Upgrade to Pro

  • APPRECIATION POST

    Yanga walipohitaji matumaini Kimataifa kule Tunisia dhidi ya CR Belouizdad simu ilipigwa na Stephanie Aziz Ki

    Yanga Sc walipohitaji matumaini Kimataifa hapa Mauritania dhidi Al Hilal ya Ibenge simu tena ikapigwa na Stephanie Aziz Ki
    Decisive player when needed

    NB..! Yes, he's Not without flow but simply Impeccable Mwamba wa Ouagadougou
    APPRECIATION POST Yanga walipohitaji matumaini Kimataifa kule Tunisia dhidi ya CR Belouizdad simu ilipigwa na Stephanie Aziz Ki Yanga Sc walipohitaji matumaini Kimataifa hapa Mauritania dhidi Al Hilal ya Ibenge simu tena ikapigwa na Stephanie Aziz Ki Decisive player when needed NB..! Yes, he's Not without flow but simply Impeccable Mwamba wa Ouagadougou
    Like
    1
    1 Commentarios ·146 Views
  • MORAL LESSON(True)

    Both guavas are hanging together on the same branch of the same tree.

    One of them is already ripe, while the other one may need more time to ripe.

    Nature is teaching us an important lesson through these guavas.

    When we see others around us achieving success while we have not, it does not mean we are unsuccessful. It simply means that the right time for us has not yet come.

    So, we must hold on, be patient, and not give up out of frustration.

    We might just be a few days away from reaching our ripened state.

    Remember, our time will come, too, but it requires patience and perseverance..
    MORAL LESSON(True) Both guavas are hanging together on the same branch of the same tree. One of them is already ripe, while the other one may need more time to ripe. Nature is teaching us an important lesson through these guavas. When we see others around us achieving success while we have not, it does not mean we are unsuccessful. It simply means that the right time for us has not yet come. So, we must hold on, be patient, and not give up out of frustration. We might just be a few days away from reaching our ripened state. Remember, our time will come, too, but it requires patience and perseverance..
    Like
    Love
    4
    ·296 Views
  • . "Failure is simply the opportunity to begin again, this time more intelligently." - Henry Ford
    . "Failure is simply the opportunity to begin again, this time more intelligently." - Henry Ford
    Like
    3
    1 Commentarios ·339 Views
  • Happy World Whiskey Day from the finest Whiskey on the planet, The Notorious @properwhiskey! Simply delicious! Hope you are all having a great day!
    Happy World Whiskey Day from the finest Whiskey on the planet, The Notorious @properwhiskey! Simply delicious! Hope you are all having a great day! ❤️🥃☘️
    ·279 Views
  • Message kwa Dada wenye Tabia hizi .

    Wewe ni msichana mzuri, unapenda kwenda na wakati. Umeshaanza kutumia vilevi. Tena vile laini ambavyo ukinywa leo unaweza kulewa kesho.

    Una mahusiano na John. Lakini unampenda sana Simon. Japo mvulana aliyekutoa bikira ni Side lakini toka muachane humuhitaji tena kwakua unamuona mshamba na unaona kabisa kua ulikosea njia kuwa nae.

    Sponsor Molito ni baba unaye muheshimu sana. Kwakua uki date nae tu basi unarudi na pesa kibao

    John hana pesa nyingi, ila bishoo. Ana rasta kichwan na kifua kipana. Anashinda gym kwa sababu yako ili u enjoy ukiwa nae.

    Simon ndio mvulana anaye julikana na rafiki zako wengi kwa kua ndio mvulana ambaye unashinda nae muda mrefu. Hivyo umemuaminisha kua unampenda yeye peke yake. Kisa ni handsome

    Simon ndio mvulana ambaye unaweza hata kumpost kwenye mitandao lakini Caption zako za kawaida sana zisizoonyesha dalili zozote za mahusiano.

    Upo na marafiki zako wapatao wanne ambao wote life style yenu ndio hiyo.yaani hata chai mnapika inatoka na ukoko na ugali hauna ushirikiano kama waumini wa Nabii Tito (hamjui kupika)

    Kila mkilala mchana mnawaza usiku muende club gani au wapi kuna pub nzuri ili mlewe.

    Unaishi na mama yako na wadogo zako wanasoma. Mama hana usemi kwako kwakua ukitoka kwa Sponsor Molito unamtupia laki 2.
    Mama anakuruhusu ukapumzike. Na simu yako ikiita anakuletea ndani na kukuamsha kwa adabu. Kiufupi mama yako hana kauli juu yako kwakua wewe ndio tegemezi.

