Обновить до Про

  • #Security #Intelligence, #HPV, Kwa ufupi tu ni kwamba haya magari yanatengenezwa maalumu kwa ajili ya kuzuia mawasiliano ya aina yoyote 'controlled' yanayozunguka eneo ambalo mtu anayelindwa atakuwapo.

    Ni teknolojia yenye gharama kubwa duniani na hutumiwa na Viongozi wakuu wa Serikali na wafanyabiashara wenye ukwasi mkubwa.

    Ni magari yanayotumia teknolojia ya 'HPV' na yenye vifaa maalumu kwa ajili ya kufanya kitu kinaitwa "Communication Jamming''. Yaani unaingilia mawasiliano na kuyafanya kutokweza kuwasilishwa sehemu husika kwa kutumia vifaa vyenye uwezo wa teknolojia ya JAMMING.

    Mfano ukiwa eneo hilo ambalo gari hilo lipo na ukawaza kupanga njama za shambulio kwa kutuma ujumbe wa maandishi au wa kupiga simu, hautapata mtandao na wala hutafanya mawasiliano. 'Unaweza kupiga simu zisitoke' 'jamming'

    Mawasiliano yanazuiwa kupitia Frequencies. Zinauwezo wa kugundua Frequency za Mabomu yaliyotegwa ardhini kutoka umbali usio mrefu sana na kuyazuia yasiripuke iwapo yatakuwa yametegwa katika njia ambamo msafara unapita.

    Ni magari maalumu kama yanatumiwa na kiongozi mkuu wa nchi yanakuwa na Mawasiliano ya moja kwa moja na Vyombo vingine vya Ulinzi na usalama, kama makao makuu ya Jeshi, Makao mkuu ya Idara ya Ujasusi, Kitengo Maalumu cha Ulinzi wa Rais na kitengo maalumu cha Ulinzi wa Familia yake na vifaa vingine kama helkopta za kiusalama.

    Magari 'kama' haya pia yanaonekana katika misafara ya RAISI hasa anapokuwa katika ziara za mikoani, na yametengenezwa maalumu kwa ajili ya safari za umbali mrefu.

    Musa makongoro
    Nueve, China.
    #Security #Intelligence, #HPV, Kwa ufupi tu ni kwamba haya magari yanatengenezwa maalumu kwa ajili ya kuzuia mawasiliano ya aina yoyote 'controlled' yanayozunguka eneo ambalo mtu anayelindwa atakuwapo. Ni teknolojia yenye gharama kubwa duniani na hutumiwa na Viongozi wakuu wa Serikali na wafanyabiashara wenye ukwasi mkubwa. Ni magari yanayotumia teknolojia ya 'HPV' na yenye vifaa maalumu kwa ajili ya kufanya kitu kinaitwa "Communication Jamming''. Yaani unaingilia mawasiliano na kuyafanya kutokweza kuwasilishwa sehemu husika kwa kutumia vifaa vyenye uwezo wa teknolojia ya JAMMING. Mfano ukiwa eneo hilo ambalo gari hilo lipo na ukawaza kupanga njama za shambulio kwa kutuma ujumbe wa maandishi au wa kupiga simu, hautapata mtandao na wala hutafanya mawasiliano. 'Unaweza kupiga simu zisitoke' 'jamming' Mawasiliano yanazuiwa kupitia Frequencies. Zinauwezo wa kugundua Frequency za Mabomu yaliyotegwa ardhini kutoka umbali usio mrefu sana na kuyazuia yasiripuke iwapo yatakuwa yametegwa katika njia ambamo msafara unapita. Ni magari maalumu kama yanatumiwa na kiongozi mkuu wa nchi yanakuwa na Mawasiliano ya moja kwa moja na Vyombo vingine vya Ulinzi na usalama, kama makao makuu ya Jeshi, Makao mkuu ya Idara ya Ujasusi, Kitengo Maalumu cha Ulinzi wa Rais na kitengo maalumu cha Ulinzi wa Familia yake na vifaa vingine kama helkopta za kiusalama. Magari 'kama' haya pia yanaonekana katika misafara ya RAISI hasa anapokuwa katika ziara za mikoani, na yametengenezwa maalumu kwa ajili ya safari za umbali mrefu. Musa makongoro Nueve, China.
    ·83 Просмотры
  • VIETNAM WAR VITA AMBAYO MAREKANI ILISHINDWA VIBAYA

    Vita maarufu ya Vietnam ni moja ya vita katika historia ya Marekani ambazo taifa kubwa na lenye nguvu duniani lililazimika kuondoka uwanja wa mapambano baada ya kushindwa vibaya.
    Vita hii ilipiganwa kuanzia mwaka 1955 mpaka 1975, na ilipiganwa maeneo ya Vietnam kwenyewe, Laos na Cambodia.

    Kwa juu juu ilikuwa ni vita iliyopiganwa kati ya Vietnam Kaskazini na Vietnam Kusini lakini nyuma ya pazia ilikuwa ni vita ya kijasusi kati ya wababe wa dunia wa wakati huo yaani Marekani na Urusi ya Kisovieti(proxy war), huku kila mbabe akitaka kupandikiza itikadi yake kwa upande huo, Marekani akitaka Ubepari utawale na Mrusi akitaka Ukomunisti utawale.

    Vietnam ya Kaskazini ilisapotiwa na Urusi ya wakati huo(USSR), China na nchi nyingine za Kikomunisti huku Vietnam ya Kusini ikisapotiwa na Marekani, Korea Kusini, Australia, Thailand na nchi nyingine zilizokuwa zikipinga Ukomunisti.

    Wakati vuguvugu la vita limeanza kukolea mwaka 1950 Marekani ilituma kikosi cha majasusi wake nchini Vietnam wakati huo ikiwa Koloni la Mfaransa ikijulikana kama French IndoChina kwa ajili ya mafunzo, udukuzi na kukusanya taarifa za kijasusi kabla ya kuanza mashambulizi mazito, lengo likiwa kutoa mafunzo ya kijeshi na kijasusi kwa askari wa Vietnam ya Kusini na kuviandaa vikosi vyake kwa ajili ya mapigano ya kukata na shoka.

    Ilipofika mwaka 1961 wakati vita imekolea Marekani kwa kutumia taarifa za kijasusi ilizokusanya ilipeleka kikosi maalumu cha makomando wa Jeshi la Anga maarufu kama Green Berets kwa kazi kuu ya kufanya operations za kimya kimya za anga ili kulidhoofisha jeshi la Vietnam Kaskazini.
    Kikosi hiki kiliungana baadaye na kikosi cha makomando wa anga waliojulikana kama ECO 31 na US Marines.

    Hata hivyo kutokana na udhaifu wa taarifa za kijasusi vikosi hivi havikufanikiwa sana hali iliyopelekea kuvunjwa na kuundwa kikosi maalumu kingine mwaka 1962 kilichoitwa U.S. Military Assistance Command, Vietnam (MACV) kilichokuwa chini ya Idara ya Usalama ya Marekani.

    Pamoja na uwezo mkubwa wa Marekani kimafunzo na kisilaha lakini kulikuwa na udhaifu mkubwa wa idara za kijasusi hali iliyopelekea Idara nyeti za usalama za Marekani
    ikiwemo C.I.A kushindwa kutoa makadirio hasa ya kijeshi juu ya uzito wa Vita ile.

    Kutokana na nature ya nchi za Kikomunisti kuendeshwa kwa uzalendo uliotukuka, Marekani alishindwa kukusanya taarifa za msingi za kivita kwa kutumia ujasusi wa kitaaluma, badala yake alitegemea zaidi kuwahoji askari wa adui waliokamatwa na kuteswa.

