• Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    🚨 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 🟡 🇩🇪 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·161 مشاهدة
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester United sasa wanatarajia kuwasilisha ada ya £69.1m kukamilisha Usajili wa kiunga wa kati wa Real Madrid Edward Camavinga.

    Source The Touchline

    #SportsElite
    🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester United sasa wanatarajia kuwasilisha ada ya £69.1m kukamilisha Usajili wa kiunga wa kati wa Real Madrid Edward Camavinga.💰 Source The Touchline #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·137 مشاهدة
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Leeds imethibitisha kukamilisha usajili wa Noah Okafor kutoka Milan, kwa kandarasi ya miaka 4

    Ada ya uhamisho £18m.⚪️

    #SportsElite

    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Leeds imethibitisha kukamilisha usajili wa Noah Okafor kutoka Milan, kwa kandarasi ya miaka 4 Ada ya uhamisho £18m.⚪️ #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·137 مشاهدة
  • Marseille inavutiwa na usajili wa Kostas Tsimikas, ambae anatarajiwa kuondoka Liverpool dilisha hili.

    (Source: Foot Mercato)

    #SportsElite
    🚨 Marseille inavutiwa na usajili wa Kostas Tsimikas, ambae anatarajiwa kuondoka Liverpool dilisha hili. 💙🤍 (Source: Foot Mercato) #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·130 مشاهدة
  • Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·122 مشاهدة
  • OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.🇲🇦🔴 #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·84 مشاهدة
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt.

    Kwa ada €1M.

    (Source: Paris FC)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt. Kwa ada €1M. 🧤🇩🇪 (Source: Paris FC) #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·74 مشاهدة
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea imekamilisha usajiri wa Julio Enciso kutoka Brighton kwa ada ya €18.5M na nyongeza ya €2.5M, na atatolewa kwa mkopo wa mwaka 1 kwenda Racing Strasbourg.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea imekamilisha usajiri wa Julio Enciso kutoka Brighton kwa ada ya €18.5M na nyongeza ya €2.5M, na atatolewa kwa mkopo wa mwaka 1 kwenda Racing Strasbourg. ⚪🔵⌛ #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·93 مشاهدة
  • USAJILI

    #CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki.

    Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja.

    #SportsElite
    USAJILI 🚨#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki. Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·145 مشاهدة
  • "tunayo furaha na kuwa habarisha kuwa Cristian Romero ameongeza mkataba mpya kusalia White Heart"
    "tunayo furaha na kuwa habarisha kuwa Cristian Romero ameongeza mkataba mpya kusalia White Heart" ✍️
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·131 مشاهدة
  • Sadio Mané: "Ilipofika zamu yangu ya kukaguliwa kulikuwa na mzee mmoja ambaye alinitazama kana kwamba nilikuwa mahali pabaya. Akaniuliza: "upo hapa kwa ajili ya majaribio?" nikasema ndio.
    "Kwa viatu hivyo? Viangalie, unawezaje kufikiria kucheza navyo?", aliniambia.
    Kwa kweli vilikuwa vichakavu, vyazamani na vimeharbiika.

    Kisha akaongeza, "Na hiyo kaptula? Je, huna kaptula yoyote ya soka?"
    Nilimwambia kwamba nilikuwa pale na vifaa bora zaidi nilivyokuwa navyo na kwamba nilitaka tu kucheza na kuonyesha uwezo wangu.

    Na nilipoenda uwanjani nikaona mshangao usoni mwake. Alikuja kwangu na kusema: "Nitakusaini mara moja, utacheza kwenye timu yangu."

    Niliishi maisha ya njaa, nilinusurika katika nyakati ngumu, nilicheza bila viatu na sikuenda shule.

    Sijui ni kitu gani cha kufurahisha, sijawahi kwenda kwenye sherehe kwa sababu najua siwezi kufanya vizuri uwanjani na sitafikia malengo yangu.

    Leo, kwa kile ninachopata, ninaweza kusaidia wengine.

    Nilijenga shule, uwanja wa michezo, tulitoa nguo, viatu na chakula kwa watu walio katika umaskini uliokithiri. Na kisha mimi huchangia euro 70 kwa mwezi kwa wakazi wote wa eneo maskini sana la Senegal, ili kukuza uchumi wa familia zao.

    Kwa nini nitake Ferrari kumi, saa ishirini za almasi na ndege mbili? Je, mambo haya yana faida gani kwa ulimwengu?

