Kuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani.
Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni.
Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni.
Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au ***** kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu.
Guys, sisi ni pioneers.
Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia.
Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh.
#NaongeaNaWewe

Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au shoga kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu.

·586 Views