Upgrade to Pro

  • Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie
    Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie☠️
    Like
    Love
    2
    ·90 Views
  • HORROR MOVIE
    HORROR MOVIE 😲
    Like
    Love
    34
    7 Comments ·987 Views
  • Horror movie Hot #movietime
    Horror movie Hot 🔥🔥 #movietime
    Like
    Love
    8
    5 Comments ·713 Views ·1 Shares
  • UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena

    Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror

    Telegram 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1304
    😬UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena 🧏‍♂️Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror Telegram 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1304
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·833 Views
  • Clock

    Tsh1500

     Other
    Digital· New · In stock

    Bidada umri unakwenda lakini chaajabu atamani kabisa kuwa mama mpaka anaisi labra atakuwa na matatizo .. sikumoja akiwa mtandaoni anakutana na tangazo la kampuni furani ivi inayo jiusisha na matibabu ya homoni na kumfanya mwanamke kuwa na hamu ya kuzaa so. bibie akaona sio kesi.. ikwa ivyo baada ya matibabu akaanza kutamani vitu ambavyo mwazo alikuwa avipenda ikiwa na kuwa mama, kwake ilikuwa ni furaha ..sasa balaa limeanza ivi Bidada anajikuta ana mimba alafu aelewi mimba mazingira gan? wakati ajafanya ngono ... Tunaopenda Horror movies Hebu Tupoe na Hii





    Bidada umri unakwenda lakini chaajabu atamani kabisa kuwa mama mpaka anaisi labra atakuwa na matatizo .. sikumoja akiwa mtandaoni anakutana na tangazo la kampuni furani ivi inayo jiusisha na matibabu ya homoni na kumfanya mwanamke kuwa na hamu ya kuzaa so. bibie akaona sio kesi.. ikwa ivyo baada ya matibabu akaanza kutamani vitu ambavyo mwazo alikuwa avipenda ikiwa na kuwa mama, kwake ilikuwa ni furaha ..sasa balaa limeanza ivi Bidada anajikuta ana mimba alafu aelewi mimba mazingira gan? wakati ajafanya ngono 😮... Tunaopenda Horror movies Hebu Tupoe na Hii
    Love
    Like
    5
    2 Comments ·1K Views
  • Ni movie Nzuri sana "Horror movie"
    https://youtube.com/shorts/qAqCIROlNrA?si=SywLb7Hy3mq8Nav4
    ikiwa umevutiwa "Subscribe" ili kutupa nguvu ya kutoa kazi nyingi mpya
    Ni movie Nzuri sana "Horror movie" https://youtube.com/shorts/qAqCIROlNrA?si=SywLb7Hy3mq8Nav4 ikiwa umevutiwa "Subscribe" ili kutupa nguvu ya kutoa kazi nyingi mpya
    Like
    Love
    Haha
    13
    2 Comments ·574 Views
  • Tina & Tin : #horror #Movie #HFilam
    Tina & Tin : #horror #Movie #HFilam
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·493 Views ·70 Views