    Vietnam Kaskazini kwa kusaidiwa na Majasusi wa Russia aliweza "kuwauzia taarifa feki" majasusi wa Kimarekani, na Marekani ikaingia mkenge kwa ku-underestimate uwezo wa Vietnam Kaskazini katika ulingo wa vita, kifupi taarifa za Kijasusi zilizopelekwa Washington na washirika wake zilikuwa tofauti kabisa na kilichokuwa uwanja wa mapambano.

    Kwa mfano Majasusi wa Marekani walishindwa kujua Formation ya Vita(Battle Formation) waliyokuwa wanatumia Wavietnam.
    Wavietnam wakiwa chini ya Majasusi wao wa VCSS waliweza kuunda vikosi vinne ya kimapambano vilivyopambana kwa wakati mmoja huku makamanda na wale wapiganaji mahiri wa kikosi kimoja wakibadilishana na wa Kikosi kingine huku mapambano yakiendelea.

    Kwamba unaweza kumuona leo kamanda fulani anapigana eneo A na kikosi chake akitumia mbinu fulani za msituni, mara baada ya siku tatu unashangaa imefanyika substitution kama ya kwenye mpira kaingia kamanda mpya na mbinu mpya kwa kutumia kikosi kile kile au akaleta wapiganaji wapya kabisa, huku yule wa eneo A akipelekwa eneo B na akabadili pia mbinu za kimapambano.

    Hali hii ilidumu kwa miaka 11 mfululizo mpaka mwaka 1966 Marekani ilipostukia mchezo huu wa kubadilishana makamanda na wapiganaji waliyokuwa wakitumia wa Vietnam, na ikapelekea idara za Kijasusi za Marekani husasani C.I.A na N.A.S.A kutuma upya majasusi maalumu wa kukusanya intelijensia nyingine mpya mwaka 1967.

    Lakini pia Majasusi wa Marekani walishindwa kujua uwezo wao majasusi wa Kivietnam kujipenyeza kwenye kambi ya adui(Inflitration Capabilities) waliokuwa nao Wa Vietnam.
    Inasadikika wengi wa askari wa Kivetman ya Kusini waliokula mafunzo na mbinu za Kivita kutoka Marekani na washirika wake mwanzoni kabisa mwa vuguvugu la kivita walikuwa wa Vietnam ya Kaskazini.
    Kifupi Vikosi vya Marekani viliwapa mafunzo ya kijeshi adui zao na wakauziwa Intelijensi ya uongo.

    Kubwa kuliko Yote Marekani na washirika wake hawakujua hasa Vietnam ana askari wangapi walio mstari wa mbele kwenye mapambano na wale wa akiba, iwapo wa mstari wa mbele
    wakilemewa, hali hii ilisababishwa na ukweli kuwa Vietnam Kaskazini ilikuwa inafuata itikadi za Kikomunisti, kila mtu alikuwa askari wa kuilinda nchi yake.

    Hata kama ungefanya shambulizi ukaua askari 1000 leo, kesho watakuja wengine wapya 1000 walio na morale ya kupambana mpaka kufa kama wale wa kwanza.
    Mwanzoni hili Wamarekani hawakulijua ila kadri mapigano yalivyopamba moto, askari wengi wa Marekani na Washirika wao walianza kuogopa kwenda mstari wa mbele hasa baada ya kugundua wanapambana na askari wengi wasioisha waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yao.

    Baada ya Ripoti ya Kikosi kipya kilichoundwa na C.I.A kuja na taarifa zao za kijasusi walizokusanya uwanja wa mapambano, mwishoni mwa mwaka 1967 walikuja kupata taarifa
    za kustua sana kuwa Vietnam nao walikuwa na Shirika lao la Kijasusi lenye nguvu kubwa na lililokuwa limebobea katika tasnia ya Ujasusi lililokuwa linapewa mafunzo ya Kijasusi toka KGB Na China, Shirika hili liliojulikana kama Viet Cong Security Service (VCSS).

    Mwanzoni taarifa za Kijasusi walizozipata Wamarekani zilikuwa feki kuwa VCSS walikuwa kikosi maalum tu cha wapambanaji walio na silaha dhaifu na si majasusi.

    VCSS walikuwa wababe wa mapigano ya msituni na guilera war huku wakiwa na maajenti wengi zaidi ya 100,000.

    Walikuwa mabingwa wa vita vya kuviziana huku askari wachache wakijificha na kufanya ambush za kijeshi dhidi ya askari wa adui zao, wakati mwingine walivaa nguo za Kiraia na kuingia mtaani na kuishi maisha ya kawaiada kabisa huku wakipanga mikakati yao ya mashambulizi ya kuvizia.

    Ilikuwa ni ngumu sana kujua yupi ni raia yupi ni askari, hali hii iliwatia hofu mno askari wa Kimarekani na washirika wao waliokuwa mstari wa mbele wa mapambano, wengi wa waliokuwa wakidhani ni raia wa kawaida walikuwa ni maajenti wa VCSS.

    Kutokana na usiri mkubwa na umakini wa hali ya juu wa VCSS ilikuwa ni ngumu kwa Marekani kupata intelijensia kutoka vyanzo vya kuaminika, taarifa nyingi zilizokusanywa zilikuwa kupitia kukamata na kutesa askari wa adui waliokamatwa uwanja wa mapambano ambao wengi walikuwa ni askari wa vyeo vya chini au raia waliojitolea kupigana waliopewa mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya kupambana.
    Wengi wao walikuwa na taarifa za kupikwa walizopewa makusudi kwa ajili ya kupotosha iwapo wangekamatwa.

    Moja ya mbinu iliyowashusha morale askari wa kimarekani uwanja wa vita ni hit-and-run technique waliyotumia Wavietnam, Marekani alitegemea sana jeshi la anga na vikosi maalumu kupambana huku wakiwa na silaha nzito nzito za kubeba kwa magari.
    Wavietnam walichimba mahandaki njiani kuzuia magari ya silaha na mizinga kupita msituni,
    wali-block njia za kupitishia silaha za adui kwa kuangusha miti mikubwa kabla ya kufanya ambush, walitengeneza kambi za feki za kijeshi msituni na kila mbinu ya guilera war inayofahamika katika uwanja wa mapambano kubwa ikiwa kuviziana.

    Mfano askari wa ki-Vietnam walivizia kambi ya adui na kufanya ambush ndani ya saa moja na kisha kila askari kutimuka njia yake kilomita kadhaa baada ya kufanya shambulio kabla ya kukukutana tena eneo fulani kwa ajili ya kupanga shambulio jingine, na endapo wakizidiwa katika ambush zao iliwabidi askari hao kuficha silaha kwenye mahandaki na kisha kujichanganya na raia mtaani.

    Nyingi ya kambi za kupambana za Kivietnam hazikuwa zile zilizoonekana, nyingi zilikuwa chini ya mahandaki, madege ya kimarekani yaliposhambulia kambi kwa makombora yao, nyingi ya kambi hizo zilikuwa ni feki, zilizojengwa maalumu kwa ajili ya kum-distract adui, huku silaha nzito kutoka Urusi na China zikifichwa chini ya mahandaki makubwa.

    Wamarekani na Vikosi vyao walitumia teknolojia kupambana, huku wakitumia madege ya B-52, mizinga mikubwa, helkopta, kemikali za kupukutisha majani kwenye miti maarufu kama defoliants, lakini zote hazifua dafu.

