Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari.
Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima..
Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena.
Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga.
Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi.
Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma.
Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji..
Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri..
Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma..
#BagaBoy
#Mauzoo
Credit Azizi kasese

·510 Views