    Siwezi hata kucheza Playstation, ambayo ni hobi kubwa ya wachezaji wenzangu. Sijawahi kuitumia, nadhani ni njia tu ya kupoteza muda na sitaki kupoteza muda wangu bila sababu."

    Sadio Mané

    #SportsElite
    🗣️🎙️😢🇸🇳Sadio Mané: "Ilipofika zamu yangu ya kukaguliwa kulikuwa na mzee mmoja ambaye alinitazama kana kwamba nilikuwa mahali pabaya. Akaniuliza: "upo hapa kwa ajili ya majaribio?" nikasema ndio. "Kwa viatu hivyo? Viangalie, unawezaje kufikiria kucheza navyo?", aliniambia. Kwa kweli vilikuwa vichakavu, vyazamani na vimeharbiika. Kisha akaongeza, "Na hiyo kaptula? Je, huna kaptula yoyote ya soka?" Nilimwambia kwamba nilikuwa pale na vifaa bora zaidi nilivyokuwa navyo na kwamba nilitaka tu kucheza na kuonyesha uwezo wangu. Na nilipoenda uwanjani nikaona mshangao usoni mwake. Alikuja kwangu na kusema: "Nitakusaini mara moja, utacheza kwenye timu yangu." Niliishi maisha ya njaa, nilinusurika katika nyakati ngumu, nilicheza bila viatu na sikuenda shule. Sijui ni kitu gani cha kufurahisha, sijawahi kwenda kwenye sherehe kwa sababu najua siwezi kufanya vizuri uwanjani na sitafikia malengo yangu. Leo, kwa kile ninachopata, ninaweza kusaidia wengine. Nilijenga shule, uwanja wa michezo, tulitoa nguo, viatu na chakula kwa watu walio katika umaskini uliokithiri. Na kisha mimi huchangia euro 70 kwa mwezi kwa wakazi wote wa eneo maskini sana la Senegal, ili kukuza uchumi wa familia zao. Kwa nini nitake Ferrari kumi, saa ishirini za almasi na ndege mbili? Je, mambo haya yana faida gani kwa ulimwengu? Siwezi hata kucheza Playstation, ambayo ni hobi kubwa ya wachezaji wenzangu. Sijawahi kuitumia, nadhani ni njia tu ya kupoteza muda na sitaki kupoteza muda wangu bila sababu." Sadio Mané🇸🇳 #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·182 مشاهدة
  • ...Klabu ya namungo imekamilisha usajili wa golikipa wa kvz ya Zanzibar,Suleiman Said kwa mkataba wa miaka miwili.

    Unaambiwa jamaa anataka vibaya mnoo

    #SportsElite
    ✍️...Klabu ya namungo imekamilisha usajili wa golikipa wa kvz ya Zanzibar,Suleiman Said kwa mkataba wa miaka miwili. 🏅Unaambiwa jamaa anataka vibaya mnoo #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·76 مشاهدة
  • USAJILI MPYA: SINGIDA YAMSIGN KIUNGO IDRISS DIOMANDÉ 🇨🇮

    Singida Black Stars imethibitisha kumsajili kiungo Idriss Diomandé kutoka Zoman FC ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu.

    Diomandé tayari amejiunga na kikosi cha timu hiyo na ameanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 akiwa sehemu ya mipango ya kocha kwa msimu ujao.

    #SportsElite
    🔁 USAJILI MPYA: SINGIDA YAMSIGN KIUNGO IDRISS DIOMANDÉ 🇨🇮 Singida Black Stars 🇹🇿 imethibitisha kumsajili kiungo Idriss Diomandé kutoka Zoman FC ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu. Diomandé tayari amejiunga na kikosi cha timu hiyo na ameanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 akiwa sehemu ya mipango ya kocha kwa msimu ujao.✅ #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·96 مشاهدة
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rico Lewis bado ataendelea kusalia Manchester City, pamoja kuwa Nottingham Forest ilionesha nia ya kumuhitaji lakini
    inaelezwa kuwa huwenda kaongeza kandarasi hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rico Lewis bado ataendelea kusalia Manchester City, pamoja kuwa Nottingham Forest ilionesha nia ya kumuhitaji lakini inaelezwa kuwa huwenda kaongeza kandarasi hadi 2030. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·85 مشاهدة
  • BuyDeltas | Shop Premium Disposable Vape Devices Online in the USA

    BuyDeltas brings you top-quality #disposable #vapes with bold flavors and lasting performance. Explore trusted brands, high puff counts, and smooth draws available for fast delivery across the USA.