    Shopping yako ni laki 3 kwenda mbele. Hurudii nguo mara tatu. Usisikie simu mpya imetoka. Tayari unayo. Kwenu hamna gari lakini umeshajifunza na unatembelea magari Zaidi ya matatu lakini huna kadi hata moja.

    Umepanga nyumba nzima na huna kazi mjini. Ofisi yako ni simu na sauti nzuri ya kutokea puani.makalio yako ndio mtaji wako

    Miaka haisubiri. Ulikua na miaka 20 na miaka saba baadae unakua na miaka 27.

    Hushtuki. Poda zinaanza kudunda na vipodozi vinaanza kukataa kushika kwenye ngozi yako.
    Unaamua kubadilisha cream na kutumia zile kali kali ili ngozi ikubali.

    Unakua mweupe sana. Macho nayo yanapoteza nuru. Huwezi tembea kwenye jua kali. Muda wote kope za bandia ndio mlinzi wa muonekano wako.

    Sponsor Molito nae anahitaji kuwa na watoto wabichi wa miaka 20. Wewe age imeshakutupa mkono. Anakuona wa kawaida. Huna maajabu tena.

    Anakuacha na kukupa wakati mgumu wa kutafuta Sponsor mwengine.

    Inakua ngumu kuwapata kwa natural face, unaanza kufanya photoshoot za nusu uchi na editing nyingi ili wachuuzi wanase.

    Stress zinapanda unaanza kumlazimisha Simon akave nafasi ya Molito. Simon hana uwezo. Unampiga chini unabaki na Serengeti boy wako John.

    Huyo anapendwa na wasichana wengi, unamfumania na kuachana nae kwa matusi.

    Unabaki Single, huna danga wala bwana. Rafiki zako ukiwapigia simu ni vizinga tu na kuwaomba wakutoe out.. huna Ishu. Unalala tu usiku wakati ulikua unajiita POPO.

    Huwezi panda daladala kwakua mtaani unaitwa Cash Madame. Unaanza kupanda pikipiki kila mahali uendapo. Huna pesa za kulipia usafiri kila siku. Hivyo kuna mda jion kondakta au. Boda Boda anautumia mwil wako

    Unaamua kumpa penzi Mangi wa dukani ili vitu vidogodogo uwe unachukua bure,unamtaka baba mwenye nyumba ili uishi bure

    Unakuja Kutahamaki. Unafungua friji kuna maji tu, dawa ya meno imeisha, Gesi imaisha, luku nayo inakaribia kuisha, dukani kwa shirima mnadaiwa laki 2. Kodi ya nyumba inakaribia. Unamuita baba mwenye nyumba unampa penzi. Anakuongeza miezi mitatu……

    Kuja kutahamaki wewe unaishi kwa kufanya mapenzi na kila aina ya mtu kwakua tu umeamua ku fake maisha yako.

    Tuendelee......

    Yanini yote dada zangu?
    Jikubali kua wewe unaweza kutoka kimaisha na kuisaidia familia yako kwa njia salama kabisa bila kuutumia mwili wako.

    Hayo madanga huwa hayazeeki bali wewe unayedanga ndio unapitwa na wakati.
    Hayo madanga wanapenda wasichina wenye miaka ishirini.

    Wewe ukipita basi atatafutwa mwengine. Utaishia kutunza makabati ya kichina wenzako wakiolewa na wewe ukabaki na uzuri wako wa dukani.
    Badilikine wenye tabia hii.

