1 Comments
·155 Views
Search
Discover new people, create new connections and make new friends
-
-
#trending @socialipop [1xbet] [Hassani]·204 Views ·9 Views
-
. Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu.
Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending David Atto. Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu. Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending [Mefa]·343 Views -
Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda.
Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita.
Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji.
Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.”
Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000.
Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja.
Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika.
#sports
#trending
#socialpop
David AttoTimu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda. Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita. Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji. Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.” Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000. Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja. Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika. #sports #trending #socialpop [Mefa]·443 Views -
" Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond
Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .!
#socialpop
#trending
David Atto" Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .! #socialpop #trending [Mefa]·335 Views -
#ViralVideo #TrendingNow #Foryoupage #FYP #ExplorePage #ViralChallenge #MotivationMonday #DailyDose #DarEsSalaam #Inspiration #FunFacts
TANZANIA#ViralVideo #TrendingNow #Foryoupage #FYP #ExplorePage #ViralChallenge #MotivationMonday #DailyDose #DarEsSalaam #Inspiration #FunFacts TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿·907 Views ·18 Views -
Michael Jackson & christian Ronaldo #trending #trendigpicture4 Comments ·340 Views
-
EVERY STEP LEAVES FOOTPRINT , NO MATTER HOW SMALL.
Kung Fu Panda 4 (2024 movie )
Don't miss to see po as the Dragon worrier and who will be his succesor 🤷🏽
For movie edditings and clip like this, follow up this page and link bio
#movies #trendings #animations #clips #socialpop #kungfupanda #kungfupanda4 #entertainmentsEVERY STEP LEAVES FOOTPRINT 👣, NO MATTER HOW SMALL. Kung Fu Panda 4 (2024 movie ) 🍿🔥🥤 Don't miss to see po as the Dragon worrier and who will be his succesor 🤷🏽😀🔥🔥 For movie edditings and clip like this, follow up this page and link bio 🙂🙂 #movies #trendings #animations #clips #socialpop #kungfupanda #kungfupanda4 #entertainments 🍿☠️1 Comments ·1K Views -
-
#socialpop #videos #trending [Yner_m]2 Comments ·791 Views ·54 Views
-
-
Ni bahati mbaya au makusudi #laugh #socialpop #trending1 Comments ·906 Views ·202 Views
-
Is he a blind or not #social pop#comed#viral#trending@socialpop#make me famousIs he a blind or not #social pop#comed#viral#trending@socialpop#make me famous2 Comments ·668 Views ·45 Views
-
Hello our fans let’s tag @leomessi and @davidbeckham to enjoy this beautiful dance video let’s make it
#instagram #instagood #reels #reelsinstagram #trendingreels #share #viral #explorepage #dance #happy #africa #messi #davidbeckham #soccer #funHello our fans let’s tag @leomessi and @davidbeckham to enjoy this beautiful dance video let’s make it ❤️🙏 #instagram #instagood #reels #reelsinstagram #trendingreels #share #viral #explorepage #dance #happy #africa #messi #davidbeckham #soccer #fun·1K Views -
Jishindie Bluetik, wawili wakwanza Kujibu. hakikisha una tag @socialpop
Swali: Mtandao wa SocialPop upo namba ngapi top on trending playstore?Jishindie Bluetik, wawili wakwanza Kujibu. hakikisha una tag @socialpop Swali: Mtandao wa SocialPop upo namba ngapi top on trending playstore?20 Comments ·928 Views -
Top 29 trending on playstore
#socialpopTop 29 trending on playstore #socialpop25 Comments ·966 Views
More Results