba SC, Jumatano ya Novemba 27 atakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa, akiwakaribisha FC Bravos kutoka Angola, ni mechi ya hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

    Mchezo huu utapigwa saa 10:00 jioni

    #CAFCC #SimbaSC #FCBravos

    #paulswai
    Mnyama Simba SC, Jumatano ya Novemba 27 atakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa, akiwakaribisha FC Bravos kutoka Angola, ni mechi ya hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huu utapigwa saa 10:00 jioni #CAFCC #SimbaSC #FCBravos #paulswai
    Love
    Like
    5
    ·185 مشاهدة
  • Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi).

    "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine)

    Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini.

    Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."

    Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi). "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine) Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini. Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."
    ·49 مشاهدة
  • Utaratibu wa kusalimia
    Utaratibu wa kusalimia
    ·21 مشاهدة
  • Khabar ya mjin
    Khabar ya mjin
    Love
    1
    ·13 مشاهدة
  • Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA.

    Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao.

    Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha.
    Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo.
    Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine!

    Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao.
    Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao!

    Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA. Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao. Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha. Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo. Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine! Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao. Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao! Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    ·51 مشاهدة
  • Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........
    Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii......

    Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........ Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii...... Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Like
    1
    ·72 مشاهدة
  • Siyo kila tatizo unalokutana nalo barabarani pindi uendeshapo gari litahitaji ukamate brake...
    Mengine yanahitaji ukanyage mafuta ili gari ipite kikwazo hiko...

    Hivyo basi hata kwenye ndoa na mahusiano siyo kila tatizo ukimbilie kwa wazazi au ulireact..
    Kuna matatizo mengine unatakiwa uwe muelewa na uyachukulie kama yalivyo ili yapite salama.. Mengine yanahiyaji kujibebisha zaidi ili uilinde furaha yako isipotee...
    Siyo kila tatizo unalokutana nalo barabarani pindi uendeshapo gari litahitaji ukamate brake... Mengine yanahitaji ukanyage mafuta ili gari ipite kikwazo hiko... Hivyo basi hata kwenye ndoa na mahusiano siyo kila tatizo ukimbilie kwa wazazi au ulireact.. Kuna matatizo mengine unatakiwa uwe muelewa na uyachukulie kama yalivyo ili yapite salama.. Mengine yanahiyaji kujibebisha zaidi ili uilinde furaha yako isipotee...
    Like
    1
    ·26 مشاهدة
  • SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..!

    Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa.

    Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious.

    Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana.......

    Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako.

    Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe."

    #SexIsNotLove
    #Inauma
    SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..! Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa. Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious. Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana....... Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako. Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe." #SexIsNotLove #Inauma
    ·85 مشاهدة
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·89 مشاهدة
  • LOVE ZONE; Naitwa tinah nahitaji rafiki masharti awe mwanaume, mwenye kupokea ombi langu aweke namba zake nitampigia
    #soccersports
    LOVE ZONE💕; Naitwa tinah nahitaji rafiki masharti awe mwanaume, mwenye kupokea ombi langu aweke namba zake nitampigia💋 #soccersports
    1 التعليقات ·126 مشاهدة
  • Wahenga bhana Eti kidole kimoja hakivunji chawa daah kama kuna ka ukweli vile #Stars #Taifa stars
    Wahenga bhana Eti kidole kimoja hakivunji chawa daah kama kuna ka ukweli vile 😂😂😂 #Stars #Taifa stars
    Like
    Haha
    2
    1 التعليقات ·30 مشاهدة
الصفحات المعززة