Peter Joram
Peter Joram

@Peter

Information and communication technology
94 Posts
2 Photos
0 Videos
Lives in rukwa
From sumbawanga
Male
Single
Pinned Post
MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA

Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii.

Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake.

Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi.

Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono.
Ingia Playstore Search “SocialPop”

Download https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace

Website https://socialpop.online/

Posted by ptechtanzania
MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii. Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake. Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi. Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono. Ingia Playstore Search “SocialPop” Download 👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace Website https://socialpop.online/ Posted by ptechtanzania
SocialPop - Apps on Google Play
play.google.com
Meet new friends from different parts of the world
Like
Love
Yay
4
· 1 Comments ·0 Shares ·719 Views
Recent Updates
  • Kama unatumia mtandao unaona network ipo chini fanya haya mambo mawili iliuweze kuiboost


    CHAKWANZA
    .fungua panzia ya simu Yako Alafu washa " aeroplane mode " Kisha izime, Kisha Toka apo nenda sehemu ya kupiga simu Kisha bonyeza. "*# *#4636# *# *" itakupeleka kwenye testing utakutana na maneno matatu

    "phone information"
    "usage statistics"
    "WI-FI information"

    wewe utabonyeza wi-fi information, Kuna simu utakutana na step 3
    "WI-FI API"
    "WI-FI config"
    *WI-FI STATUS"
    Katika simu Yako ukikutana na izo step utabonyeza *WI-FI STATUS" Kisha utakutana na "Run ping test" na "Refresh stats" utabonyeza izo sehemu zote mbili, na Kuna baadhi ya simu itakupeleka Moja kwa Moja kwenye run ping test na Refresh stats, utaona mabadiliko katika network yako
    Kama unatumia mtandao unaona network ipo chini fanya haya mambo mawili iliuweze kuiboost ⚙️CHAKWANZA .fungua panzia ya simu Yako Alafu washa "✈️ aeroplane mode " Kisha izime, Kisha Toka apo nenda sehemu ya kupiga simu📞 Kisha bonyeza. "*# *#4636# *# *" itakupeleka kwenye testing utakutana na maneno matatu "phone information" "usage statistics" "WI-FI information" wewe utabonyeza wi-fi information, Kuna simu utakutana na step 3👇 "WI-FI API" "WI-FI config" *WI-FI STATUS" Katika simu Yako ukikutana na izo step utabonyeza *WI-FI STATUS" Kisha utakutana na "Run ping test" na "Refresh stats" utabonyeza izo sehemu zote mbili, na Kuna baadhi ya simu itakupeleka Moja kwa Moja kwenye run ping test na Refresh stats, utaona mabadiliko katika network yako
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·213 Views
  • Tazama last seen za watu kwenye whatsapp


    steps:

    Step 1 - unahitaji tu kusanikisha programu iliyopewa hapa chini ..

    https://www.apkmonk.com/app/com.sotla.sotla/

    Step 2 - Bonyeza kwa Kukubaliana na Endelea ..

    Step 3 - Tafuta + upande wa juu wa kulia na uchague WhatsApp ..

    Step 4 - Ongeza idadi ya mtu unayotaka kuona ..

    Step 5 - Programu itakuarifu wakati wowote mtu huyo atakuwa mkondoni au nje ya mkondo.
    Let's go🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
    🔰 Tazama last seen za watu kwenye whatsapp 🔰 👣steps: 🌀Step 1 - unahitaji tu kusanikisha programu iliyopewa hapa chini .. https://www.apkmonk.com/app/com.sotla.sotla/ 🌀Step 2 - Bonyeza kwa Kukubaliana na Endelea .. 🌀Step 3 - Tafuta + upande wa juu wa kulia na uchague WhatsApp .. 🌀Step 4 - Ongeza idadi ya mtu unayotaka kuona .. 🌀Step 5 - Programu itakuarifu wakati wowote mtu huyo atakuwa mkondoni au nje ya mkondo. Let's go🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·165 Views
  • PATA BLUETICK YAKO KWA TSHS 1,300 TU KATIKA INSTAGRAM NA FACEBOOK!