    Baada ya makamanda wa vikosi vya Marekani kuona mbinu na silaha zao hazifanikiwi wakaamua kuwahamisha raia wote ambao wengi walikuwa wakulima wadogo wadogo kutoka maeneo ambayo maajenti wa VCSS walikuwa wanayamiliki kwenda sehemu salama ambazo zilikuwa chini ya ulinzi wao, hali hii ilizaa tatizo jingine pia kwani maajenti wengi wa VCSS walijifanya raia wakajipenyeza na kuingia maeneo yaliyokuwa hayana mapigano yaliyokuwa chini ya umiliki wa Vikosi vya Wamarekani na kuanza operations upya kwenye maeneo ambayo yalikuwa
    chini ya umiliki wa adui zao.

    Hili lilipelekea mashambulizi ya kuviziana kuongezeka kwenye maeneo mbayo Wamarekani walikuwa wanayashikilia, patrol zao zilivamiwa na askari kupokonywa silaha hali iliyopelekea morale ya askari kushuka sana, ikabidi Askari wa Kimarekani waandae ndege standby kwa ajili ya kutoa msaada muda wowote patrol zao zitakapostambuliwa,
    lakini bado haikusaidia kitu kwani wengi wa askari wa patrol hawakutaka kabisa kuingia maeneo ya ndani ndani walipita njia kuu na maeneo ya wazi kuogopa mashambulizi ya kushtukiza ambayo Shirika la Kijasusi la VCSS lilikuwa limesambaza maajenti zaidi ya 100,000.

    Kutokana na ripoti za Kijasusi kuvuja nchini Marekani kuwa probability ya kuuwawa kwa askari wao walio vitani nchini Vietnam kuwa ni zaidi ya 20% na kuwa askari waliokuwa mapiganoni wengi walikuwa wanaogopa gorilla war iliyokuwa ikiendeshwa na Wavietnam, ripoti za siri za kijasusi zinasema C.I.A kwa kutumia mbinu za kijasusi waliandaa exit strategy ambayo ilikuwa ni
    kuhamasisha maandamano na propaganda ya kile kilichoitwa vuguvugu la wananchi wa Marekani kupinga nchi yao kujiingiza katika vita ya Vietnam.

    Hatimaye Marekani kwa kisingizio cha maandamano ya wananchi kupinga nchi yao kujiingiza Vietnam mwaka 1973 waliondoa vikosi vyao na kuikabidhi Vietnam Kusini jukumu la kuendelea na mapambano dhidi ya Kaskazini.

    Vietnam ya Kaskazini iliendesha mapigano kwa miaka miwili mfululizo na hatimaye mwaka 1975 ikaukamata mji mashuhuri sana wa Saigon uliokuwa unamilikiwa na Vietnam Kusini na mwaka mmoja baadaye Kusini na Kaskazini zikaungana na kutengeneza nchi moja ya Jamhuri ya watu wa Vietnam.

    Inakadiriwa kuwa vita hiyo iligharimu maisha ya WaVietnam kati ya 966,000 mpaka Milioni 3.8 Wakambodia kati ya 240,000–300,000, Walaotia kati ya 20,000–62,000 na Wamarekani zaidi ya 58,220 huku Wamarekani zaidi ya 1,626 wakipotea na hawakujulikana walipo mpaka leo

