TODAY'S TECH POINT
Kama wewe ni mtu wa mambo ya kimtandao au unapenda sana kujua masuala ya kimtandao (IT), Zingatia mambo yafuatayo:-
- Usiwe mchoyo wa maarifa, kwenye jukwaa la teknolojia watu wanakuwa wachoyo wa vitu, na ujuzi. Share ideas zako kwa watu ili mpate kujenga kitu kikubwa.
- JENGA USHIRIKIANO : Ukiona mtu ana uwezo flani kuhusu Teknolojia ya kimtandao (It), jenga ukaribu nae ili mchangie ideas, mfano kama una channel zako za kufundisha vitu au kutoa huduma flan share kwa mwenzako pia ili mkuze maarifa, Share post zake nae pia afanye hivyo ili msaidiane kuinuana
- Kuwa mtu wa kupenda kujifunza vitu kutoka kwa watu
> KAMA MTU ANA UJUZI WOWOTE ANAPENDA KUSHARE KWA WANA YOU'RE WELCOME
Kama una kazi zako pia unataka
Kushare nasi, au unataka ushirikiano WOWOTE nasi
Contact main Admin
https://wa.me/255713840267
#Duduumendez
#Duduu_mendez
#Duduu_mendez_backup

TODAY'S TECH POINT 👉

·154 Ansichten