    Kampuni ya Meta inayosimamia Mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imeanzisha Mfumo wa Discount (Punguzo la Bei) kwa Account za Biashara (Business Accounts) katika Huduma yake ya Meta Verified (Huduma ya Blue tick za Kulipia).

    Sasa Mtu/Kampuni yenye Account Instagram inaweza Kupata tick ya Blue kwa Ada ya Tshs 1,300 tu! (Elfu Moja na Mia Tatu) kwa Mwezi wa Kwanza, kisha Tshs 19,500 kwa Mwezi unaofuata.

    Huduma ya Meta Verified ni huduma nzuri ikiwa unapenda Kulinda Brand yako Mtandaoni kwani utawapa Mashabiki au Wateja urahisi wa kufahamu ipi ni Account yako Rasmi.



    ZINGATIA:
    Ofa ya Punguzo la Bei ya tiki hizi ipo kwa Account za Biashara pekee katika Instagram na kwa Watumiaji wa Facebook wenye Account zilizo katika Professional Mode. (Si Account zote zinaweza Kuwa na Discount hii).
    PATA BLUETICK YAKO KWA TSHS 1,300 TU KATIKA INSTAGRAM NA FACEBOOK! 🙌 Kampuni ya Meta inayosimamia Mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imeanzisha Mfumo wa Discount (Punguzo la Bei) kwa Account za Biashara (Business Accounts) katika Huduma yake ya Meta Verified (Huduma ya Blue tick za Kulipia). Sasa Mtu/Kampuni yenye Account Instagram inaweza Kupata tick ya Blue kwa Ada ya Tshs 1,300 tu! (Elfu Moja na Mia Tatu) kwa Mwezi wa Kwanza, kisha Tshs 19,500 kwa Mwezi unaofuata. Huduma ya Meta Verified ni huduma nzuri ikiwa unapenda Kulinda Brand yako Mtandaoni kwani utawapa Mashabiki au Wateja urahisi wa kufahamu ipi ni Account yako Rasmi. ZINGATIA: Ofa ya Punguzo la Bei ya tiki hizi ipo kwa Account za Biashara pekee katika Instagram na kwa Watumiaji wa Facebook wenye Account zilizo katika Professional Mode. (Si Account zote zinaweza Kuwa na Discount hii).
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·374 Views
  • NJIA MPYA YA KUJIINGIZIA PESA FACEBOOK KUPITIA POSTS ZA MAANDISHI, VIDEO NA REELS.

    October 2, 2024 Facebook Walizindua Programu Mpya waliyoipa Jina “Content Monetization” ambayo imezijumuisha kwa Pamoja category ambazo mwanzo zilijitegemea, Category hizo zilikuwa,

    ⬜️ Ads On Reels
    ⬜️ InStream Ads
    ⬜️ Performance Bonus

    Category hizi kwasasa zimejumuishwa kwa Pamoja na Kupewa Jina “Content Monetization” ambapo Mtu yeyote kwasasa mwenye Page ya Facebook au Account ambayo iko “on Professional Mode” iliyo na Video, Picha, Post au Maudhui yoyote ambayo yatakuwa yanafaa Kulipwa basi Facebook watapachika Matangazo yao na Mhusika ataanza Kulipwa kwa Ukubwa zaidi kuliko Mwanzo. Malipo ni kila Tarehe 21-23 ya Kila Mwezi na kiwango cha Chini cha Kutoa Pesa ni $100 (Tshs 271,500), yaani ikiwa Page au Account yako haijafikisha Kiwango hicho hutoruhusiwa Kutoa mpaka utakapofikisha au kupita kiwango hicho na Ni rahisi kufikisha ikiwa unatengeneza Video zaidi na zinatazamwa zaidi.

    Hii Itawapa Motisha zaidi Content Creators kutengeneza Video zaidi katika Platform hiyo.