    Mwisho
    VIETNAM WAR VITA AMBAYO MAREKANI ILISHINDWA VIBAYA Vita maarufu ya Vietnam ni moja ya vita katika historia ya Marekani ambazo taifa kubwa na lenye nguvu duniani lililazimika kuondoka uwanja wa mapambano baada ya kushindwa vibaya. Vita hii ilipiganwa kuanzia mwaka 1955 mpaka 1975, na ilipiganwa maeneo ya Vietnam kwenyewe, Laos na Cambodia. Kwa juu juu ilikuwa ni vita iliyopiganwa kati ya Vietnam Kaskazini na Vietnam Kusini lakini nyuma ya pazia ilikuwa ni vita ya kijasusi kati ya wababe wa dunia wa wakati huo yaani Marekani na Urusi ya Kisovieti(proxy war), huku kila mbabe akitaka kupandikiza itikadi yake kwa upande huo, Marekani akitaka Ubepari utawale na Mrusi akitaka Ukomunisti utawale. Vietnam ya Kaskazini ilisapotiwa na Urusi ya wakati huo(USSR), China na nchi nyingine za Kikomunisti huku Vietnam ya Kusini ikisapotiwa na Marekani, Korea Kusini, Australia, Thailand na nchi nyingine zilizokuwa zikipinga Ukomunisti. Wakati vuguvugu la vita limeanza kukolea mwaka 1950 Marekani ilituma kikosi cha majasusi wake nchini Vietnam wakati huo ikiwa Koloni la Mfaransa ikijulikana kama French IndoChina kwa ajili ya mafunzo, udukuzi na kukusanya taarifa za kijasusi kabla ya kuanza mashambulizi mazito, lengo likiwa kutoa mafunzo ya kijeshi na kijasusi kwa askari wa Vietnam ya Kusini na kuviandaa vikosi vyake kwa ajili ya mapigano ya kukata na shoka. Ilipofika mwaka 1961 wakati vita imekolea Marekani kwa kutumia taarifa za kijasusi ilizokusanya ilipeleka kikosi maalumu cha makomando wa Jeshi la Anga maarufu kama Green Berets kwa kazi kuu ya kufanya operations za kimya kimya za anga ili kulidhoofisha jeshi la Vietnam Kaskazini. Kikosi hiki kiliungana baadaye na kikosi cha makomando wa anga waliojulikana kama ECO 31 na US Marines. Hata hivyo kutokana na udhaifu wa taarifa za kijasusi vikosi hivi havikufanikiwa sana hali iliyopelekea kuvunjwa na kuundwa kikosi maalumu kingine mwaka 1962 kilichoitwa U.S. Military Assistance Command, Vietnam (MACV) kilichokuwa chini ya Idara ya Usalama ya Marekani. Pamoja na uwezo mkubwa wa Marekani kimafunzo na kisilaha lakini kulikuwa na udhaifu mkubwa wa idara za kijasusi hali iliyopelekea Idara nyeti za usalama za Marekani ikiwemo C.I.A kushindwa kutoa makadirio hasa ya kijeshi juu ya uzito wa Vita ile. Kutokana na nature ya nchi za Kikomunisti kuendeshwa kwa uzalendo uliotukuka, Marekani alishindwa kukusanya taarifa za msingi za kivita kwa kutumia ujasusi wa kitaaluma, badala yake alitegemea zaidi kuwahoji askari wa adui waliokamatwa na kuteswa. Vietnam Kaskazini kwa kusaidiwa na Majasusi wa Russia aliweza "kuwauzia taarifa feki" majasusi wa Kimarekani, na Marekani ikaingia mkenge kwa ku-underestimate uwezo wa Vietnam Kaskazini katika ulingo wa vita, kifupi taarifa za Kijasusi zilizopelekwa Washington na washirika wake zilikuwa tofauti kabisa na kilichokuwa uwanja wa mapambano. Kwa mfano Majasusi wa Marekani walishindwa kujua Formation ya Vita(Battle Formation) waliyokuwa wanatumia Wavietnam. Wavietnam wakiwa chini ya Majasusi wao wa VCSS waliweza kuunda vikosi vinne ya kimapambano vilivyopambana kwa wakati mmoja huku makamanda na wale wapiganaji mahiri wa kikosi kimoja wakibadilishana na wa Kikosi kingine huku mapambano yakiendelea. Kwamba unaweza kumuona leo kamanda fulani anapigana eneo A na kikosi chake akitumia mbinu fulani za msituni, mara baada ya siku tatu unashangaa imefanyika substitution kama ya kwenye mpira kaingia kamanda mpya na mbinu mpya kwa kutumia kikosi kile kile au akaleta wapiganaji wapya kabisa, huku yule wa eneo A akipelekwa eneo B na akabadili pia mbinu za kimapambano. Hali hii ilidumu kwa miaka 11 mfululizo mpaka mwaka 1966 Marekani ilipostukia mchezo huu wa kubadilishana makamanda na wapiganaji waliyokuwa wakitumia wa Vietnam, na ikapelekea idara za Kijasusi za Marekani husasani C.I.A na N.A.S.A kutuma upya majasusi maalumu wa kukusanya intelijensia nyingine mpya mwaka 1967. Lakini pia Majasusi wa Marekani walishindwa kujua uwezo wao majasusi wa Kivietnam kujipenyeza kwenye kambi ya adui(Inflitration Capabilities) waliokuwa nao Wa Vietnam. Inasadikika wengi wa askari wa Kivetman ya Kusini waliokula mafunzo na mbinu za Kivita kutoka Marekani na washirika wake mwanzoni kabisa mwa vuguvugu la kivita walikuwa wa Vietnam ya Kaskazini. Kifupi Vikosi vya Marekani viliwapa mafunzo ya kijeshi adui zao na wakauziwa Intelijensi ya uongo. Kubwa kuliko Yote Marekani na washirika wake hawakujua hasa Vietnam ana askari wangapi walio mstari wa mbele kwenye mapambano na wale wa akiba, iwapo wa mstari wa mbele wakilemewa, hali hii ilisababishwa na ukweli kuwa Vietnam Kaskazini ilikuwa inafuata itikadi za Kikomunisti, kila mtu alikuwa askari wa kuilinda nchi yake. Hata kama ungefanya shambulizi ukaua askari 1000 leo, kesho watakuja wengine wapya 1000 walio na morale ya kupambana mpaka kufa kama wale wa kwanza. Mwanzoni hili Wamarekani hawakulijua ila kadri mapigano yalivyopamba moto, askari wengi wa Marekani na Washirika wao walianza kuogopa kwenda mstari wa mbele hasa baada ya kugundua wanapambana na askari wengi wasioisha waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yao. Baada ya Ripoti ya Kikosi kipya kilichoundwa na C.I.A kuja na taarifa zao za kijasusi walizokusanya uwanja wa mapambano, mwishoni mwa mwaka 1967 walikuja kupata taarifa za kustua sana kuwa Vietnam nao walikuwa na Shirika lao la Kijasusi lenye nguvu kubwa na lililokuwa limebobea katika tasnia ya Ujasusi lililokuwa linapewa mafunzo ya Kijasusi toka KGB Na China, Shirika hili liliojulikana kama Viet Cong Security Service (VCSS). Mwanzoni taarifa za Kijasusi walizozipata Wamarekani zilikuwa feki kuwa VCSS walikuwa kikosi maalum tu cha wapambanaji walio na silaha dhaifu na si majasusi. VCSS walikuwa wababe wa mapigano ya msituni na guilera war huku wakiwa na maajenti wengi zaidi ya 100,000. Walikuwa mabingwa wa vita vya kuviziana huku askari wachache wakijificha na kufanya ambush za kijeshi dhidi ya askari wa adui zao, wakati mwingine walivaa nguo za Kiraia na kuingia mtaani na kuishi maisha ya kawaiada kabisa huku wakipanga mikakati yao ya mashambulizi ya kuvizia. Ilikuwa ni ngumu sana kujua yupi ni raia yupi ni askari, hali hii iliwatia hofu mno askari wa Kimarekani na washirika wao waliokuwa mstari wa mbele wa mapambano, wengi wa waliokuwa wakidhani ni raia wa kawaida walikuwa ni maajenti wa VCSS. Kutokana na usiri mkubwa na umakini wa hali ya juu wa VCSS ilikuwa ni ngumu kwa Marekani kupata intelijensia kutoka vyanzo vya kuaminika, taarifa nyingi zilizokusanywa zilikuwa kupitia kukamata na kutesa askari wa adui waliokamatwa uwanja wa mapambano ambao wengi walikuwa ni askari wa vyeo vya chini au raia waliojitolea kupigana waliopewa mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya kupambana. Wengi wao walikuwa na taarifa za kupikwa walizopewa makusudi kwa ajili ya kupotosha iwapo wangekamatwa. Moja ya mbinu iliyowashusha morale askari wa kimarekani uwanja wa vita ni hit-and-run technique waliyotumia Wavietnam, Marekani alitegemea sana jeshi la anga na vikosi maalumu kupambana huku wakiwa na silaha nzito nzito za kubeba kwa magari. Wavietnam walichimba mahandaki njiani kuzuia magari ya silaha na mizinga kupita msituni, wali-block njia za kupitishia silaha za adui kwa kuangusha miti mikubwa kabla ya kufanya ambush, walitengeneza kambi za feki za kijeshi msituni na kila mbinu ya guilera war inayofahamika katika uwanja wa mapambano kubwa ikiwa kuviziana. Mfano askari wa ki-Vietnam walivizia kambi ya adui na kufanya ambush ndani ya saa moja na kisha kila askari kutimuka njia yake kilomita kadhaa baada ya kufanya shambulio kabla ya kukukutana tena eneo fulani kwa ajili ya kupanga shambulio jingine, na endapo wakizidiwa katika ambush zao iliwabidi askari hao kuficha silaha kwenye mahandaki na kisha kujichanganya na raia mtaani. Nyingi ya kambi za kupambana za Kivietnam hazikuwa zile zilizoonekana, nyingi zilikuwa chini ya mahandaki, madege ya kimarekani yaliposhambulia kambi kwa makombora yao, nyingi ya kambi hizo zilikuwa ni feki, zilizojengwa maalumu kwa ajili ya kum-distract adui, huku silaha nzito kutoka Urusi na China zikifichwa chini ya mahandaki makubwa. Wamarekani na Vikosi vyao walitumia teknolojia kupambana, huku wakitumia madege ya B-52, mizinga mikubwa, helkopta, kemikali za kupukutisha majani kwenye miti maarufu kama defoliants, lakini zote hazifua dafu. Baada ya makamanda wa vikosi vya Marekani kuona mbinu na silaha zao hazifanikiwi wakaamua kuwahamisha raia wote ambao wengi walikuwa wakulima wadogo wadogo kutoka maeneo ambayo maajenti wa VCSS walikuwa wanayamiliki kwenda sehemu salama ambazo zilikuwa chini ya ulinzi wao, hali hii ilizaa tatizo jingine pia kwani maajenti wengi wa VCSS walijifanya raia wakajipenyeza na kuingia maeneo yaliyokuwa hayana mapigano yaliyokuwa chini ya umiliki wa Vikosi vya Wamarekani na kuanza operations upya kwenye maeneo ambayo yalikuwa chini ya umiliki wa adui zao. Hili lilipelekea mashambulizi ya kuviziana kuongezeka kwenye maeneo mbayo Wamarekani walikuwa wanayashikilia, patrol zao zilivamiwa na askari kupokonywa silaha hali iliyopelekea morale ya askari kushuka sana, ikabidi Askari wa Kimarekani waandae ndege standby kwa ajili ya kutoa msaada muda wowote patrol zao zitakapostambuliwa, lakini bado haikusaidia kitu kwani wengi wa askari wa patrol hawakutaka kabisa kuingia maeneo ya ndani ndani walipita njia kuu na maeneo ya wazi kuogopa mashambulizi ya kushtukiza ambayo Shirika la Kijasusi la VCSS lilikuwa limesambaza maajenti zaidi ya 100,000. Kutokana na ripoti za Kijasusi kuvuja nchini Marekani kuwa probability ya kuuwawa kwa askari wao walio vitani nchini Vietnam kuwa ni zaidi ya 20% na kuwa askari waliokuwa mapiganoni wengi walikuwa wanaogopa gorilla war iliyokuwa ikiendeshwa na Wavietnam, ripoti za siri za kijasusi zinasema C.I.A kwa kutumia mbinu za kijasusi waliandaa exit strategy ambayo ilikuwa ni kuhamasisha maandamano na propaganda ya kile kilichoitwa vuguvugu la wananchi wa Marekani kupinga nchi yao kujiingiza katika vita ya Vietnam. Hatimaye Marekani kwa kisingizio cha maandamano ya wananchi kupinga nchi yao kujiingiza Vietnam mwaka 1973 waliondoa vikosi vyao na kuikabidhi Vietnam Kusini jukumu la kuendelea na mapambano dhidi ya Kaskazini. Vietnam ya Kaskazini iliendesha mapigano kwa miaka miwili mfululizo na hatimaye mwaka 1975 ikaukamata mji mashuhuri sana wa Saigon uliokuwa unamilikiwa na Vietnam Kusini na mwaka mmoja baadaye Kusini na Kaskazini zikaungana na kutengeneza nchi moja ya Jamhuri ya watu wa Vietnam. Inakadiriwa kuwa vita hiyo iligharimu maisha ya WaVietnam kati ya 966,000 mpaka Milioni 3.8 Wakambodia kati ya 240,000–300,000, Walaotia kati ya 20,000–62,000 na Wamarekani zaidi ya 58,220 huku Wamarekani zaidi ya 1,626 wakipotea na hawakujulikana walipo mpaka leo Mwisho
    ·84 Просмотры
  • JE UNAKIJUA CHUMBA MAARUFU NAMBA 39?...

