Upgrade to Pro

  • Jemedari

    Juzi nilipost kuwa yanga watashinda dhidi ya al hilal ya ibenge
    Watu wasio jua mpira wakanibeza kwa sababu yanga akiwa nyumbani alipoteza goli 2-0
    Wakajua akienda kule watakula nyingi zaidi

    Mashabiki na wapenzi wa yanga popote mlipo jipige kifua na mtambe
    Hii ni michuano mikubwa achana na ile ya kojoa ukalale

    Tim Bora Tanzania kwa sasa ni yanga

    Bin kazumary crown media

    #neliudcosiah

    Jemedari 🎤 Juzi nilipost kuwa yanga watashinda dhidi ya al hilal ya ibenge Watu wasio jua mpira wakanibeza kwa sababu yanga akiwa nyumbani alipoteza goli 2-0 Wakajua akienda kule watakula nyingi zaidi Mashabiki na wapenzi wa yanga popote mlipo jipige kifua na mtambe Hii ni michuano mikubwa achana na ile ya kojoa ukalale Tim Bora Tanzania kwa sasa ni yanga 🗣️Bin kazumary crown media #neliudcosiah
    Like
    Love
    2
    ·131 Views
  • "INJINI MOJA YA BOEING787 DREAMLINER INASUKUMA TANI MOJA NA ROBO YA HEWA KWA SEKUNDE IKIWA KATIKA 'FULL POWER'
    (Hesabu inasema, inachukua takribani miezi isiyopungua mitatu kwa binaadam wa kawaida kutumia kiwango hiki cha hewa)

    Leo si vibaya kama tukifahamu juu juu kuhusu aina ya injini za ndege ili kila mmoja wetu asibaki nyuma sana.

    Zipo ndege zenye injini 1,2,3,4,6 hadi 8 katika ndege moja.
    Ndege nyingi zinaendeshwa na injini za aina 2 kwa muonekano tuliozoea.

    (1)-Injini za Jeti (Zenye mfano wa pipa lililolazwa)

    (2)-Injini za Propeller (Maarufu Mapangaboi)

    1> MFUMO WA INJINI ZA JETI
    Huu umegawanyika kutokana na 'modification' ya ufanisi na matumizi yake ambazo pia zipo katika makundi mbalimbali mfano,

    *Turbojet 'PureJet'(Mfumo wa ndege nyingi za awali)

    *Turbofan(Mfumo wa ndege nyingi za sasa)

    *Turboshaft(Mfumo wa baadhi ya ndege za sasa mfano Helicopter n.k

    *Scramjet.(Mfumo ulio katika ndege za majaribio za mwendokasi mara nyingi ufanisi wake uanzia mara tano ya kasi ya sauti 'Hypersonic')

    Injini za jeti zinafanya kazi kwa:

    1-Kunyonya hewa mbele (suck)
    2-Kukandamiza (compression)
    3-Kulipua hewa iliyokandamizwa kwa kuchanganya na mafuta(Ignition)
    4-Kisha inatoka/kupulizwa nyuma kwa kasi kubwa na kuisukuma ndege mbele.(Thrust)
    Mfano mzuri kazi ya injini hizi ni kama Puto lililopulizwa na kuachiwa hewani pasipo kuzibwa mdomo wake.(Action and reaction)

    Ndege nyingi za kisasa zinatumia injini aina ya 'Turbofan' (Gas driven) katika kundi la jeti ambazo zinasemakana kuwa na nguvu kubwa na ulaji mdogo wa mafuta.
    (Unaweza kutambua injini hizi kwa haraka kwa kuona feni kubwa lililo mbele ya injini kwa ndani kidogo..usifananishe na mapangaboi)

    Injini za 'Turbojet/Purejet' ambazo moja kwa moja zinanyonya hewa mbele zinakandamiza,kulipua na kuitoa hewa moja ya moto kwa kasi nyuma ambayo ndiyo nguvu pekee inayosukuma ndege kwenda mbele, hutumia mafuta mengi kuliko
    Injini ya 'Turbofan' ambayo ni tofauti kidogo kwani feni lake linavuta na kusukuma hewa mbili nyuma huku hewa ya kwanza ikiwa ile inayoingia kwenye mfumo wa ndani ya injini ambayo unyonywa,kukandamizwa na kulipuliwa na hewa ya pili ni pale hewa ya kwanza iliyolipuliwa kabla ya kufika nje inazungusha visahani maalum 'turbine' zilizoungwa na 'shaft' kwenda kwenye feni lake mbele ambapo huzunguka pamoja na feni na kufanya livute na kusukuma nyuma hewa ya pili yenye nguvu zaidi inayopita nje ya mfumo wa injini(Bypass air) hivyo kuleta nguvu zaidi kwa kutumia mafuta kidogo.

    2-MFUMO WA INJINI ZA MAPANGABOI
    Mapangaboi au 'Propeller'nazo zinafanya kazi kwa kutumia mapanga yake kuchota hewa mbele na kuisukuma nyuma kwa kasi na kuifanya ndege kwenda mbele.

    *Pangaboi linaweza kuwa linazungushwa na 'propeller' iliyoungwa na piston za injini,

    *Au kwa mapangaboi yenye injini ya 'turbo' (turbopropeller)yanazungushwa na hewa iliyolipuliwa (hii aina ya jeti engine yenye mapangaboi)kupitia visahani 'turbine' vilivyo ungwa na propela ya mapangaboi kupitia mfumo wa gear(Geared turboprop)au yanayozunguka kupitia mkandamizo 'pressure' ya hewa iliyolipuliwa pasipo kuungana na chochote (free turbine).