    Mfumo huu kwasasa unatolewa kwa Mualiko Pekee, ikiwa Una Page au Account yenye Video au Posts zilizo tazamwa zaidi fuata hatua zifuatazo hapo chini kuomba Mualiko wa Kuunganishwa na Programu hii BURE.

    ⬜️ Ingia >> hapa https://creators.facebook.com/tools/facebook-content-monetization
    ⬜️ Chagua >> I'm Interested
    ⬜️ Jaza Taarifa zako
    ⬜️ Sehemu ya Email Address, Weka Email yako yoyote iliyo hewani (Ni Vizuri ukitumia uliyo Link katika Account yako)
    ⬜️ Sehemu ya Facebook Account URL, Weka Link ya Account au Page yako unayohitaji Iwe na Programu hiyo.
    ⬜️ Sehemu ya Other Social Media Accounts, Weka Link ya Account yako katika Mtandao Mwingine (Hasa Instagram).
    Baadae Bofya LET'S DO THIS


    Utapokea Email ya Uthibitisho baada ya Siku kadhaa ikiwa Account au Page yako imeruhusiwa Kutumia Programu hiyo.

    Programu hii ni Programu nzuri na Bora zaidi kwa Content Creators wadogo, Wakubwa na Wanaochipukia (Upcoming Creators). Ni Programu Rafiki kwa kila Mmoja, itakusaidia Kupata Chochote kupitia Kazi zako.
    NJIA MPYA YA KUJIINGIZIA PESA FACEBOOK KUPITIA POSTS ZA MAANDISHI, VIDEO NA REELS. October 2, 2024 Facebook Walizindua Programu Mpya waliyoipa Jina “Content Monetization” ambayo imezijumuisha kwa Pamoja category ambazo mwanzo zilijitegemea, Category hizo zilikuwa, ⬜️ Ads On Reels ⬜️ InStream Ads ⬜️ Performance Bonus Category hizi kwasasa zimejumuishwa kwa Pamoja na Kupewa Jina “Content Monetization” ambapo Mtu yeyote kwasasa mwenye Page ya Facebook au Account ambayo iko “on Professional Mode” iliyo na Video, Picha, Post au Maudhui yoyote ambayo yatakuwa yanafaa Kulipwa basi Facebook watapachika Matangazo yao na Mhusika ataanza Kulipwa kwa Ukubwa zaidi kuliko Mwanzo. Malipo ni kila Tarehe 21-23 ya Kila Mwezi na kiwango cha Chini cha Kutoa Pesa ni $100 (Tshs 271,500), yaani ikiwa Page au Account yako haijafikisha Kiwango hicho hutoruhusiwa Kutoa mpaka utakapofikisha au kupita kiwango hicho na Ni rahisi kufikisha ikiwa unatengeneza Video zaidi na zinatazamwa zaidi. Hii Itawapa Motisha zaidi Content Creators kutengeneza Video zaidi katika Platform hiyo. Mfumo huu kwasasa unatolewa kwa Mualiko Pekee, ikiwa Una Page au Account yenye Video au Posts zilizo tazamwa zaidi fuata hatua zifuatazo hapo chini kuomba Mualiko wa Kuunganishwa na Programu hii BURE. ⬜️ Ingia >> hapa https://creators.facebook.com/tools/facebook-content-monetization ⬜️ Chagua >> I'm Interested ⬜️ Jaza Taarifa zako ⬜️ Sehemu ya Email Address, Weka Email yako yoyote iliyo hewani (Ni Vizuri ukitumia uliyo Link katika Account yako) ⬜️ Sehemu ya Facebook Account URL, Weka Link ya Account au Page yako unayohitaji Iwe na Programu hiyo. ⬜️ Sehemu ya Other Social Media Accounts, Weka Link ya Account yako katika Mtandao Mwingine (Hasa Instagram). 🔗 Baadae Bofya LET'S DO THIS Utapokea Email ya Uthibitisho baada ya Siku kadhaa ikiwa Account au Page yako imeruhusiwa Kutumia Programu hiyo. Programu hii ni Programu nzuri na Bora zaidi kwa Content Creators wadogo, Wakubwa na Wanaochipukia (Upcoming Creators). Ni Programu Rafiki kwa kila Mmoja, itakusaidia Kupata Chochote kupitia Kazi zako.
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·559 Views
  • UNATAKA KUJUA UTAKUFA LINI