    ROOM 39.....

    NIlipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Chong Ryong-hae anafanya kazi ndani ya chumba hicho.

    Chumba hiki kina majina mengi kadhaa kama vile Bureau au Kitengo, Division au sehemu au pia Office 39.

    Chumba hiki kipo ndani ya jengo la chama cha wafanyakazi wa Korea kaskazini jengo ambalo halipo mbali na makazi rasmi ya kiongozi wa Korea Kaskazini bwana Kim Jong-un.

    Lakini kiukweli hiki ni kitengo maalum cha kijasusi ambacho kinafanya kazi zake ndani ya chama cha wafanyakazi wa Korea Kaskazni ambacho kina jukumu moja tu, kuhakikisha viongozi wa Korea Kaskazini wana fedha za kigeni za matumizi wakiwa nje ya nchi hiyo.

    Room 39 kipo chini ya usimamizi wa kamati kuu ya chama hicho lakini upande wa kamati ya kijeshi ambayo ina majukumu ya kupitisha matumizi ya fedha kwa jeshi kwenye ununuzi wa silaha na usimamzi wa maliasili za nchi hiyo madini yakiwemo.

    Inakisiwa kuwa kitengo hicho kinaingiza kati ya dola milioni 500 hadi bilioni 1 au zaidi kwa mwaka, na fedha hizo ni kutokana na biashara za aina zote tunazozifahamu duniani zikiwemo halali na haramu.

    Ukiangalia kazi za kitengo hiki waweza kukifananisha kwa mbali na jeshi maalum la Iran la IRGC ambalo pia linajitegemea na linahisiwa kuingiza kiasi cha dola hadi bilioni 12 kwa mwaka zinatotokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi.

    Tofauti iliyopo kidogo ni kwamba Chumba 39 au Room 39 kimejikita zaidi kwenye ujasusi wa nje ya Korea Kaskazini na kinaratibu ofisi na makampuni mbalimbali ndani na nje ya Korea Kaskazini huku wakibadilisha majina mara kwa mara.

    Mfano wa makampuni mbalimbali yanayoendesha shughuli zake nje ya Korea Kaskazini ni migahawa iitwayo Pyongyang ambayo ipo sehemu mbalimbali duniani.

    Kampuni ingine ni ile ya KNIC ambayo inashughulika na masuala ya bima na ina ofisi katika miji ya Hamburg nchini Ujerumani na London nchini Uingereza. Mwaka 2015 umoja wa Ulaya uliwahi kuifungia kampuni hii kutokana na kujishughulisha na biashara haramu na bima bandia na kujipatia fedha kutokana na kudai bima hewa.

    Chumba 39 kilianzishwa kwenye miaka ya 70 na Kim II Sung ambae ni babu yake Kim Jong-un na kukabidhiwa majukumu ya kuhakikisha utawala wa Korea kaskazini huishiwi fedha za kujiendesha pamoja na usimamizi wa uchumi wa nchi hiyo.

    Mahali kilipoanzia shughuli zake ni chumba kilichoitwa Office 39 na baadae kubatiza chumba hichi jina la Room 39 kikiwa nyuma ya chumba kingine kiitwacho room 36 ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia fedha za utawala wa Korea Kakazini.

    Chumba hiki kina shughuli nyingi na kimesheheni majasusi wenye taaluma zote muhimu wakiwemo wakemia ambao hudaiwa kutengeneza madawa mbalimbali na kuyauza nchini China, Japan na sehemu zingine barani Asia.

    Pia majasusi wakemia wa chumba 39 wanasadikiwa kutengeneza dawa za kuongeza nguvu za kiume maarufu kama Viagra zenye vimelea mbalimbali kwenye viwanda vyake vilivyoko sehemu iitwayo Chonglin na kuuza kwenye nchi za Hong Kong, China na Mashariki ya kati.

    Kitengo hiki pia kina wataalam wa masuala ya fedha na watengenezaji noti bandia ziitwazo "Supernotes" ambazo huonekana kama fedha halali kwa matumizi na huwa na thamani ya hadi dola milioni 100.

    Kitengo hiki cha kipekee pia hutengeneza bidhaa ambazo baadae huwekwa nembo ya bidhaa za China na kupitishwa na kufanikiwa kufika kwenye masoko ya kimataifa kwenye nchi kama za Ufaransa, Italia na Korea Kusini.

    Bidhaa hizo ni pamoja na Eyelashes (kalamu ya urembo wa kope za macho), vifaa vya muziki na sigara ambavyo kwa pamoja vinasadikiwa kuiingizia nchi hiyo dola milioni 120 kwa mwaka.

    Kwa upande wa mauzo ya silaha nchi hiyo iliwekewa vikwazo kwenye uuzajiw a silaha zake lakini chumba namba 39 kikafanikwia na mwaka 2014 silaha za Korea kaskazini ziliuzwa kwa kutumia makampuni yake yenye majna halali kwa nchi za Syria, Myanmar, Eritrea, Tanzania, Ethiopia, Somalia na Iran.

    Kitengo hiki pia mwaka 2016 kwa kutumia majasusi wake wataalam wa teknolojia walifanikiwa kudukua hazina ya New York iitwayo Federal Reserve na kuchukua kiasi cha dola bilioni 1.

