
-
-
Unakipi Cha kumshauri mfaransa huyu mwenye asili ya Cameroon baada ya kujiunga na timu ya Real Madrid??Read more
#Realmadrid
#yangasc
#simbasc
#alahlysc
#ihefuUnakipi Cha kumshauri mfaransa huyu mwenye asili ya Cameroon baada ya kujiunga na timu ya Real Madrid?? #Realmadrid #yangasc #simbasc #alahlysc #ihefu -
Timu alizozifunga Master Ki #NBCPremierLeague 2023/24 ⚽️🙌🏽Read more
Umeiona timu yako mara ngapi?
⚽️⚽️⚽️ vs Prisons
⚽️ vs Tabora
⚽️⚽️ vs Dodoma Jiji
⚽️ vs Simba SC
⚽️ vs Fountain Gate
⚽️ vs Geita Gold
⚽️ vs Ihefu
⚽️ vs Namungo
⚽️ vs Tabora United
⚽️⚽️ vs Mtibwa Sugar
⚽️ vs Simba SC
⚽️⚽️⚽️ vs Azam FC
⚽️ vs Geita Gold
⚽️ vs JKT
⚽️ vs KMC FC
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwikoTimu alizozifunga Master Ki #NBCPremierLeague 2023/24 ⚽️🥅🙌🏽 Umeiona timu yako mara ngapi?😅 ⚽️⚽️⚽️ vs Prisons ⚽️ vs Tabora ⚽️⚽️ vs Dodoma Jiji ⚽️ vs Simba SC ⚽️ vs Fountain Gate ⚽️ vs Geita Gold ⚽️ vs Ihefu ⚽️ vs Namungo ⚽️ vs Tabora United ⚽️⚽️ vs Mtibwa Sugar ⚽️ vs Simba SC ⚽️⚽️⚽️ vs Azam FC ⚽️ vs Geita Gold ⚽️ vs JKT ⚽️ vs KMC FC #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko -
16:00 - Young Africans SC vs Tanzania PrisonsRead more
Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti.
16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar
16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC
16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC
16:00 - Coastal Union vs KMC
16:00 - Namungo FC vs Tabora United
16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar
Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao.
Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi.
Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga.
Ezra Andrew 1716:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti. 16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar 16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC 16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC 16:00 - Coastal Union vs KMC 16:00 - Namungo FC vs Tabora United 16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao. Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi. Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga. Ezra Andrew 17 -
... 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !!Read more
Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa
Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli
Wanamkaba wanne wanne
Vinara wa magoli ligi kuu :
1. 26 8 18 — Aziz Ki
.... 29 7 18 — Feisal Salum
2. 29 1 12 — Waziri Junior.
3. 29 2 11 — Maxi Nzengeli.
4. 25 3 10 — Ntibazonkiza.
5. 28 3 09 — Mudathir Yahya.
... 28 3 09 — Marouf Tchakei
Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai.
Stephane Aziz Ki :
◉ vs Prisons - Azam Complex.
Feisal Salum :
◉ vs Geita gold - Nyankumbu.
𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 :
Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ?
Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United
️ Joseph Guede — 19'
️ Maxi Zengeli — 48'
️ Stephanie Aziz Ki — 90'
Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC
Saido Ntibazonkiza — 02'
Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar
️ Kipre Junior — 50'
️ Gibril Sillah — 66'
⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79'
⚽️ Idd Nado — 90'
⚽️ Mobrack Yusuph — 52'
Full-time :
◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar
◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji
◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold
◉ Namungo 2 - 2 Prisons
◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania
Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara :
1. 29 ⚽ +54 77 — Yanga.
2. 29 ⚽ +40 66 — Azam FC
3. 29 ⚽ +32 66 — Simba SC
4. 29 ⚽ +03 42 — Coastal Union.
Tom Cruz facts... 🔥 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !! Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa 🙌 Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli 😁👋 Wanamkaba wanne wanne 🙌 Vinara wa magoli ligi kuu : 1. 🎮 26 🎯 8 ⚽ 18 — Aziz Ki ....🎮 29 🎯 7 ⚽ 18 — Feisal Salum 2. 🎮 29 🎯 1 ⚽ 12 — Waziri Junior. 3. 🎮 29 🎯 2 ⚽ 11 — Maxi Nzengeli. 4. 🎮 25 🎯 3 ⚽ 10 — Ntibazonkiza. 5. 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Mudathir Yahya. ... 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Marouf Tchakei Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai. Stephane Aziz Ki : ◉ vs Prisons - Azam Complex. Feisal Salum : ◉ vs Geita gold - Nyankumbu. 𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 : Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo 📺 ? Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United ⚽️ Joseph Guede — 19' ⚽️ Maxi Zengeli — 48' ⚽️ Stephanie Aziz Ki — 90' Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC ⚽ Saido Ntibazonkiza — 02' Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar ⚽️ Kipre Junior — 50' ⚽️ Gibril Sillah — 66' ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79' ⚽️ Idd Nado — 90' ⚽️ Mobrack Yusuph — 52' Full-time : ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold ◉ Namungo 2 - 2 Prisons ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara : 1. 🎮 29 ⚽ +54 🅿️ 77 — Yanga. 2. 🎮 29 ⚽ +40 🅿️ 66 — Azam FC 3. 🎮 29 ⚽ +32 🅿️ 66 — Simba SC 4. 🎮 29 ⚽ +03 🅿️ 42 — Coastal Union. Tom Cruz facts 🧠 -
Beki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
#Sports viewBeki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria 🇳🇬 kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia. #Sports view