    Fungua hii site apo chini alaf jaza taarifa zako za kuzaliwa na kila kitu, baada ya hapo utaclick pale chini palipoa andikwa "Check Ur Death Clock"

    Warning
    Hii site inasemekana inahusiana na nguvu za giza ambazo zinakutabiria kitu cha ukweli, kwahyo ukiweka taarifa zako pale inaweza ikakuonesha siku Yako ya kufa kweli

    Site Link
    www.deathclock.com

    Note
    Kuna watu walishawahi kuweka taarfiza zao na siku ilipofika wakafa kweli, kwahyo utaweza taarifa zako kwa risk yako mwenyewe
    🎉UNATAKA KUJUA UTAKUFA LINI 💀💀 🔑 Fungua hii site apo chini alaf jaza taarifa zako za kuzaliwa na kila kitu, baada ya hapo utaclick pale chini palipoa andikwa "Check Ur Death Clock" ⚠️ 💀 Warning 💥 Hii site inasemekana inahusiana na nguvu za giza ambazo zinakutabiria kitu cha ukweli, kwahyo ukiweka taarifa zako pale inaweza ikakuonesha siku Yako ya kufa kweli Site Link 🌐 www.deathclock.com Note ⚠️ Kuna watu walishawahi kuweka taarfiza zao na siku ilipofika wakafa kweli, kwahyo utaweza taarifa zako kwa risk yako mwenyewe
    Death Clock: The Internet's friendly reminder that life is slipping away...
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·175 Views
  • Asante mungu wangu kwa kuniponya siku tegemea kama nitafika leo.
    Asante mungu wangu kwa kuniponya siku tegemea kama nitafika leo.
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·141 Views


  • CAFCC : SIMBA SC vs CS CONSTANTINE 19 JAN 2025 saa 04:00PM (Jioni)

    Michezo Yote Itakua Live Kupitia App Hii Download Sasa

    https://uploadapk.store/view-app.php?id=57uploads/apk/apk_6782b7f1b77c4MPINGO_TV_1.3.apk
    ⚽ CAFCC : SIMBA SC vs CS CONSTANTINE 19 JAN 2025 saa 04:00PM (Jioni) Michezo Yote Itakua Live Kupitia App Hii Download Sasa 👇👇👇 https://uploadapk.store/view-app.php?id=57uploads/apk/apk_6782b7f1b77c4MPINGO_TV_1.3.apk
    0 Comments ·0 Shares ·405 Views
  • Yanga Leo Ndio Basi tena
    Yanga Leo Ndio Basi tena 😢😢⚽
    0 Comments ·0 Shares ·137 Views
  • Sheria za ndani zilizovuja zinaonyesha kuwa Meta (Instagram, Facebook, n.k.) sasa inawaruhusu watumiaji kutusi vikundi kama vile mashoga, watu wanaohama na wahamiaji. Hii inakuja kama sehemu ya mabadiliko ya sera ambayo pia yanasimamisha mpango wa ukaguzi wa ukweli wa kampuni. Kulingana na Mkurugenzi Mtendaji Mehta, lengo ni "kuruhusu uhuru zaidi wa kujieleza kwa kuondoa vikwazo
    Sheria za ndani zilizovuja zinaonyesha kuwa Meta (Instagram, Facebook, n.k.) sasa inawaruhusu watumiaji kutusi vikundi kama vile mashoga, watu wanaohama na wahamiaji. Hii inakuja kama sehemu ya mabadiliko ya sera ambayo pia yanasimamisha mpango wa ukaguzi wa ukweli wa kampuni. Kulingana na Mkurugenzi Mtendaji Mehta, lengo ni "kuruhusu uhuru zaidi wa kujieleza kwa kuondoa vikwazo
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·212 Views
  • THEIA SAYARI NDOGO ILIYOGONGANA NA DUNIANI.

