Upgrade to Pro

  • Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza adhabu kwa timu zote zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho zitakazoshindwa kuzingatia kikamilifu maagizo yake.

    Yanga SC na Simba SC ni miongoni mwa klabu 16 zitakazoshiriki katika Michuano ya klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho la Afrika hatua ya Makundi.

    Kwa mujibu wa adhabu hizo kutumia mpira usio rasmi wakati wa mechi itakuwa faini ya hadi Dola za Kimarekani 40,000 kutoka 30,000, kutumia nembo isiyo rasmi faini ya hadi Dola 10,000 kutoka 2,000.

    Kutoheshimu rangi za vifaa vinavyowasilishwa na CAF faini yake hadi Dola 40,000 kutoka 10,000.

    Kutoonekana kwa majina ya wachezaji kwenye jezi faini yake ni hadi Dola 20,000 kutoka 5,000.

    Benchi la ufundi ambalo litatumia mavazi yenye chapa ambayo haijaidhinishwa faini yake hadi Dola 60,000.

    #muxhy
    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza adhabu kwa timu zote zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho zitakazoshindwa kuzingatia kikamilifu maagizo yake. Yanga SC na Simba SC ni miongoni mwa klabu 16 zitakazoshiriki katika Michuano ya klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho la Afrika hatua ya Makundi. Kwa mujibu wa adhabu hizo kutumia mpira usio rasmi wakati wa mechi itakuwa faini ya hadi Dola za Kimarekani 40,000 kutoka 30,000, kutumia nembo isiyo rasmi faini ya hadi Dola 10,000 kutoka 2,000. Kutoheshimu rangi za vifaa vinavyowasilishwa na CAF faini yake hadi Dola 40,000 kutoka 10,000. Kutoonekana kwa majina ya wachezaji kwenye jezi faini yake ni hadi Dola 20,000 kutoka 5,000. Benchi la ufundi ambalo litatumia mavazi yenye chapa ambayo haijaidhinishwa faini yake hadi Dola 60,000. #muxhy ⚽⚽
    Like
    1
    ·96 Views