• Mwanandoa Msalit Baba Nisiye Nason..
    Nyumba Inasota Dhiki Pesa Ninayo Mfukoni..
    Rafiki Zangu Wazinzi Walevi Na Wagoni..
    Chaka Letu Baa Pombe Ni Wisk Na Siyo Komon..
    Meza Nilyopo Mimi Mwingne Mwiko Kuongea..
    Zungusheni Chupa Zikiisha Nawaongezea..
    Navyokaa Kwa Kiti Utadhani Amechil Meya..
    #Ben_mC Incharg Wa Round de bil payr..
    Majina Billget Kibosile Mapesa..
    Hali Nyumbani Kwangu Watoto Nimewabwetesha..
    Miaka Juu Ya 10 Nashule Sijawapeleka..
    Hanasa Za Hii Dunia Kutwa Zinaniteka..
    Shida Zinapowakaba..
    Watoto Wanakufuru Afadhari Wasingekua Na Baba..
    Kuliko Baba Jina.. Ambaye Siwapi Msaada.. Nikiondoka Leo Kurudi Ni Baada Ya Siku Saba..
    Mwanandoa Msalit Baba Nisiye Nason.. Nyumba Inasota Dhiki Pesa Ninayo Mfukoni.. Rafiki Zangu Wazinzi Walevi Na Wagoni.. Chaka Letu Baa Pombe Ni Wisk Na Siyo Komon.. Meza Nilyopo Mimi Mwingne Mwiko Kuongea.. Zungusheni Chupa Zikiisha Nawaongezea.. Navyokaa Kwa Kiti Utadhani Amechil Meya.. #Ben_mC Incharg Wa Round de bil payr.. Majina Billget Kibosile Mapesa.. Hali Nyumbani Kwangu Watoto Nimewabwetesha.. Miaka Juu Ya 10 Nashule Sijawapeleka.. Hanasa Za Hii Dunia Kutwa Zinaniteka.. Shida Zinapowakaba.. Watoto Wanakufuru Afadhari Wasingekua Na Baba.. Kuliko Baba Jina.. Ambaye Siwapi Msaada.. Nikiondoka Leo Kurudi Ni Baada Ya Siku Saba..
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·154 Views