    ✍🏾Mapande ya sayari inayoitwa Theia ambayo iligongana na Dunia na kusababisha kuundwa kwa Mwezi yamepatikana na Wataalmu Nchini Marekani.Kwa kufafanua zaidi ni wazi kwamba kuna siri nzito Katika Uumbaji,Kweli Mungu ni fundi waungwana,Kwanza Fahamu ya kwamba Asilimia 70% ya Historia ya uuumbaji Haijulikana kisawa Sawa maana Maisha ya Binadamu hayana Umri mrefu sanaa kuzidi Umri wa Dunia maana Umri wa Dunia ni miaka Billion 4.7 na Dunia inatadhamiwa Kuishi miaka Billion 7 Ijayo kabla Haijafa na kusambalatika kama kama Cheche za Mkaa.Theia ni jina la kigiriki lenye maana ya kwamba Mungu wa kike ambapo kulingana na simulizi na imani za wagiri ni kwamba Theia ni moja wa Mungu wa kike waliokuwa wanaishi uko Mwezini.Theia ni moja wa Watoto 7 mama wa Miungu ya uko mwezini yaani Mather of All Goddes uko mwezini hivyo ambaye alifahamika kama Selene huyo Goddess mkuu wa uko mwezini.

    ✍🏾SaSa Hapo mwanzo kulikuwa na Sayari inayofahamika kama Theia ambayo ilikuwa na ukubwa Sawa sawaa na Mars uko ambako NASA wametuma Perseverance Rovers kwenda Kuangalia kama Kulikuwa na maisha Hapo Kale yaani Miaka Billion 3 Iliyopita.Sasa Kuna nadharia kama 4 zinazoelezeaa kutokea Kwa mwezi,Kuna ambao Wanadai ya kwamba Theia ilikuwa iko nje ya Mfumo wa Jua mpaka inakuja kugongana na Dunia Hata Hivyo nadharia hii BADO haijathibika wanasayansi BADO wanafanya Tafiti Mbali Mbali kuliweka Hili sawaa.

    Hata Maji Yaliyopo hapa Duniani Hususani Maji ya kwenye Bahari yalitokea Baada ya Theia Kuparamia na Kuigonga Duniani Ndio Ikasababisha Uwepo wa Bahari kubwa ambazo tunaziona leo hii.Kuna nadharia ya kwanza ambayo Inadai ya kwamba kulikuwa na Moja ya Sayari kubwa Sana, Ambapo Sayari hiyo kulingana na Sababu ambazo hazijawekwa wazi ni kwamba Sayari hiyo kubwa ilikuja Kupasuka pasuka Kwa Kishindo na Kusababisha mgawanyiko ambapo Katika mgawanyiko huo ndio ukapelekea kuwepo Kwa Mwezi Ambapo Mwezi huo ulikuja Kunaswa na Nguvu ya mvutano wa Jua ndio ukabaki ulipo leo lakini Huwenda lisingekuwa Jua Mwezi ungekuwa Umeenda Mbali Sana kuliko ilivyo leo,Wabongo wanasema ya kwamba Mungu ni Fundi kweli (Tunakubaliana ya kwamba Sayari Zote ni Viumbe kama ilivyo Kwa viumbe wengine).