    *Pia 'turboshaft' Mapangaboi yanayozungushwa na hewa iliyolipuliwa kupitia visahani 'turbine' vilivyoungana na propela ya mapangaboi moja kwa moja,pia yaweza kuwa 'Geared' au ila si 'free turbine'

    Mifumo ya injini za kisasa ya mapangaboi inafanya kazi sawa na jeti (Ukiacha za piston)katika mfumo wa ufuaji wa nishati na kuzitofautisha tu katika muonekano wa nje wa injini.

    Injini zenye mfumo ya jeti ni fanisi zaidi kwa ndege zinazopaa anga za juu ambapo hewa ni hafifu,masafa marefu na mwendokasi hasa unaozidi spidi ya sauti 'supersonic'
    Wakati,
    Injini za mfumo wa Mapangaboi ni fanisi zaidi katika mwendo ulio chini ya spidi ya sauti 'subsonic',anga za chini na kati na masafa mafupi kwenda ya kati.

    Tukumbuke pia injini za ndege hazina mahusiano wala kiunganishi chochote na tairi za ndege.
    Tairi za ndege ni 'freewheel' na zimeunganishwa na mfumo wa 'brake' na kona tu.
    Hakuna kinachozungusha tairi kutoka kwenye injini bali zinafuata uelekeo wa kule ndege inaposukumwa.

    Crdts: Online,Aero book,wikimedia.
    "INJINI MOJA YA BOEING787 DREAMLINER INASUKUMA TANI MOJA NA ROBO YA HEWA KWA SEKUNDE IKIWA KATIKA 'FULL POWER' (Hesabu inasema, inachukua takribani miezi isiyopungua mitatu kwa binaadam wa kawaida kutumia kiwango hiki cha hewa) Leo si vibaya kama tukifahamu juu juu kuhusu aina ya injini za ndege ili kila mmoja wetu asibaki nyuma sana. Zipo ndege zenye injini 1,2,3,4,6 hadi 8 katika ndege moja. Ndege nyingi zinaendeshwa na injini za aina 2 kwa muonekano tuliozoea. (1)-Injini za Jeti (Zenye mfano wa pipa lililolazwa) (2)-Injini za Propeller (Maarufu Mapangaboi) 1> MFUMO WA INJINI ZA JETI Huu umegawanyika kutokana na 'modification' ya ufanisi na matumizi yake ambazo pia zipo katika makundi mbalimbali mfano, *Turbojet 'PureJet'(Mfumo wa ndege nyingi za awali) *Turbofan(Mfumo wa ndege nyingi za sasa) *Turboshaft(Mfumo wa baadhi ya ndege za sasa mfano Helicopter n.k *Scramjet.(Mfumo ulio katika ndege za majaribio za mwendokasi mara nyingi ufanisi wake uanzia mara tano ya kasi ya sauti 'Hypersonic') Injini za jeti zinafanya kazi kwa: 1-Kunyonya hewa mbele (suck) 2-Kukandamiza (compression) 3-Kulipua hewa iliyokandamizwa kwa kuchanganya na mafuta(Ignition) 4-Kisha inatoka/kupulizwa nyuma kwa kasi kubwa na kuisukuma ndege mbele.(Thrust) Mfano mzuri kazi ya injini hizi ni kama Puto lililopulizwa na kuachiwa hewani pasipo kuzibwa mdomo wake.(Action and reaction) Ndege nyingi za kisasa zinatumia injini aina ya 'Turbofan' (Gas driven) katika kundi la jeti ambazo zinasemakana kuwa na nguvu kubwa na ulaji mdogo wa mafuta. (Unaweza kutambua injini hizi kwa haraka kwa kuona feni kubwa lililo mbele ya injini kwa ndani kidogo..usifananishe na mapangaboi) Injini za 'Turbojet/Purejet' ambazo moja kwa moja zinanyonya hewa mbele zinakandamiza,kulipua na kuitoa hewa moja ya moto kwa kasi nyuma ambayo ndiyo nguvu pekee inayosukuma ndege kwenda mbele, hutumia mafuta mengi kuliko Injini ya 'Turbofan' ambayo ni tofauti kidogo kwani feni lake linavuta na kusukuma hewa mbili nyuma huku hewa ya kwanza ikiwa ile inayoingia kwenye mfumo wa ndani ya injini ambayo unyonywa,kukandamizwa na kulipuliwa na hewa ya pili ni pale hewa ya kwanza iliyolipuliwa kabla ya kufika nje inazungusha visahani maalum 'turbine' zilizoungwa na 'shaft' kwenda kwenye feni lake mbele ambapo huzunguka pamoja na feni na kufanya livute na kusukuma nyuma hewa ya pili yenye nguvu zaidi inayopita nje ya mfumo wa injini(Bypass air) hivyo kuleta nguvu zaidi kwa kutumia mafuta kidogo. 2-MFUMO WA INJINI ZA MAPANGABOI Mapangaboi au 'Propeller'nazo zinafanya kazi kwa kutumia mapanga yake kuchota hewa mbele na kuisukuma nyuma kwa kasi na kuifanya ndege kwenda mbele. *Pangaboi linaweza kuwa linazungushwa na 'propeller' iliyoungwa na piston za injini, *Au kwa mapangaboi yenye injini ya 'turbo' (turbopropeller)yanazungushwa na hewa iliyolipuliwa (hii aina ya jeti engine yenye mapangaboi)kupitia visahani 'turbine' vilivyo ungwa na propela ya mapangaboi kupitia mfumo wa gear(Geared turboprop)au yanayozunguka kupitia mkandamizo 'pressure' ya hewa iliyolipuliwa pasipo kuungana na chochote (free turbine). *Pia 'turboshaft' Mapangaboi yanayozungushwa na hewa iliyolipuliwa kupitia visahani 'turbine' vilivyoungana na propela ya mapangaboi moja kwa moja,pia yaweza kuwa 'Geared' au ila si 'free turbine' Mifumo ya injini za kisasa ya mapangaboi inafanya kazi sawa na jeti (Ukiacha za piston)katika mfumo wa ufuaji wa nishati na kuzitofautisha tu katika muonekano wa nje wa injini. Injini zenye mfumo ya jeti ni fanisi zaidi kwa ndege zinazopaa anga za juu ambapo hewa ni hafifu,masafa marefu na mwendokasi hasa unaozidi spidi ya sauti 'supersonic' Wakati, Injini za mfumo wa Mapangaboi ni fanisi zaidi katika mwendo ulio chini ya spidi ya sauti 'subsonic',anga za chini na kati na masafa mafupi kwenda ya kati. Tukumbuke pia injini za ndege hazina mahusiano wala kiunganishi chochote na tairi za ndege. Tairi za ndege ni 'freewheel' na zimeunganishwa na mfumo wa 'brake' na kona tu. Hakuna kinachozungusha tairi kutoka kwenye injini bali zinafuata uelekeo wa kule ndege inaposukumwa. Crdts: Online,Aero book,wikimedia.
    ·209 Views
  • 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙

    Karibu Ujifunze vitu mbalimbali kama
    - Kutengeneza WhatsApp Bot kwa njia mbalimbali na nyepesi
    - Jifunze namna ya kupata Followers,likes, na comments kwa mitandao ya tiktok na instagram
    - Kutengeneza viruses
    - Kutengeneza international phone Numbers
    - Namna ya kuhack Social media zote
    - Wifi Hacking
    - Bluetooth hacking

    UTAPATA VITU KAMA
    1. Azam Max Pro
    2. Dstv Premium
    3. Startimes Premium

    Join WhatsApp channel
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04


    Telegram Channel
    https://t.me/duduu_mendez_store

    Kama telegram yako inasumbua fanya hivi https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/153


    Namna ya kufungua link za telegram bila shida
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/152


    once MENDEZ forever MENDEZ

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
    ▶︎ ●────────── 0:41
    𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 Karibu Ujifunze vitu mbalimbali kama - Kutengeneza WhatsApp Bot kwa njia mbalimbali na nyepesi - Jifunze namna ya kupata Followers,likes, na comments kwa mitandao ya tiktok na instagram - Kutengeneza viruses - Kutengeneza international phone Numbers - Namna ya kuhack Social media zote - Wifi Hacking - Bluetooth hacking UTAPATA VITU KAMA 1. Azam Max Pro 2. Dstv Premium 3. Startimes Premium Join WhatsApp channel https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04 Telegram Channel https://t.me/duduu_mendez_store Kama telegram yako inasumbua fanya hivi https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/153 Namna ya kufungua link za telegram bila shida https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/152 once MENDEZ forever MENDEZ > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP.COM
    DUDUU_MENDEZ TIPS | WhatsApp Channel
    DUDUU_MENDEZ TIPS WhatsApp Channel. Get full Internet and networking tips. 51 followers
    Like
    1
    ·657 Views
  • Yamesemwa na Mwijaku, Mtangazaji wa Crown Media.

    #TBT-Sikutamani kusema ila wacha niseme nimesaidia wasanii zaidi ta asilimia 55% Tanzania na wamefanikiwa . Ila hawasemi na mawazo yangu wanayatumia hadi leo mwijaku_maokoto #2025
    Yamesemwa na Mwijaku, Mtangazaji wa Crown Media. #TBT-Sikutamani kusema ila wacha niseme nimesaidia wasanii zaidi ta asilimia 55% Tanzania na wamefanikiwa . Ila hawasemi na mawazo yangu wanayatumia hadi leo mwijaku_maokoto #2025
    Like
    2
    ·208 Views
  • Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ...............

    USIWAZE HELA KWANZA

    1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya )

    Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho

    A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita )

    Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo

    1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi

    1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni

    1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim

    1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona..

    1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu

    1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi

    NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo

    Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi

    1: KineMaster
    2: Inshort
    3: Yo Cut
    3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha

    Baada ya hayo Jifunze yafuatayo

    1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script

    2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti

    3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako

    4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O

    5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi)
    Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako

    Then Fanya pia yafuatayo

    Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao.

    Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu

    kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi

    3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa

    4: Tengeneza Logo Safi

    5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba

    6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo

    NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata

    7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo

    8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi
    9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo

    10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena

    11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana

    12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day




    📌 Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ............... USIWAZE HELA KWANZA 😁😁 1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya ) Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita ) Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo 1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi 1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni 1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim 1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona.. 1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu 1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi 1: KineMaster 2: Inshort 3: Yo Cut 3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha 😁😁😁 Baada ya hayo Jifunze yafuatayo 1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script 2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti 3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako 4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O 😳😳 5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi) Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako Then Fanya pia yafuatayo Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao. Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi 3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa 4: Tengeneza Logo Safi 5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba 6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata 7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo 8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi 9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo 10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena 11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana 12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day 🙏🙏🙏🙏🙏
    Like
    Love
    3
    ·733 Views
  • _THESE ARE THE MEANING OF THE FOLLOWING  ABBREVIATIONS.


