Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.
Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.
TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.
FT: MC Alger
0-1
Al Hilal
76' Fofana
MATOKEO MENGINE
#CAFCL
FT: Esperance
2-0
Pyramids
TP Mazembe
1-1
Yanga Sc
Maniema Union
1-1
ASFAR
🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1
Orlando Pirates
#socialpop
Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.
Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.
TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.
FT: MC Alger 🇩🇿 0-1 🇸🇩 Al Hilal
⚽ 76' Fofana
MATOKEO MENGINE #CAFCL
FT: Esperance 🇹🇳 2-0 🇪🇬 Pyramids
TP Mazembe 🇨🇩 1-1 🇹🇿 Yanga Sc
Maniema Union 🇨🇩 1-1 🇲🇦 ASFAR
🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 🇿🇦 Orlando Pirates
#socialpop