Upgrade to Pro

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya TP Mazembe jinsi mfumo wa Idara yetu ya Habari na Mawasiliano unavyofanya kazi.

Leo ni siku ya pili ya ziara ya Uongozi wa TP Mazembe kwenye Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, wakiwa na lengo la kujifunza mambo mbalimbali kwenye mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya TP Mazembe jinsi mfumo wa Idara yetu ya Habari na Mawasiliano unavyofanya kazi. Leo ni siku ya pili ya ziara ya Uongozi wa TP Mazembe kwenye Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, wakiwa na lengo la kujifunza mambo mbalimbali kwenye mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji.
Like
Love
3
1 Comments ·161 Views ·1 Shares