    1.) GOOGLE - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth.
    2.) YAHOO - Yet Another Hierarchical Officious Oracle.
    3.) WINDOW - Wide Interactive Network Development for Office work Solution.
    4.) COMPUTER - Common Oriented Machine Particularly United and used under Technical and Educational Research.
    5.) VIRUS - Vital Information Resources Under Siege.
    6.) UMTS - Universal Mobile Telecommunicati ons System.
    7.) AMOLED - Active-matrix organic light-emitting diode.
    8.) OLED - Organic light-emitting diode.
    9.) IMEI - International Mobile Equipment Identity.
    10.) ESN - Electronic Serial Number.
    11.) UPS - Uninterruptible power supply.
    12. HDMI - High-Definition Multimedia Interface.
    13.) VPN - Virtual private network.
    14.) APN - Access Point Name.
    15.) SIM - Subscriber Identity Module.
    16.) LED - Light emitting diode.
    17.) DLNA - Digital Living Network Alliance.
    18.) RAM - Random access memory.
    19.) ROM - Read only memory.
    20.) VGA - Video Graphics Array.
    21.) QVGA - Quarter Video Graphics Array.
    22.) WVGA - Wide video graphics array.
    23.) WXGA - Widescreen Extended Graphics Array.
    24.) USB - Universal serial Bus.
    25.) WLAN - Wireless Local Area Network.
    26.) PPI - Pixels Per Inch.
    27.) LCD - Liquid Crystal Display.
    28.) HSDPA - High speed down-link packet access.
    29.) HSUPA - High-Speed Uplink Packet Access.
    30.) HSPA - High Speed Packet Access.
    31.) GPRS - General Packet Radio Service.
    32.) EDGE - Enhanced Data Rates for Globa Evolution.
    33.) NFC - Near field communication.
    34.) OTG - On-the-go.
    35.) S-LCD - Super Liquid Crystal Display.
    36.) O.S - Operating system.
    37.) SNS - Social network service.
    38.) H.S - HOTSPOT.
    39.) P.O.I - Point of interest.
    40.) GPS - Global Positioning System.
    41.) DVD - Digital Video Disk.
    42.) DTP - Desk top publishing.
    43.) DNSE - Digital natural sound engine.
    44.) OVI - Ohio Video Intranet.
    45.) CDMA - Code Division Multiple Access.
    46.) WCDMA - Wide-band Code Division Multiple Access.
    47.) GSM - Global System for Mobile Communications.
    48.) WI-FI - Wireless Fidelity.
    49.) DIVX - Digital internet video access.
    50.) APK - Authenticated public key.
    51.) J2ME - Java 2 micro edition.
    52.) SIS - Installation
    53.) DELL - Digital electronic link library.
    54.) ACER - Acquisition Collaboration Experimentation Reflection.
    55.) RSS - Really simple syndication.
    56.) TFT - Thin film
    57.) AMR- Adaptive Multi-Rate.
    58.) MPEG - moving pictures experts group.
    59.) IVRS - Interactive Voice Response System.
    60.) HP - Hewlett
    Packard.
    _THESE ARE THE MEANING OF THE FOLLOWING  ABBREVIATIONS. 1.) GOOGLE - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth. 2.) YAHOO - Yet Another Hierarchical Officious Oracle. 3.) WINDOW - Wide Interactive Network Development for Office work Solution. 4.) COMPUTER - Common Oriented Machine Particularly United and used under Technical and Educational Research. 5.) VIRUS - Vital Information Resources Under Siege. 6.) UMTS - Universal Mobile Telecommunicati ons System. 7.) AMOLED - Active-matrix organic light-emitting diode. 8.) OLED - Organic light-emitting diode. 9.) IMEI - International Mobile Equipment Identity. 10.) ESN - Electronic Serial Number. 11.) UPS - Uninterruptible power supply. 12. HDMI - High-Definition Multimedia Interface. 13.) VPN - Virtual private network. 14.) APN - Access Point Name. 15.) SIM - Subscriber Identity Module. 16.) LED - Light emitting diode. 17.) DLNA - Digital Living Network Alliance. 18.) RAM - Random access memory. 19.) ROM - Read only memory. 20.) VGA - Video Graphics Array. 21.) QVGA - Quarter Video Graphics Array. 22.) WVGA - Wide video graphics array. 23.) WXGA - Widescreen Extended Graphics Array. 24.) USB - Universal serial Bus. 25.) WLAN - Wireless Local Area Network. 26.) PPI - Pixels Per Inch. 27.) LCD - Liquid Crystal Display. 28.) HSDPA - High speed down-link packet access. 29.) HSUPA - High-Speed Uplink Packet Access. 30.) HSPA - High Speed Packet Access. 31.) GPRS - General Packet Radio Service. 32.) EDGE - Enhanced Data Rates for Globa Evolution. 33.) NFC - Near field communication. 34.) OTG - On-the-go. 35.) S-LCD - Super Liquid Crystal Display. 36.) O.S - Operating system. 37.) SNS - Social network service. 38.) H.S - HOTSPOT. 39.) P.O.I - Point of interest. 40.) GPS - Global Positioning System. 41.) DVD - Digital Video Disk. 42.) DTP - Desk top publishing. 43.) DNSE - Digital natural sound engine. 44.) OVI - Ohio Video Intranet. 45.) CDMA - Code Division Multiple Access. 46.) WCDMA - Wide-band Code Division Multiple Access. 47.) GSM - Global System for Mobile Communications. 48.) WI-FI - Wireless Fidelity. 49.) DIVX - Digital internet video access. 50.) APK - Authenticated public key. 51.) J2ME - Java 2 micro edition. 52.) SIS - Installation 53.) DELL - Digital electronic link library. 54.) ACER - Acquisition Collaboration Experimentation Reflection. 55.) RSS - Really simple syndication. 56.) TFT - Thin film 57.) AMR- Adaptive Multi-Rate. 58.) MPEG - moving pictures experts group. 59.) IVRS - Interactive Voice Response System. 60.) HP - Hewlett Packard.
    Like
    2
    ·272 Views
  • "Naitwa Diva Gizeélè Malinzi Natokea Tanga na Bukoba ... So far mi Ni Tanga finest nafanya kazi Wasafi Media .. Sina mume wala mtoto ...but looking forwad to have alein&alain🙂‍↔️

