Mwanaume huyo pichani, anaitwa Ho Van Lang na picha hizo zilipigwa mara baada ya kugunduliwa mwaka 2013, akiwa ameishi katika msitu wa mbali Nchini Vietnam kwa miaka 41 pamoja na Baba yake, Ho Van Thanh. Walikimbia kijiji chao mwaka 1972 kufuatia mashambulizi ya mabomu ya Marekani wakati wa Vita ya Vietnam ambayo yaliwaua baadhi ya Wanafamilia wao.
Kwa kuogopa usalama wao, Baba na Mwana walitoweka msituni katika mkoa wa Quang Ngai na wakabaki bila mawasiliano na Jamii kwa miongo kadhaa. Lang, ambaye alikuwa Mtoto mchanga walipotoweka, alitumia maisha yake yote akiwa katika hali ya kutengwa, bila kufahamu chochote kuhusu Dunia ya kisasa.
Hakuwa na dhana ya Jamii, teknolojia, wala hata uwepo wa Wanawake, jambo alilolielewa tu baada ya kurejeshwa kwenye Jamii. Hadithi yake inaonyesha kwa kina uimara wa Mwanadamu na athari za kutengwa kwa muda mrefu katika maendeleo ya mtu binafsi na mtazamo wake wa Dunia.

Mwanaume huyo pichani, anaitwa Ho Van Lang na picha hizo zilipigwa mara baada ya kugunduliwa mwaka 2013, akiwa ameishi katika msitu wa mbali Nchini Vietnam 🇻🇳 kwa miaka 41 pamoja na Baba yake, Ho Van Thanh. Walikimbia kijiji chao mwaka 1972 kufuatia mashambulizi ya mabomu ya Marekani 🇺🇸 wakati wa Vita ya Vietnam ambayo yaliwaua baadhi ya Wanafamilia wao.