    Simply irwin
    Message kwa Dada wenye Tabia hizi 👇👇👇. Wewe ni msichana mzuri, unapenda kwenda na wakati. Umeshaanza kutumia vilevi. Tena vile laini ambavyo ukinywa leo unaweza kulewa kesho. Una mahusiano na John. Lakini unampenda sana Simon. Japo mvulana aliyekutoa bikira ni Side lakini toka muachane humuhitaji tena kwakua unamuona mshamba na unaona kabisa kua ulikosea njia kuwa nae. Sponsor Molito ni baba unaye muheshimu sana. Kwakua uki date nae tu basi unarudi na pesa kibao John hana pesa nyingi, ila bishoo. Ana rasta kichwan na kifua kipana. Anashinda gym kwa sababu yako ili u enjoy ukiwa nae. Simon ndio mvulana anaye julikana na rafiki zako wengi kwa kua ndio mvulana ambaye unashinda nae muda mrefu. Hivyo umemuaminisha kua unampenda yeye peke yake. Kisa ni handsome Simon ndio mvulana ambaye unaweza hata kumpost kwenye mitandao lakini Caption zako za kawaida sana zisizoonyesha dalili zozote za mahusiano. Upo na marafiki zako wapatao wanne ambao wote life style yenu ndio hiyo.yaani hata chai mnapika inatoka na ukoko na ugali hauna ushirikiano kama waumini wa Nabii Tito (hamjui kupika) Kila mkilala mchana mnawaza usiku muende club gani au wapi kuna pub nzuri ili mlewe. Unaishi na mama yako na wadogo zako wanasoma. Mama hana usemi kwako kwakua ukitoka kwa Sponsor Molito unamtupia laki 2. Mama anakuruhusu ukapumzike. Na simu yako ikiita anakuletea ndani na kukuamsha kwa adabu. Kiufupi mama yako hana kauli juu yako kwakua wewe ndio tegemezi. Shopping yako ni laki 3 kwenda mbele. Hurudii nguo mara tatu. Usisikie simu mpya imetoka. Tayari unayo. Kwenu hamna gari lakini umeshajifunza na unatembelea magari Zaidi ya matatu lakini huna kadi hata moja. Umepanga nyumba nzima na huna kazi mjini. Ofisi yako ni simu na sauti nzuri ya kutokea puani.makalio yako ndio mtaji wako Miaka haisubiri. Ulikua na miaka 20 na miaka saba baadae unakua na miaka 27. Hushtuki. Poda zinaanza kudunda na vipodozi vinaanza kukataa kushika kwenye ngozi yako. Unaamua kubadilisha cream na kutumia zile kali kali ili ngozi ikubali. Unakua mweupe sana. Macho nayo yanapoteza nuru. Huwezi tembea kwenye jua kali. Muda wote kope za bandia ndio mlinzi wa muonekano wako. Sponsor Molito nae anahitaji kuwa na watoto wabichi wa miaka 20. Wewe age imeshakutupa mkono. Anakuona wa kawaida. Huna maajabu tena. Anakuacha na kukupa wakati mgumu wa kutafuta Sponsor mwengine. Inakua ngumu kuwapata kwa natural face, unaanza kufanya photoshoot za nusu uchi na editing nyingi ili wachuuzi wanase. Stress zinapanda unaanza kumlazimisha Simon akave nafasi ya Molito. Simon hana uwezo. Unampiga chini unabaki na Serengeti boy wako John. Huyo anapendwa na wasichana wengi, unamfumania na kuachana nae kwa matusi. Unabaki Single, huna danga wala bwana. Rafiki zako ukiwapigia simu ni vizinga tu na kuwaomba wakutoe out.. huna Ishu. Unalala tu usiku wakati ulikua unajiita POPO. Huwezi panda daladala kwakua mtaani unaitwa Cash Madame. Unaanza kupanda pikipiki kila mahali uendapo. Huna pesa za kulipia usafiri kila siku. Hivyo kuna mda jion kondakta au. Boda Boda anautumia mwil wako Unaamua kumpa penzi Mangi wa dukani ili vitu vidogodogo uwe unachukua bure,unamtaka baba mwenye nyumba ili uishi bure Unakuja Kutahamaki. Unafungua friji kuna maji tu, dawa ya meno imeisha, Gesi imaisha, luku nayo inakaribia kuisha, dukani kwa shirima mnadaiwa laki 2. Kodi ya nyumba inakaribia. Unamuita baba mwenye nyumba unampa penzi. Anakuongeza miezi mitatu…… Kuja kutahamaki wewe unaishi kwa kufanya mapenzi na kila aina ya mtu kwakua tu umeamua ku fake maisha yako. Tuendelee...... Yanini yote dada zangu? Jikubali kua wewe unaweza kutoka kimaisha na kuisaidia familia yako kwa njia salama kabisa bila kuutumia mwili wako. Hayo madanga huwa hayazeeki bali wewe unayedanga ndio unapitwa na wakati. Hayo madanga wanapenda wasichina wenye miaka ishirini. Wewe ukipita basi atatafutwa mwengine. Utaishia kutunza makabati ya kichina wenzako wakiolewa na wewe ukabaki na uzuri wako wa dukani. Badilikine wenye tabia hii. Simply irwin
    Like
    2
    ·209 Views
  • OLEWA NA MWANAUME MWENYE AKILI ZA KAWAIDA

    1: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kulipa mahari yako si sawa na kukununua.