    Naipenda Yanga daima mbele nyuma mwiko ..

    Je wewe unaitwa Nani? unatoka mkoa gan .. una mke au mume una mchumba au una ki boyfriend au ki girlfriend afu ati una shabikia Team gan ?!" - Diva Thebowse.

    "Naitwa Diva Gizeélè Malinzi Natokea Tanga na Bukoba ... So far mi Ni Tanga finest😜 nafanya kazi Wasafi Media .. Sina mume wala mtoto ...but looking forwad to have alein&alain🙂‍↔️ Naipenda Yanga daima mbele nyuma mwiko .. Je wewe unaitwa Nani? unatoka mkoa gan .. una mke au mume una mchumba au una ki boyfriend au ki girlfriend afu ati una shabikia Team gan ?!" - Diva Thebowse.
    ·318 Views
  • WHATSAPP BOT

    Whatsapp bot zimegawanyika katika makundi matatu :-
    1. NORMAL WHATSAPP BOT
    2. WHATSAPP BUG BOT
    3. SEMI WHATSAPP BOT

    > Normal WhatsApp bot - Ni zile bot ambazo zinafanya kazi zilizozoeleka mfano kuview status kulike,Kudowload media mbalimbali kama miziki na video za YouTube, kuweka ANTIDELETE, antiviewonce, kuedit picha, kutengeneza sticker na memes n,k

    *WhatsApp bug bot- Hizi ni Bot hatari sana zinaweza kufanya Crash katika account za WhatsApp ikapelekea kuharib WhatsApp ya victim au mlengwa,
    *Pia hizi bot zina uwezo wa kufanya kazi nyingine ambazo zinafanywa na Normal WhatsApp bot
    Pia hiz Bug bot zipo ambazo zinaweza kuhack account na kutrack ip address na mengineyo.**

    *Bug bot hutofautiana Nguvu zipo ambazo zinaweza kuhack hadi Pc na aina zote za simu iwe android au Iphone.**

    》》Semi WhatsApp bot > Hizi ni bot ambazo zipo katika zina sifa baadhi za kuwa Normal na sifa nyingine za kuwa Bug bot

    Kila sehemu zimechukua sifa kidogo kidgo

    Mfano wa Bot hizo ni kama
    - SUHAIL MD
    - FANTASTICS-BOT
    - LEVANTER MD
    - SUHAIL-XMD
    - FANTASTICS-BOT-V2

    Tofauti kuu ya bot hizi ni kwamba Normal Bot na semi Bot zote hutumia njia ya SESSION_ID na Hizo bug Bot hutumia njia ya Creds.json

    HIZO NDO AINA ZA WHATSAPP BOT, UTACHAGUA BOT KULINGANA NA MATUMIZI YAKO

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP BOT Whatsapp bot zimegawanyika katika makundi matatu :- 1. NORMAL WHATSAPP BOT 2. WHATSAPP BUG BOT 🐛 3. SEMI WHATSAPP BOT > Normal WhatsApp bot - Ni zile bot ambazo zinafanya kazi zilizozoeleka mfano kuview status kulike,Kudowload media mbalimbali kama miziki na video za YouTube, kuweka ANTIDELETE, antiviewonce, kuedit picha, kutengeneza sticker na memes n,k *WhatsApp bug bot- Hizi ni Bot hatari sana zinaweza kufanya Crash katika account za WhatsApp ikapelekea kuharib WhatsApp ya victim au mlengwa, *Pia hizi bot zina uwezo wa kufanya kazi nyingine ambazo zinafanywa na Normal WhatsApp bot Pia hiz Bug bot zipo ambazo zinaweza kuhack account na kutrack ip address na mengineyo.** *Bug bot hutofautiana Nguvu zipo ambazo zinaweza kuhack hadi Pc na aina zote za simu iwe android au Iphone.** 》》Semi WhatsApp bot > Hizi ni bot ambazo zipo katika zina sifa baadhi za kuwa Normal na sifa nyingine za kuwa Bug bot Kila sehemu zimechukua sifa kidogo kidgo Mfano wa Bot hizo ni kama - SUHAIL MD - FANTASTICS-BOT - LEVANTER MD - SUHAIL-XMD - FANTASTICS-BOT-V2 Tofauti kuu ya bot hizi ni kwamba Normal Bot na semi Bot zote hutumia njia ya SESSION_ID na Hizo bug Bot hutumia njia ya Creds.json HIZO NDO AINA ZA WHATSAPP BOT, UTACHAGUA BOT KULINGANA NA MATUMIZI YAKO > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    Love
    1
    ·388 Views
  • START LEARNING WITH US