    Majasusi wa Marekani walipokuwa wakifuatilia wizi huo walikuja kugundua kasoro ya maandishi kwenye makaratasi ya kuombea kufanya mialama na ndipo walipogundua kasoro kwenye neno Foundation lililoandikwa "fandation" ndipo walipobaini kuwa wakorea kaskazini ndio walofanya uharibifu.

    Itakumbukwa kuwa mwaka huohuo wa 2016 ndio mwaka ambao kulitokea kirusi cha kompyuta cha "Wannacry" ambacho kilivamia mifumo mbalimbali ya kompyuta duniani.

    Pia majasusi hao wa Room 39 waliweza kuingiza kwenye mifumo ya ulinzi wa anga ya Korea Kusini na kufanikiwa kuiba ndege za kivita na kisha kuzirusha na kuzitua salama nchini Korea Kaskazini na zisipatikane hadi leo.

    Nchi nyingi zilizoendelea kwa sasa zimeamua kuwekeza kwenye utaalam wa masuala ya mitandao uitwao Cyber Security kwani inasadikiwa kuwa chumba namba 39 kina majasusi wengi walopikwa tayari kushambulia nchi yoyote ile duniani.

    Ama hakika chumba hiki kiitwacho Room 39 ni chumba hatari kuwahi kutokea duniani na hivi karibuni na kuendelea tuzidi kusikiliza kauli zinazotoka kwa utawala wa PyongYang khasa dada yake Kim Jong-un aitwae Kim Yo-jong ambae kiufundi anaonekana ndie kamanda wa Room 39.

    Hii inaweza kumfanya aonekane kuwa ni mwanamke hatari zaidi kuwahi kutokea duniani.

    NB: Ombi kwa MOds msiuunganishe uzi huu.

    Karibu.
    JE UNAKIJUA CHUMBA MAARUFU NAMBA 39?... ROOM 39..... NIlipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Chong Ryong-hae anafanya kazi ndani ya chumba hicho. Chumba hiki kina majina mengi kadhaa kama vile Bureau au Kitengo, Division au sehemu au pia Office 39. Chumba hiki kipo ndani ya jengo la chama cha wafanyakazi wa Korea kaskazini jengo ambalo halipo mbali na makazi rasmi ya kiongozi wa Korea Kaskazini bwana Kim Jong-un. Lakini kiukweli hiki ni kitengo maalum cha kijasusi ambacho kinafanya kazi zake ndani ya chama cha wafanyakazi wa Korea Kaskazni ambacho kina jukumu moja tu, kuhakikisha viongozi wa Korea Kaskazini wana fedha za kigeni za matumizi wakiwa nje ya nchi hiyo. Room 39 kipo chini ya usimamizi wa kamati kuu ya chama hicho lakini upande wa kamati ya kijeshi ambayo ina majukumu ya kupitisha matumizi ya fedha kwa jeshi kwenye ununuzi wa silaha na usimamzi wa maliasili za nchi hiyo madini yakiwemo. Inakisiwa kuwa kitengo hicho kinaingiza kati ya dola milioni 500 hadi bilioni 1 au zaidi kwa mwaka, na fedha hizo ni kutokana na biashara za aina zote tunazozifahamu duniani zikiwemo halali na haramu. Ukiangalia kazi za kitengo hiki waweza kukifananisha kwa mbali na jeshi maalum la Iran la IRGC ambalo pia linajitegemea na linahisiwa kuingiza kiasi cha dola hadi bilioni 12 kwa mwaka zinatotokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi. Tofauti iliyopo kidogo ni kwamba Chumba 39 au Room 39 kimejikita zaidi kwenye ujasusi wa nje ya Korea Kaskazini na kinaratibu ofisi na makampuni mbalimbali ndani na nje ya Korea Kaskazini huku wakibadilisha majina mara kwa mara. Mfano wa makampuni mbalimbali yanayoendesha shughuli zake nje ya Korea Kaskazini ni migahawa iitwayo Pyongyang ambayo ipo sehemu mbalimbali duniani. Kampuni ingine ni ile ya KNIC ambayo inashughulika na masuala ya bima na ina ofisi katika miji ya Hamburg nchini Ujerumani na London nchini Uingereza. Mwaka 2015 umoja wa Ulaya uliwahi kuifungia kampuni hii kutokana na kujishughulisha na biashara haramu na bima bandia na kujipatia fedha kutokana na kudai bima hewa. Chumba 39 kilianzishwa kwenye miaka ya 70 na Kim II Sung ambae ni babu yake Kim Jong-un na kukabidhiwa majukumu ya kuhakikisha utawala wa Korea kaskazini huishiwi fedha za kujiendesha pamoja na usimamizi wa uchumi wa nchi hiyo. Mahali kilipoanzia shughuli zake ni chumba kilichoitwa Office 39 na baadae kubatiza chumba hichi jina la Room 39 kikiwa nyuma ya chumba kingine kiitwacho room 36 ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia fedha za utawala wa Korea Kakazini. Chumba hiki kina shughuli nyingi na kimesheheni majasusi wenye taaluma zote muhimu wakiwemo wakemia ambao hudaiwa kutengeneza madawa mbalimbali na kuyauza nchini China, Japan na sehemu zingine barani Asia. Pia majasusi wakemia wa chumba 39 wanasadikiwa kutengeneza dawa za kuongeza nguvu za kiume maarufu kama Viagra zenye vimelea mbalimbali kwenye viwanda vyake vilivyoko sehemu iitwayo Chonglin na kuuza kwenye nchi za Hong Kong, China na Mashariki ya kati. Kitengo hiki pia kina wataalam wa masuala ya fedha na watengenezaji noti bandia ziitwazo "Supernotes" ambazo huonekana kama fedha halali kwa matumizi na huwa na thamani ya hadi dola milioni 100. Kitengo hiki cha kipekee pia hutengeneza bidhaa ambazo baadae huwekwa nembo ya bidhaa za China na kupitishwa na kufanikiwa kufika kwenye masoko ya kimataifa kwenye nchi kama za Ufaransa, Italia na Korea Kusini. Bidhaa hizo ni pamoja na Eyelashes (kalamu ya urembo wa kope za macho), vifaa vya muziki na sigara ambavyo kwa pamoja vinasadikiwa kuiingizia nchi hiyo dola milioni 120 kwa mwaka. Kwa upande wa mauzo ya silaha nchi hiyo iliwekewa vikwazo kwenye uuzajiw a silaha zake lakini chumba namba 39 kikafanikwia na mwaka 2014 silaha za Korea kaskazini ziliuzwa kwa kutumia makampuni yake yenye majna halali kwa nchi za Syria, Myanmar, Eritrea, Tanzania, Ethiopia, Somalia na Iran. Kitengo hiki pia mwaka 2016 kwa kutumia majasusi wake wataalam wa teknolojia walifanikiwa kudukua hazina ya New York iitwayo Federal Reserve na kuchukua kiasi cha dola bilioni 1. Majasusi wa Marekani walipokuwa wakifuatilia wizi huo walikuja kugundua kasoro ya maandishi kwenye makaratasi ya kuombea kufanya mialama na ndipo walipogundua kasoro kwenye neno Foundation lililoandikwa "fandation" ndipo walipobaini kuwa wakorea kaskazini ndio walofanya uharibifu. Itakumbukwa kuwa mwaka huohuo wa 2016 ndio mwaka ambao kulitokea kirusi cha kompyuta cha "Wannacry" ambacho kilivamia mifumo mbalimbali ya kompyuta duniani. Pia majasusi hao wa Room 39 waliweza kuingiza kwenye mifumo ya ulinzi wa anga ya Korea Kusini na kufanikiwa kuiba ndege za kivita na kisha kuzirusha na kuzitua salama nchini Korea Kaskazini na zisipatikane hadi leo. Nchi nyingi zilizoendelea kwa sasa zimeamua kuwekeza kwenye utaalam wa masuala ya mitandao uitwao Cyber Security kwani inasadikiwa kuwa chumba namba 39 kina majasusi wengi walopikwa tayari kushambulia nchi yoyote ile duniani. Ama hakika chumba hiki kiitwacho Room 39 ni chumba hatari kuwahi kutokea duniani na hivi karibuni na kuendelea tuzidi kusikiliza kauli zinazotoka kwa utawala wa PyongYang khasa dada yake Kim Jong-un aitwae Kim Yo-jong ambae kiufundi anaonekana ndie kamanda wa Room 39. Hii inaweza kumfanya aonekane kuwa ni mwanamke hatari zaidi kuwahi kutokea duniani. NB: Ombi kwa MOds msiuunganishe uzi huu. Karibu.
    ·192 Просмотры
  • Wake up
    Pray
    eat
    carry your laptop
    and start your Cyber security carrier
    Don't wait untill next year. start now
    Wake up Pray eat carry your laptop and start your Cyber security carrier Don't wait untill next year. start now
    Like
    2
    ·110 Просмотры
  • *TIP*
    *UKIIBIWA SIMU CHA KWANZA UNAWEZA KUFANYA ICHI KABLA UJAENDA POLISI*