    ✍🏾 kamaa hiyo haitoshi kuna Nadharia ya pili ambayo inaelezea ya kwamba Mwezi uliundwa Wakati mmoja na Wakati Dunia () inaundwa hii Ina maana ya kwamba Dunia na Mwezi viliundwa wakati mmoja Kipindi ambacho Photo planetary Disk Accreted.Kwa kuthibitisha hilo Wakati wa Apollo Project Taasisi kubwa ya Marekani yaani NATIONAL AERONAUTICS AND SPACE ADMINISTRATION (NASA) walipata baadhi ya Ushahidi wa miamba uko mwezini walipoenda uko Mwaka 1969 mpaka mwaka 1972 walikutana na miamba yenye kufanana na ya hapa Duniani na hivyo kuja na Hoja ya kwamba Huenda Dunia na Mwezi viliundwa Wakati mmoja.Kuna baadhi ya chambuzi zinadai ya kwamba Theia ilikuwa ni Earth Trojan yaani Sayari ndogo ambayo ilikuwa ipo Katika mfumo wa kulizunguka JUA yenye Ukubwa wa Km 6,102 sawaa na Mile 3792.Na kulingana na utafiti na Ushahidi wa mwaka 2019 UNAONYESHA ya kwamba Theia ni Sayari ambayo Hakuwa Katika Mfumo wetu wa Jua ILA ni Sayari ambayo Imetoka nje ya Mfumo wa Jua (Solar system Mfumo huu ambao uliatengenezwa miaka 4.6 iliyopita).

    ✍🏾Takribani miaka bilioni 4.5 iliyopita sayari ndogo inayoitwa Theia iligongana na Dunia tukio lililosababisha sayari hiyo kupasuka na baadhi ya mapande yake kuruka kwenye Space na kuundia Mwezi na mapande mengine yalifukiwa chini Duniani ambapo katika utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na wanasayansi kutoka chuo cha Arizona Nchini Marekani wamefanikiwa kuyapata baadhi ya mawe yaliyosalia wakati sayari hiyo ilipogongana na Dunia.ndii maana naungana na Mtaalamu wangu kutoka Marekani alimaarufu kama Bari Katika masuala ya uchambuzi ya kwamba Sayari Huwa zinajizalisha zenyewe ama kuzaliana Zenyewe maana Kwamba Sayari Moja inaweza ikasababisha KUZALIWA KWA Sayari zingine ndio maana Hata baadhi mawe makubwa yaliyoko Angani yenye ukubwa Sawa na Jimbo la Alaska ama Australia ni matokeo ama masalia ya Sayari zilizokufa ama zilizowahi kuwepo miaka Mabilioni iliyopita.