    - WHATSAPP BOT DEPLOYMENT
    - HACKING TIPS
    - TERMUX COURSE
    - KALI LINUX COMMANDS USED BY HACKERS
    - UBUNTU TUTORIAL USED BY HACKERS
    - FREE VPN FILES
    - SCRIPT MAKING
    - PREMIUM APPS
    - SOCIAL MEDIA HACKING
    - INTERNET TECHNOLOGY
    - WEB HOSTING AND DESGIN
    - etc

    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    START LEARNING WITH US - WHATSAPP BOT DEPLOYMENT - HACKING TIPS - TERMUX COURSE - KALI LINUX COMMANDS USED BY HACKERS - UBUNTU TUTORIAL USED BY HACKERS - FREE VPN FILES - SCRIPT MAKING - PREMIUM APPS - SOCIAL MEDIA HACKING - INTERNET TECHNOLOGY - WEB HOSTING AND DESGIN - etc https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04 > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP.COM
    DUDUU_MENDEZ TIPS | WhatsApp Channel
    DUDUU_MENDEZ TIPS WhatsApp Channel. Get full Internet and networking tips. 39 followers
    Like
    1
    1 Commentarios ·541 Views
  • KWANI KATIKA SHERIA ZOTE ZA KATIBA YA YANGA KUNA SHERIA INASEMA YANGA AVAE NJANO, NA KIJANI MPAKA KIAMA!!!? JEZI AMBAYO YANGA HATOIVAA MILELE NI RED KIT ( JEZI NYEKUNDU ) TU.... Dadeq Acheni fyokofyoko
    #sokachampions
    #socialmedia
    #sports
    #uefachampionsleague2024
    #soccersportstz
    KWANI KATIKA SHERIA ZOTE ZA KATIBA YA YANGA KUNA SHERIA INASEMA YANGA AVAE NJANO, NA KIJANI MPAKA KIAMA!!!? JEZI AMBAYO YANGA HATOIVAA MILELE NI RED KIT ( JEZI NYEKUNDU ) TU.... Dadeq Acheni fyokofyoko🤣🤣🤣🤣 #sokachampions #socialmedia #sports #uefachampionsleague2024 #soccersportstz
    Love
    Like
    4
    1 Commentarios ·824 Views
  • Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi.

    Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako.

    Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake.

    Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu.

    Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima.

    Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake.

    Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini.

    Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako.

    Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara.

    Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!!

    Je wewe ni malikia wa nguvu?
    Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi. Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako. Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake. Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu. Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima. Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake. Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini. Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako. Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara. Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!! Je wewe ni malikia wa nguvu?
    ·467 Views
  • Uyapokee nitakayokueleza, hata kama yanaumiza ni vema ukajiruhusu kuyaelewa. Si kweli kwamba yuko busy. Si kweli kwamba simu yake ni mbovu. Si kweli kwamba hua anasahau kukujibu sms zako. Si kweli kwamba kila wakati yuko mbali na simu.

    Kama mawasiliano yake na yako ni ya mashaka ni kwamba hana tena kitu cha kukuambia. Kama mawasiliano ni ya kulazimisha, ni wazi kwamba hakufikirii na haupo akilini mwake tena.

    Kama kila siku wewe ndio wakuanzisha mawasiliano ni kwa sababu kuna asilimia za kutosha tu za upendo zilizopungua kutoka kwake. Si kweli kwamba hana vocha, ni wazi kwamba ameamua tu kutokuwasiliana na wewe kwa sababu ameona hamna haja.

    Si kweli kwamba sms yako hakuiona, na wakati ulipomtumia tu ukapata delivered report au blue tick...ni kwamba ameona kama unmsumbua ukizingatia akilini mwake wala haupo.

    Kama hataki hata kukutafuta ingawa yuko active kwenye social media kama WatsApp, Instagram, facebook, etc..basi hiyo itoshe kukufahamisha kwamba kwake wewe wala sio kipaumbele kama yeye alivyo kipaumbele kwako.

    Acha kujaribu kushawishi nafsi yako kwamba atakutafuta. Acha kujaribu kujiaminisha kwamba anafanya hivyo kwa nia njema. Dalili kubwa ya mtu ambae anatafuta namna ya kuvunja uhusiano sio kukueleza wazi kwamba hakupendi na hakutaki....kusema hivyo roho humsuta...dalili kubwa ni mawasiliano kupungua, mawasiliano ya kulazimisha na kusingizia ubize. Ubize gani mpaka mtu akose walau dk tano tu za kujuliana hali?

    Kama mtu hawezi kufanya vitu vidogo tu mfano kukujulia hali asubuhi, kukuuliza siku yako imeendaje, kukueleza kuhusu siku yake ilivyoenda, na kukutakia usiku mwema ili utakapoenda kulala usijihisi kama hupendwi na upo mpweke, hiyo itoshe kumuacha aende..kwa sababu sicho ambacho unastahili.

