Upgrade to Pro

Pinned Post
1.Define the following
i) AZIZI
ii)
2.Write down 10 differences between AZIZI KI AND FEI TOTO
1.Define the following i) AZIZI ii) 🗝️ 2.Write down 10 differences between AZIZI KI AND FEI TOTO
Like
Love
3
1 Comments ·166 Views

  • SELECTION FORM FIVE 2024. ANGALIA HAPA

    BOFYA ITO LINK CHINI

    https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2024/first-selection/index.html
    SELECTION FORM FIVE 2024. ANGALIA HAPA BOFYA ITO LINK CHINI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2024/first-selection/index.html
    SELFORM.TAMISEMI.GO.TZ
    Like
    Love
    5
    1 Comments ·392 Views
  • Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji.

    Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano.

    Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.

    Mungu Ibariki Afrika.
    Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji. Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano. Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa. Mungu Ibariki Afrika.
    Like
    Love
    6
    2 Comments ·305 Views

    4
    1 Comments ·307 Views
  • 1.Define the following
    i) AZIZI
    ii)
    2.Write down 10 differences between AZIZI KI AND FEI TOTO
    1.Define the following i) AZIZI ii) 🗝️ 2.Write down 10 differences between AZIZI KI AND FEI TOTO
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·166 Views
  • MCHEZO UMEKWISHA
    MCHEZO UMEKWISHA
    Like
    4
    1 Comments ·162 Views
  • #MIAMBA KAMA MIMI. PENYE UPENDO PANA FURAHA NA PANA MAFANIKIO CHUKUA IYO
    #MIAMBA KAMA MIMI. PENYE UPENDO PANA FURAHA NA PANA MAFANIKIO CHUKUA IYO
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·263 Views
  • Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya TP Mazembe jinsi mfumo wa Idara yetu ya Habari na Mawasiliano unavyofanya kazi.

    Leo ni siku ya pili ya ziara ya Uongozi wa TP Mazembe kwenye Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, wakiwa na lengo la kujifunza mambo mbalimbali kwenye mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji.
    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya TP Mazembe jinsi mfumo wa Idara yetu ya Habari na Mawasiliano unavyofanya kazi. Leo ni siku ya pili ya ziara ya Uongozi wa TP Mazembe kwenye Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, wakiwa na lengo la kujifunza mambo mbalimbali kwenye mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji.
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·152 Views ·1 Shares
  • Like
    Love
    5
    1 Comments ·173 Views
More Stories