


@Jrbigman
6 Posts
2 Photos
0 Videos
Lives in Mbeya
From Mbeya
Male
01/12/1990
-
Wale tuliokuwa tukiwaona wasumbufu, wameacha kutujulia hali.
Tuliokuwa tunadhani wanajipendekeza, wapo bize na maisha yao.
Tuliowaona wajinga kila walipotusamehe,
wamechagua watu wapya wa kuvumilia madhaifu yao.
Never take love for granted. Hata hisia imara huisha, zikipuuzwa. #motivationWale tuliokuwa tukiwaona wasumbufu, wameacha kutujulia hali. Tuliokuwa tunadhani wanajipendekeza, wapo bize na maisha yao. Tuliowaona wajinga kila walipotusamehe, wamechagua watu wapya wa kuvumilia madhaifu yao. Never take love for granted. Hata hisia imara huisha, zikipuuzwa. #motivation -
Haijalishi maisha yana changamoto kiasi gani kuna watu hawapaswi kujua Kama leo umekosa au jana ulilala na njaa ili kuepuka dharau ndogo ndogo. #motivationHaijalishi maisha yana changamoto kiasi gani kuna watu hawapaswi kujua Kama leo umekosa au jana ulilala na njaa ili kuepuka dharau ndogo ndogo. #motivation
-
Fanya kazi kwa bidii , Fanya kazi kwa ukimya . Hakuna haja ya kutangaza mafanikio au hatua uliyofikia . Acha mafanikio yako yapige kelele na kuongea . Kumbuka , hata unapowasha moto hautoi sauti mpaka pale mwanga utakapo onekana .
#motivation
Fanya kazi kwa bidii , Fanya kazi kwa ukimya . Hakuna haja ya kutangaza mafanikio au hatua uliyofikia . Acha mafanikio yako yapige kelele na kuongea . Kumbuka , hata unapowasha moto hautoi sauti mpaka pale mwanga utakapo onekana . #motivation -
Huwezi kuwapa wengine usichokuwa nacho . Ukiwa na maumivu , utaumiza wengine . Ukijichukia , utawachukia wengine . Usipokuwa na amani , huwezi kuleta amani kwa wengine . Jipende ili uwapende wengine , Jisamehe ili usamehe wengine na pia Jielimishe ili uelimishe wengine !!
Huwezi kuwapa wengine usichokuwa nacho . Ukiwa na maumivu , utaumiza wengine . Ukijichukia , utawachukia wengine . Usipokuwa na amani , huwezi kuleta amani kwa wengine . Jipende ili uwapende wengine , Jisamehe ili usamehe wengine na pia Jielimishe ili uelimishe wengine !!
More Stories