Atualizar para Plus

  • _|| WARNING "UWIZI MPYA"

    Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
    'IMERUKA'

    Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.

    Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.

    Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.

    Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.

    Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).

    Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.

    Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.

    Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.

    Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.

    Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.

    Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.

    Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.

    KAA MACHO

    #nifollow
    #highlightseveryonefollowers2024
    #Peterjoram
    ⚠️_|| WARNING "UWIZI MPYA" ➡️ Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA' ➡️ Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake. ➡️ Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka. ➡️ Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo. ➡️ Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako. ➡️ Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo). ➡️ Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako. ➡️ Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako. ➡️ Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia. ➡️ Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi. ➡️ Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo. ➡️ Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia. ➡️ Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho. ℹ️ KAA MACHO ‼️ #nifollow #highlightseveryonefollowers2024 #Peterjoram
    Like
    2
    ·97 Visualizações