Upgrade to Pro

  • Thomas Langu Sweswe (42), beki wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zimbambwe, na vilabu vya Manning Rangers, Kaizer Chiefs, Bidvest Wits, Black Leopards - Afrika Kusini, Highlanders, Dynamos and ZPC Kariba - Zimbabwe, ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya kucheza dakika 90 bila kugusa mpira.

    Yawezekana hii kuwa rekodi ngumu zaidi kuvunjwa kwenye mpira wa miguu.

    Sweswe aliweka rekodi hiyo akiwa mchezaji wa Kaiser Chief.

    #WasafiSports
    Thomas Langu Sweswe (42), beki wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zimbambwe, na vilabu vya Manning Rangers, Kaizer Chiefs, Bidvest Wits, Black Leopards - Afrika Kusini, Highlanders, Dynamos and ZPC Kariba - Zimbabwe, ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya kucheza dakika 90 bila kugusa mpira. Yawezekana hii kuwa rekodi ngumu zaidi kuvunjwa kwenye mpira wa miguu. Sweswe aliweka rekodi hiyo akiwa mchezaji wa Kaiser Chief. #WasafiSports
    ·439 Ansichten