    My wisdom "Letting go means to come to the realization that some people are a part of your history, but not a part of your destiny."
    Uyapokee nitakayokueleza, hata kama yanaumiza ni vema ukajiruhusu kuyaelewa. Si kweli kwamba yuko busy. Si kweli kwamba simu yake ni mbovu. Si kweli kwamba hua anasahau kukujibu sms zako. Si kweli kwamba kila wakati yuko mbali na simu. Kama mawasiliano yake na yako ni ya mashaka ni kwamba hana tena kitu cha kukuambia. Kama mawasiliano ni ya kulazimisha, ni wazi kwamba hakufikirii na haupo akilini mwake tena. Kama kila siku wewe ndio wakuanzisha mawasiliano ni kwa sababu kuna asilimia za kutosha tu za upendo zilizopungua kutoka kwake. Si kweli kwamba hana vocha, ni wazi kwamba ameamua tu kutokuwasiliana na wewe kwa sababu ameona hamna haja. Si kweli kwamba sms yako hakuiona, na wakati ulipomtumia tu ukapata delivered report au blue tick...ni kwamba ameona kama unmsumbua ukizingatia akilini mwake wala haupo. Kama hataki hata kukutafuta ingawa yuko active kwenye social media kama WatsApp, Instagram, facebook, etc..basi hiyo itoshe kukufahamisha kwamba kwake wewe wala sio kipaumbele kama yeye alivyo kipaumbele kwako. Acha kujaribu kushawishi nafsi yako kwamba atakutafuta. Acha kujaribu kujiaminisha kwamba anafanya hivyo kwa nia njema. Dalili kubwa ya mtu ambae anatafuta namna ya kuvunja uhusiano sio kukueleza wazi kwamba hakupendi na hakutaki....kusema hivyo roho humsuta...dalili kubwa ni mawasiliano kupungua, mawasiliano ya kulazimisha na kusingizia ubize. Ubize gani mpaka mtu akose walau dk tano tu za kujuliana hali? Kama mtu hawezi kufanya vitu vidogo tu mfano kukujulia hali asubuhi, kukuuliza siku yako imeendaje, kukueleza kuhusu siku yake ilivyoenda, na kukutakia usiku mwema ili utakapoenda kulala usijihisi kama hupendwi na upo mpweke, hiyo itoshe kumuacha aende..kwa sababu sicho ambacho unastahili. My wisdom "Letting go means to come to the realization that some people are a part of your history, but not a part of your destiny."
    ·388 Views
  • #MARADHUL_BAWL
    U.T.I
    (Urinary Truck Infections)
    Dawa hii hutibu maradhi yote ya mfumo wa mkojo kama vile mkojo mchafu(U.T.I),Maumivu,kuwasha na mkojo kutoka kwa shida fangasi ukeni,Vijiwe katika figo,gono,kichocho,kaswende,huzibua mirija na mengineyo.
    MATUMIZI:
    Mkubwa:Kunywa vijiko vya chakula 2x2
    Mtoto:Kunywa kijiko cha chai 1x2.
    TIKISA DAWA HII KABLA YA KUTUMIA
    "Hakika Mungu ni mponyaji pekee"
    #Bei chupa 1 ni 10000Tsh na dozi kamili ni chupa 2/3.

    MARADHUL BAWL
    U.T.I
    (Urinary Truck Infection)
    This is natural Sunna Medicine treats all diseases of the urinary system such as dirty urine(UTI).Pain,burning and difficulty starting urination,Kidney stones,Gonorrhoea,Bilharzia,Syphilis,Genital warts,Unblocked tubes and etc.
    USAGE:
    Adult:Use 2 tablespoons to drink twice a day(2x2)
    Child:Use 1 tablespoon to drink twice a day(1x2)
    SHAKE WELL MEDICINE BEFORE USE
    PRODUCED & PACKED BY:
    TWAIB HERBS
    +255767607724
    +255679607724
    #MARADHUL_BAWL U.T.I (Urinary Truck Infections) Dawa hii hutibu maradhi yote ya mfumo wa mkojo kama vile mkojo mchafu(U.T.I),Maumivu,kuwasha na mkojo kutoka kwa shida fangasi ukeni,Vijiwe katika figo,gono,kichocho,kaswende,huzibua mirija na mengineyo. MATUMIZI: Mkubwa:Kunywa vijiko vya chakula 2x2 Mtoto:Kunywa kijiko cha chai 1x2. TIKISA DAWA HII KABLA YA KUTUMIA "Hakika Mungu ni mponyaji pekee" #Bei chupa 1 ni 10000Tsh na dozi kamili ni chupa 2/3. MARADHUL BAWL U.T.I (Urinary Truck Infection) This is natural Sunna Medicine treats all diseases of the urinary system such as dirty urine(UTI).Pain,burning and difficulty starting urination,Kidney stones,Gonorrhoea,Bilharzia,Syphilis,Genital warts,Unblocked tubes and etc. USAGE: Adult:Use 2 tablespoons to drink twice a day(2x2) Child:Use 1 tablespoon to drink twice a day(1x2) SHAKE WELL MEDICINE BEFORE USE PRODUCED & PACKED BY: TWAIB HERBS +255767607724 +255679607724
    Like
    1
    ·362 Views
  • KIDNEY CARE
    DAWA YA FIGO
    Dawa hii ni unga na imeandaliwa maalum kwa kutibu maradhi yafuatayo.
    1.Huboresha figo katika kufanya kazi.
    2.Huondosha vijiwe katika figo
    3.Huondosha matatizo ya mkojo.
    4.Kuvimba kwa miguu,maumivu na uchovu wa mwili
    5.Husaidia kuboresha kazi ya ubongo.
    6.Huboresha mfumo wa chakula na kinga ya mwili.
    ✦Hakika Mungu ni mponyaji na atakusaidia.
    MATUMIZI.
    Mkubwa:Tumia kijiko 1 cha chakula katika maji moto,maziwa au uji.
    Mtoto:Atumie kijiko 1 cha chai katika mchanganyiko huo.