    MUHIMU

    Hakikisha Simu yako imeunganishwa na gmail na ina Play Store

    Mahitaji

    Download Android Device Manager apk

    Kazi zake

    -Itakuonesha sehemu ilipo simu yako

    -Itafuta taarifa muhimu kwenye simu yako

    -Italock au kuunlock pattern au password huko iliko

    -Itaweza kupiga alarm kwa dakika 5 na kuendelea

    -Itaweza kutrack simu popote pale

    Hatua za kufuata ili uweze kujua sehemu ilipo simu yako

    1. Tafuta simu ya Android

    2. Download Android Device Manager apk na install kwenye simu yako

    3. Fungua app ya Android Device Manager

    4. Jaza Email na password ambayo umetumia kwenye Google Play Store

    5. Itafute simu yako na utaoneshwa mahali ilipo simu yako

    6. Utaona Option tatu baada ya kulog in kwenye Android Device Manager

        -Ring  (itapiga alarm sehemu ilipo)

        -Lock (Utai-lock simu yako huko iliko)

        -Erase (Itafuta taarifa zako zote kwenye hiyo simu

    Tumia hizi app kwenye simu yako ili pindi ikibiwa itakuwa rahisi wewe kuipata simu yako

    Njia hii itakusaidia kuona picha za mwizi wako.

    Hizi apps zitampiga picha mtu yoyote akikosea Password, Pattern au Pin kwenye simu yako.

    GESTURE LOCK SCREEN

    Download  Gesture lock screen apk na install kwenye simu yako.

    Register app yako kwa email.

    Mtu yoyote akikosea pattern au password, itampiga picha na kukutumia kwenye email yako.

    Ukitaka kuziona picha, unaingia kwenye email yako utazikuta

    2. CM SECURITY APP

    Download CM Security App apk na install kwenye simu yako.

    Kisha ifungue na register kwa email.

    Ina sehemu ya ku-protect SMS, WhatsApp, Messenger na apps zingine kwa Password ili kumzuia mtu asitumie simu yako.

    Mtu yoyoe akikosea Pattern, Pin au Password itampiga picha na kuituma kwenye email

    3. HIDDENEYE APK

    1.Download Hiddeneye apk na install na kisha register kwa email yako. Ina alama ya jicho

    2. Fungua app yako utaona neno juu limeandikwa Security status.

    Upande wa kulia kwenye hilo neno utaona neno off kwenye kibox.

    Click hapo ili kuweka On.

    *TIP*📲 *UKIIBIWA SIMU CHA KWANZA UNAWEZA KUFANYA ICHI KABLA UJAENDA POLISI* MUHIMU Hakikisha Simu yako imeunganishwa na gmail na ina Play Store Mahitaji Download Android Device Manager apk Kazi zake -Itakuonesha sehemu ilipo simu yako -Itafuta taarifa muhimu kwenye simu yako -Italock au kuunlock pattern au password huko iliko -Itaweza kupiga alarm kwa dakika 5 na kuendelea -Itaweza kutrack simu popote pale Hatua za kufuata ili uweze kujua sehemu ilipo simu yako 1. Tafuta simu ya Android 2. Download Android Device Manager apk na install kwenye simu yako 3. Fungua app ya Android Device Manager 4. Jaza Email na password ambayo umetumia kwenye Google Play Store 5. Itafute simu yako na utaoneshwa mahali ilipo simu yako 6. Utaona Option tatu baada ya kulog in kwenye Android Device Manager     -Ring  (itapiga alarm sehemu ilipo)     -Lock (Utai-lock simu yako huko iliko)     -Erase (Itafuta taarifa zako zote kwenye hiyo simu Tumia hizi app kwenye simu yako ili pindi ikibiwa itakuwa rahisi wewe kuipata simu yako Njia hii itakusaidia kuona picha za mwizi wako. Hizi apps zitampiga picha mtu yoyote akikosea Password, Pattern au Pin kwenye simu yako. GESTURE LOCK SCREEN Download  Gesture lock screen apk na install kwenye simu yako. Register app yako kwa email. Mtu yoyote akikosea pattern au password, itampiga picha na kukutumia kwenye email yako. Ukitaka kuziona picha, unaingia kwenye email yako utazikuta 2. CM SECURITY APP Download CM Security App apk na install kwenye simu yako. Kisha ifungue na register kwa email. Ina sehemu ya ku-protect SMS, WhatsApp, Messenger na apps zingine kwa Password ili kumzuia mtu asitumie simu yako. Mtu yoyoe akikosea Pattern, Pin au Password itampiga picha na kuituma kwenye email 3. HIDDENEYE APK 1.Download Hiddeneye apk na install na kisha register kwa email yako. Ina alama ya jicho 2. Fungua app yako utaona neno juu limeandikwa Security status. Upande wa kulia kwenye hilo neno utaona neno off kwenye kibox. Click hapo ili kuweka On.
    Love
    Yay
    3
    ·352 Просмотры
  • *TIP*
    *UKIIBIWA SIMU CHA KWANZA UNAWEZA KUFANYA ICHI KABLA UJAENDA POLISI*

    MUHIMU

    Hakikisha Simu yako imeunganishwa na gmail na ina Play Store

    Mahitaji

    Download Android Device Manager apk

    Kazi zake

    -Itakuonesha sehemu ilipo simu yako

    -Itafuta taarifa muhimu kwenye simu yako

    -Italock au kuunlock pattern au password huko iliko

    -Itaweza kupiga alarm kwa dakika 5 na kuendelea

    -Itaweza kutrack simu popote pale

    Hatua za kufuata ili uweze kujua sehemu ilipo simu yako

    1. Tafuta simu ya Android

    2. Download Android Device Manager apk na install kwenye simu yako

    3. Fungua app ya Android Device Manager

    4. Jaza Email na password ambayo umetumia kwenye Google Play Store

    5. Itafute simu yako na utaoneshwa mahali ilipo simu yako

    6. Utaona Option tatu baada ya kulog in kwenye Android Device Manager

        -Ring  (itapiga alarm sehemu ilipo)

        -Lock (Utai-lock simu yako huko iliko)

        -Erase (Itafuta taarifa zako zote kwenye hiyo simu

    Tumia hizi app kwenye simu yako ili pindi ikibiwa itakuwa rahisi wewe kuipata simu yako

    Njia hii itakusaidia kuona picha za mwizi wako.

