Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu
Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu
Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu
Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu
Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu
Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu
Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu
Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu
Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu
Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu
Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu
Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu
Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu
Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu
Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu
Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu
Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu
Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu
Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu
Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club
Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu
Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu

Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu🎤

·1K Visualizações