    Visit here: https://www.buydeltas.com/product-category/disposable-vape/
    BuyDeltas | Shop Premium Disposable Vape Devices Online in the USA BuyDeltas brings you top-quality #disposable #vapes with bold flavors and lasting performance. Explore trusted brands, high puff counts, and smooth draws available for fast delivery across the USA. Visit here: https://www.buydeltas.com/product-category/disposable-vape/
    Get Disposable Vape Online at Best Price | BuyDeltas
    www.buydeltas.com
    Shop top-quality disposable vapes at BuyDeltas for great prices, with a range of options to suit your vaping needs and enhance your experience. Order now online!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·176 مشاهدة
  • Shop Premium Disposable Vapes Online at EcmVape – USA’s Top Vape Store

    Discover a wide selection of premium #disposable #vapes at EcmVape. Enjoy rich flavors, long-lasting puffs, and fast shipping across the USA. Shop now for the latest disposable vape collections.

    Visit here: https://www.ecmvape.com/disposables/
    Shop Premium Disposable Vapes Online at EcmVape – USA’s Top Vape Store Discover a wide selection of premium #disposable #vapes at EcmVape. Enjoy rich flavors, long-lasting puffs, and fast shipping across the USA. Shop now for the latest disposable vape collections. Visit here: https://www.ecmvape.com/disposables/
    www.ecmvape.com
    At EcmVape, you can explore our popular disposable vape devices, Simple to use and is filled with incredible tastes and flavors. Shop Disposable Vape Online!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·180 مشاهدة
  • Buy Premium Disposable Vape Online in USA | Smokdeals Affordable Prices

    Discover top-quality #disposable #vapes at Smokdeals. We offer a wide range of flavors, puff counts, and affordable prices, making vaping convenient and hassle-free for customers across the USA.

    Visit here: https://www.smokdeals.com/product-category/disposable-vape/
    Buy Premium Disposable Vape Online in USA | Smokdeals Affordable Prices Discover top-quality #disposable #vapes at Smokdeals. We offer a wide range of flavors, puff counts, and affordable prices, making vaping convenient and hassle-free for customers across the USA. Visit here: https://www.smokdeals.com/product-category/disposable-vape/
    Buy Premium Disposable Vapes Online at SmokDeals
    www.smokdeals.com
    Shop premium disposable vapes at SmokDeals! It has rechargeable & long-lasting options. We provide fast shipping and low prices. Get your favorite vapes online today!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·201 مشاهدة
  • Buy Premium Salt Nic Ejuices Online at EjuiceAvenue – Fast USA Shipping

    Discover top-quality #Salt #Nic #Ejuices at EjuiceAvenue. Enjoy smooth nicotine satisfaction, premium flavors, and quick shipping across the USA. Shop now and elevate your vape experience.

    Visit here: https://www.ejuiceavenue.com/product-category/nic-salts/
    Buy Premium Salt Nic Ejuices Online at EjuiceAvenue – Fast USA Shipping Discover top-quality #Salt #Nic #Ejuices at EjuiceAvenue. Enjoy smooth nicotine satisfaction, premium flavors, and quick shipping across the USA. Shop now and elevate your vape experience. Visit here: https://www.ejuiceavenue.com/product-category/nic-salts/
    www.ejuiceavenue.com
    Explore the finest nicotine salts at EjuiceAvenue featuring premium-quality e-liquids and a wide range of flavors delivered with care and fast shipping options.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·227 مشاهدة
  • Alexander Isak amekataa kuchezea Newcastle.

    Amegoma kujumuishwa kwenye kikosi kitakacho cheza dhidi ya Aston Villa au Liverpool pamoja na hilo bado Amegoma kuongeza mkataba kuendelea kusalia klabuni hapo..

    Bado marengo yake ni kuhamia Liverpool tu!

    (Source: Fabrizio Romano)


    #SportsElite
    🚨 Alexander Isak amekataa kuchezea Newcastle. 🇸🇪❌🤍🖤 Amegoma kujumuishwa kwenye kikosi kitakacho cheza dhidi ya Aston Villa au Liverpool pamoja na hilo bado Amegoma kuongeza mkataba kuendelea kusalia klabuni hapo.. Bado marengo yake ni kuhamia Liverpool tu! (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·226 مشاهدة
  • Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita.

    Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana.

    Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita. Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana. Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·360 مشاهدة
الصفحات المعززة