    KIDNEY CARE
    Herbal Powder
    Powder medicine and has been specially prepared to treat the following diseases.
    1.Improves kidney function.
    2.Removes kidney stones
    3.Eliminates urinary problems.
    4.Swelling of the feet, pain and fatigue
    5.Helps improve brain function.
    6.Improves the digestion system and body immunity.
    ✦Surely God is a healer and will help you.
    USAGE.
    Adult: Use 1X2 tablespoon in hot water, milk or porridge.
    Child: Use 1x2 teaspoon in the mixture.
    𝐂𝐚𝐥𝐥 𝐔𝐬 𝐨𝐫 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩
    +255767607724
    KIDNEY CARE DAWA YA FIGO Dawa hii ni unga na imeandaliwa maalum kwa kutibu maradhi yafuatayo. 1.Huboresha figo katika kufanya kazi. 2.Huondosha vijiwe katika figo 3.Huondosha matatizo ya mkojo. 4.Kuvimba kwa miguu,maumivu na uchovu wa mwili 5.Husaidia kuboresha kazi ya ubongo. 6.Huboresha mfumo wa chakula na kinga ya mwili. ✦Hakika Mungu ni mponyaji na atakusaidia. MATUMIZI. Mkubwa:Tumia kijiko 1 cha chakula katika maji moto,maziwa au uji. Mtoto:Atumie kijiko 1 cha chai katika mchanganyiko huo. KIDNEY CARE Herbal Powder Powder medicine and has been specially prepared to treat the following diseases. 1.Improves kidney function. 2.Removes kidney stones 3.Eliminates urinary problems. 4.Swelling of the feet, pain and fatigue 5.Helps improve brain function. 6.Improves the digestion system and body immunity. ✦Surely God is a healer and will help you. USAGE. Adult: Use 1X2 tablespoon in hot water, milk or porridge. Child: Use 1x2 teaspoon in the mixture. 𝐂𝐚𝐥𝐥 𝐔𝐬 𝐨𝐫 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩 +255767607724
    Like
    2
    ·351 Views
  • Habari ndugu zangu naombeni mka subscribe channel yangu tafadhal
    https://youtube.com/@fadhilicomedian?si=BzqKRcZfs7YDfEkJ
    Habari ndugu zangu naombeni mka subscribe channel yangu tafadhal 🙏 🙏🙏 https://youtube.com/@fadhilicomedian?si=BzqKRcZfs7YDfEkJ
    YOUTUBE.COM
    Fadhili Comedian
    COMEDIAN 🇹🇿||CONTENT CREATOR|| STAND UP COMEDY||FUNNY ACTIVITY 🤣 SQUAD OF 5 PEOPLE @MABIGU JUNIOR @MTOTO IDDY @EDITOR @GIDI WIZZY SUBSCRIBE CHANNEL YETU
    Like
    Love
    2
    ·239 Views
  • #socialpopreels




    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    #socialpopreels [Neemadish] #SocialPop #tanzaniasocialmedia #socialpoptanzania #Supportsocialpop🤣🤣😂😂
    Like
    Love
    Haha
    4
    ·2K Views ·1 Acciones
  • " Kabla ya mimi kusajili Simba nilipata ofa kutoka Yanga ila kwangu mimi nilichagua kuja kucheza Simba,nilikua naifahamu Simba pekee yake Tanzania tofauti na timu zingine, Yanga nawafahamu ila sio sana Kama Simba SC, mchezaji wa Yanga niliyekuwa namfahamu ni Aziz Ki, Azam siwafahamu"

    Leonel Ateba mbele ya waandishi wa habari kwenye Simba Media Day.
    #paulswai
    " Kabla ya mimi kusajili Simba nilipata ofa kutoka Yanga ila kwangu mimi nilichagua kuja kucheza Simba,nilikua naifahamu Simba pekee yake Tanzania tofauti na timu zingine, Yanga nawafahamu ila sio sana Kama Simba SC, mchezaji wa Yanga niliyekuwa namfahamu ni Aziz Ki, Azam siwafahamu" 🗣️ Leonel Ateba mbele ya waandishi wa habari kwenye Simba Media Day. #paulswai
    Like
    3
    ·433 Views
  • We Are working on Image and Media Posting
    We Are working on Image and Media Posting 🙏🙏🙏
    Like
    7
    1 Commentarios ·529 Views
  • IJUMAA na MAAJABU YAKE #ansaarmuslimyouthcentre #rawdhamedia
    IJUMAA na MAAJABU YAKE #ansaarmuslimyouthcentre #rawdhamedia
    ·379 Views
  • Munu

    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    Munu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 [Neemadish] #SocialPop #tanzaniasocialmedia #socialpoptanzania #Supportsocialpop
    Like
    Love
    5
    1 Commentarios ·700 Views ·73 Views
Resultados de la búsqueda