• Mwalimu aliyekwambia ukifeli utakufa maskini leo unampelekea mwanao akamfundishe
    Anaishia tu kujisifu mbele ya walímu wapya ,nimemfundisha mimi huyu ila anaogopa kusema #ulifeli
    Unapompa hela ya chaí haamini anazaní umeanza kumlipa mafao ya nccf
    #tunapewa_elimu_ya_kuwa_tegemezi tu
    Mwalimu aliyekwambia ukifeli utakufa maskini leo unampelekea mwanao akamfundishe Anaishia tu kujisifu mbele ya walímu wapya ,nimemfundisha mimi huyu ila anaogopa kusema #ulifeli Unapompa hela ya chaí haamini anazaní umeanza kumlipa mafao ya nccf #tunapewa_elimu_ya_kuwa_tegemezi tu
    0 Commentarios ·0 Acciones ·209 Views