    2: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kukuoa sio kukufanyia wema.

    3: Olewa na mwanaume ambaye ana akili ya kutosha kujua kwamba unajifanya kuwa na tumbo na mabadiliko ya hisia wakati wa mzunguko wako wa kila mwezi, na haipaswi kuitumia dhidi yako.

    4:Olewa mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kama mwanamke pia una haki ya kusema "HAPANA" kwenye tendo la ndoa wakati mwingine na kama ni lazima awe na njia yake angalau ajaribu kukufurahisha na kukuweka kwenye ndoa.

    5: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa baada ya kuzaa unawekwa alama za kunyoosha, tumbo kubwa, matumbo yaliyolegea na sio sura nzuri sana, na hatakiwi kwa sababu hiyo akufananishe na tembo, matumbo au alama za kunyoosha ni ishara ya uzazi. (Ingawa unaweza kuisuluhisha na kurudi kwenye sura ambayo ni sawa.)

    6: Olewa na mwanaume ambaye ana akili kiasi cha kujua kuwa kuna wakati unakuwa umechoka sana kupika, na yeye kukupeleka kwenye mgahawa kula chakula cha jioni au yeye akutengenezee chakula siku hiyo ili kukuepushia stress sio tabu.

    7: Olewa na mwanaume ambaye ana akili ya kutosha kujua kwamba una haki ya kutoa maoni yako, haki ya kukubaliana na kutokubaliana, haki ya kutoa maoni yako.

    8: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kwamba unastahili kusikia "samahani" kutoka kwake na analazimika kusihi na kuomba msamaha anapokosea na asitumie ukichwa wake kama njia ya kukwepa kusema "samahani"

    9: Kuoa mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kumpiga mwanamke ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.

    10: Olewa na mwanaume anayeipenda roho yako sio mwili wako tu, olewa na mwanaume anayefurahia kuongea na wewe hata bila kugusa mwili wako, sio mtu ambaye hawezi kuongea na wewe bila kukugusa. Usikose kwenye ndoa.

    #simply irwin
    OLEWA NA MWANAUME MWENYE AKILI ZA KAWAIDA 1: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kulipa mahari yako si sawa na kukununua. 2: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kukuoa sio kukufanyia wema. 3: Olewa na mwanaume ambaye ana akili ya kutosha kujua kwamba unajifanya kuwa na tumbo na mabadiliko ya hisia wakati wa mzunguko wako wa kila mwezi, na haipaswi kuitumia dhidi yako. 4:Olewa mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kama mwanamke pia una haki ya kusema "HAPANA" kwenye tendo la ndoa wakati mwingine na kama ni lazima awe na njia yake angalau ajaribu kukufurahisha na kukuweka kwenye ndoa. 5: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa baada ya kuzaa unawekwa alama za kunyoosha, tumbo kubwa, matumbo yaliyolegea na sio sura nzuri sana, na hatakiwi kwa sababu hiyo akufananishe na tembo, matumbo au alama za kunyoosha ni ishara ya uzazi. (Ingawa unaweza kuisuluhisha na kurudi kwenye sura ambayo ni sawa.) 6: Olewa na mwanaume ambaye ana akili kiasi cha kujua kuwa kuna wakati unakuwa umechoka sana kupika, na yeye kukupeleka kwenye mgahawa kula chakula cha jioni au yeye akutengenezee chakula siku hiyo ili kukuepushia stress sio tabu. 7: Olewa na mwanaume ambaye ana akili ya kutosha kujua kwamba una haki ya kutoa maoni yako, haki ya kukubaliana na kutokubaliana, haki ya kutoa maoni yako. 8: Olewa na mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kwamba unastahili kusikia "samahani" kutoka kwake na analazimika kusihi na kuomba msamaha anapokosea na asitumie ukichwa wake kama njia ya kukwepa kusema "samahani" 9: Kuoa mwanaume ambaye ana akili za kutosha kujua kuwa kumpiga mwanamke ni uhalifu dhidi ya ubinadamu. 10: Olewa na mwanaume anayeipenda roho yako sio mwili wako tu, olewa na mwanaume anayefurahia kuongea na wewe hata bila kugusa mwili wako, sio mtu ambaye hawezi kuongea na wewe bila kukugusa. Usikose kwenye ndoa. #simply irwin
    Like
    2
    ·241 Views