    Hizi apps zitampiga picha mtu yoyote akikosea Password, Pattern au Pin kwenye simu yako.

    GESTURE LOCK SCREEN

    Download  Gesture lock screen apk na install kwenye simu yako.

    Register app yako kwa email.

    Mtu yoyote akikosea pattern au password, itampiga picha na kukutumia kwenye email yako.

    Ukitaka kuziona picha, unaingia kwenye email yako utazikuta

    2. CM SECURITY APP

    Download CM Security App apk na install kwenye simu yako.

    Kisha ifungue na register kwa email.

    Ina sehemu ya ku-protect SMS, WhatsApp, Messenger na apps zingine kwa Password ili kumzuia mtu asitumie simu yako.

    Mtu yoyoe akikosea Pattern, Pin au Password itampiga picha na kuituma kwenye email

    3. HIDDENEYE APK

    1.Download Hiddeneye apk na install na kisha register kwa email yako. Ina alama ya jicho

    2. Fungua app yako utaona neno juu limeandikwa Security status.

    Upande wa kulia kwenye hilo neno utaona neno off kwenye kibox.

    Click hapo ili kuweka On.

    https://whatsapp.com/channel/0029VJX1NzCxo
    *TIP*📲 *UKIIBIWA SIMU CHA KWANZA UNAWEZA KUFANYA ICHI KABLA UJAENDA POLISI* MUHIMU Hakikisha Simu yako imeunganishwa na gmail na ina Play Store Mahitaji Download Android Device Manager apk Kazi zake -Itakuonesha sehemu ilipo simu yako -Itafuta taarifa muhimu kwenye simu yako -Italock au kuunlock pattern au password huko iliko -Itaweza kupiga alarm kwa dakika 5 na kuendelea -Itaweza kutrack simu popote pale Hatua za kufuata ili uweze kujua sehemu ilipo simu yako 1. Tafuta simu ya Android 2. Download Android Device Manager apk na install kwenye simu yako 3. Fungua app ya Android Device Manager 4. Jaza Email na password ambayo umetumia kwenye Google Play Store 5. Itafute simu yako na utaoneshwa mahali ilipo simu yako 6. Utaona Option tatu baada ya kulog in kwenye Android Device Manager     -Ring  (itapiga alarm sehemu ilipo)     -Lock (Utai-lock simu yako huko iliko)     -Erase (Itafuta taarifa zako zote kwenye hiyo simu Tumia hizi app kwenye simu yako ili pindi ikibiwa itakuwa rahisi wewe kuipata simu yako Njia hii itakusaidia kuona picha za mwizi wako. Hizi apps zitampiga picha mtu yoyote akikosea Password, Pattern au Pin kwenye simu yako. GESTURE LOCK SCREEN Download  Gesture lock screen apk na install kwenye simu yako. Register app yako kwa email. Mtu yoyote akikosea pattern au password, itampiga picha na kukutumia kwenye email yako. Ukitaka kuziona picha, unaingia kwenye email yako utazikuta 2. CM SECURITY APP Download CM Security App apk na install kwenye simu yako. Kisha ifungue na register kwa email. Ina sehemu ya ku-protect SMS, WhatsApp, Messenger na apps zingine kwa Password ili kumzuia mtu asitumie simu yako. Mtu yoyoe akikosea Pattern, Pin au Password itampiga picha na kuituma kwenye email 3. HIDDENEYE APK 1.Download Hiddeneye apk na install na kisha register kwa email yako. Ina alama ya jicho 2. Fungua app yako utaona neno juu limeandikwa Security status. Upande wa kulia kwenye hilo neno utaona neno off kwenye kibox. Click hapo ili kuweka On. https://whatsapp.com/channel/0029VJX1NzCxo
    Like
    Yay
    3
    ·396 Просмотры
  • Best Password Managers Online

    1. LastPass:
       - URL: https://www.lastpass.com/
       - Description: Securely manage and store passwords with LastPass.

    2. Dashlane:
       - URL: https://www.dashlane.com/
       - Description: User-friendly password manager with secure storage and digital wallet.

    3. 1Password:
       - URL: https://1password.com/
       - Description: Robust password manager for creating and managing secure passwords.

    4. Bitwarden:
       - URL: https://bitwarden.com/
       - Description: Open-source password manager for secure storage and syncing.

    5. Keeper:
       - URL: https://keepersecurity.com/
       - Description: Password manager with strong encryption and biometric login options.
    🦇Best Password Managers Online 🦇 1. LastPass:    - URL: https://www.lastpass.com/    - Description: Securely manage and store passwords with LastPass. 2. Dashlane:    - URL: https://www.dashlane.com/    - Description: User-friendly password manager with secure storage and digital wallet. 3. 1Password:    - URL: https://1password.com/    - Description: Robust password manager for creating and managing secure passwords. 4. Bitwarden:    - URL: https://bitwarden.com/    - Description: Open-source password manager for secure storage and syncing. 5. Keeper:    - URL: https://keepersecurity.com/    - Description: Password manager with strong encryption and biometric login options.
    WWW.LASTPASS.COM
    #1 Password Manager & Vault App with Single-Sign On & MFA Solutions - LastPass
    Go beyond saving passwords with the best password manager! Generate strong passwords and store them in a secure vault. Now with single-sign on (SSO) and adaptive MFA solutions that integrate with over 1,200 apps.
    Like
    3
    ·137 Просмотры
  • Wale wapenzi wa GB WHATSAPP leo nimewaletea mzigo huo hapo unaitwa Immune whatsapp ni chumaa ya kazi ipo strong na faster ina security kubwa hakuna anayeweza kukuhack ukiwa nayo

    Kazi nyingine ni kama GB Whatsapp inavyofanya kazi

    Hii ina activator ambayo itakusaidia whatsapp kutojua kuwa unatumia hio whatsapp

    Link
    http://duduumendez.blogspot.com/2024/10/how-can-i-use-immune-whatsapp-without.html


    Share to your friends

    > `Credit`
    > WADUDUU BRAND
    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    Wale wapenzi wa GB WHATSAPP leo nimewaletea mzigo huo hapo unaitwa Immune whatsapp ni chumaa ya kazi ipo strong na faster ina security kubwa hakuna anayeweza kukuhack ukiwa nayo Kazi nyingine ni kama GB Whatsapp inavyofanya kazi Hii ina activator ambayo itakusaidia whatsapp kutojua kuwa unatumia hio whatsapp Link 👇 👇 http://duduumendez.blogspot.com/2024/10/how-can-i-use-immune-whatsapp-without.html Share to your friends > `Credit` > WADUDUU BRAND > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    DUDUUMENDEZ.BLOGSPOT.COM
    How can i use IMMUNE WHATSAPP without banning
    IMMUNE WHATSAPP FROM DUDUU_MENDEZ Y'all know that WhatsApp is trying to eliminate WhatsApp Mods using otp method by changing the normal sys...
    Like
    Love
    Angry
    3
    3 Комментарии ·401 Просмотры
  • Pata Netflix premium #mrmauzo #programming #cybersecurity #coding #codegengtech #hackers #pop #anonymous
    Pata Netflix premium #mrmauzo #programming #cybersecurity #coding #codegengtech #hackers #pop #anonymous
    Like
    2
    ·867 Просмотры