• MUNGU ALIMTOA MWANAE WA PEKEE AOKOE ULIMWENGU NA BAADAE AKARUDI KWAKE...... (Huwa unashukuru)

    WEWE KUTOA GARI LAKO LA PEKEE LIPELEKE MSIBA/MGONJWA NA BAADAE URUDISHIWE.....
    ¶UNAWAZA MAFUTA.
    ¶UTAWAZA SHOKAPU.
    ¶UTAWAZA MEEEENGIIII MWISHONI UTASEMA nimelitoa juzi tu service na nimegharamia kweli....

    #dear ukifa ulazwe hapo hapo unapolaza gari.

    #wachache_tanzania_watu.

    j. Pili ijayo usiitii ya kanisa.
    MUNGU ALIMTOA MWANAE WA PEKEE AOKOE ULIMWENGU NA BAADAE AKARUDI KWAKE...... (Huwa unashukuru) WEWE KUTOA GARI LAKO LA PEKEE LIPELEKE MSIBA/MGONJWA NA BAADAE URUDISHIWE..... ¶UNAWAZA MAFUTA. ¶UTAWAZA SHOKAPU. ¶UTAWAZA MEEEENGIIII MWISHONI UTASEMA nimelitoa juzi tu service na nimegharamia kweli.... #dear ukifa ulazwe hapo hapo unapolaza gari. #wachache_tanzania_watu. 🔕j. Pili ijayo usiitii 🔕 ya kanisa.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·189 Views