    Maana tufahamu ya kwamba Sayari Huwa zinazaliwa na pia Baada ya miaka Billion 4 mpaka 7 Sayari Huwa zinakufa ndio maana Mtaalamu Bari anazichukuliaa Sayari kama ni VIUMBE Vinavyoishi kama ilivyo Kwa viumbe viumbe Vinginevyo.hivyo Miamba iliyoko mwezini na hapa Duniani Ina Uhusiano Mkubwa na kuonyesha ya kwamba Mwezi na Dunia Zote zimeumbwa wakati Mmoja ama ni matokeo ya Sayari ndogo ya THEIA yenye kutaka kufanana na MARS Kwa ukubwa ilipogngana na Dunia na Kusababisha Kutokea Kwa Mwezi.
    THEIA SAYARI NDOGO ILIYOGONGANA NA DUNIANI. ✍🏾Mapande ya sayari inayoitwa Theia ambayo iligongana na Dunia na kusababisha kuundwa kwa Mwezi yamepatikana na Wataalmu Nchini Marekani.Kwa kufafanua zaidi ni wazi kwamba kuna siri nzito Katika Uumbaji,Kweli Mungu ni fundi waungwana,Kwanza Fahamu ya kwamba Asilimia 70% ya Historia ya uuumbaji Haijulikana kisawa Sawa maana Maisha ya Binadamu hayana Umri mrefu sanaa kuzidi Umri wa Dunia maana Umri wa Dunia ni miaka Billion 4.7 na Dunia inatadhamiwa Kuishi miaka Billion 7 Ijayo kabla Haijafa na kusambalatika kama kama Cheche za Mkaa🤓🤓.Theia ni jina la kigiriki lenye maana ya kwamba Mungu wa kike ambapo kulingana na simulizi na imani za wagiri ni kwamba Theia ni moja wa Mungu wa kike waliokuwa wanaishi uko Mwezini.Theia ni moja wa Watoto 7 mama wa Miungu ya uko mwezini yaani Mather of All Goddes uko mwezini hivyo ambaye alifahamika kama Selene huyo Goddess mkuu wa uko mwezini. ✍🏾SaSa Hapo mwanzo kulikuwa na Sayari inayofahamika kama Theia ambayo ilikuwa na ukubwa Sawa sawaa na Mars uko ambako NASA wametuma Perseverance Rovers kwenda Kuangalia kama Kulikuwa na maisha Hapo Kale yaani Miaka Billion 3 Iliyopita.Sasa Kuna nadharia kama 4 zinazoelezeaa kutokea Kwa mwezi,Kuna ambao Wanadai ya kwamba Theia ilikuwa iko nje ya Mfumo wa Jua mpaka inakuja kugongana na Dunia Hata Hivyo nadharia hii BADO haijathibika wanasayansi BADO wanafanya Tafiti Mbali Mbali kuliweka Hili sawaa. Hata Maji Yaliyopo hapa Duniani Hususani Maji ya kwenye Bahari yalitokea Baada ya Theia Kuparamia na Kuigonga Duniani Ndio Ikasababisha Uwepo wa Bahari kubwa ambazo tunaziona leo hii.Kuna nadharia ya kwanza ambayo Inadai ya kwamba kulikuwa na Moja ya Sayari kubwa Sana, Ambapo Sayari hiyo kulingana na Sababu ambazo hazijawekwa wazi ni kwamba Sayari hiyo kubwa ilikuja Kupasuka pasuka Kwa Kishindo na Kusababisha mgawanyiko ambapo Katika mgawanyiko huo ndio ukapelekea kuwepo Kwa Mwezi Ambapo Mwezi huo ulikuja Kunaswa na Nguvu ya mvutano wa Jua ndio ukabaki ulipo leo lakini Huwenda lisingekuwa Jua Mwezi ungekuwa Umeenda Mbali Sana kuliko ilivyo leo,Wabongo wanasema ya kwamba Mungu ni Fundi kweli (Tunakubaliana ya kwamba Sayari Zote ni Viumbe kama ilivyo Kwa viumbe wengine). ✍🏾 kamaa hiyo haitoshi kuna Nadharia ya pili ambayo inaelezea ya kwamba Mwezi uliundwa Wakati mmoja na Wakati Dunia (🌎) inaundwa hii Ina maana ya kwamba Dunia na Mwezi viliundwa wakati mmoja Kipindi ambacho Photo planetary Disk Accreted.Kwa kuthibitisha hilo Wakati wa Apollo Project Taasisi kubwa ya Marekani yaani NATIONAL AERONAUTICS AND SPACE 🌌 ADMINISTRATION (NASA) walipata baadhi ya Ushahidi wa miamba uko mwezini walipoenda uko Mwaka 1969 mpaka mwaka 1972 walikutana na miamba yenye kufanana na ya hapa Duniani na hivyo kuja na Hoja ya kwamba Huenda Dunia na Mwezi viliundwa Wakati mmoja.Kuna baadhi ya chambuzi zinadai ya kwamba Theia ilikuwa ni Earth Trojan yaani Sayari ndogo ambayo ilikuwa ipo Katika mfumo wa kulizunguka JUA yenye Ukubwa wa Km 6,102 sawaa na Mile 3792.Na kulingana na utafiti na Ushahidi wa mwaka 2019 UNAONYESHA ya kwamba Theia ni Sayari ambayo Hakuwa Katika Mfumo wetu wa Jua ILA ni Sayari ambayo Imetoka nje ya Mfumo wa Jua (Solar system Mfumo huu ambao uliatengenezwa miaka 4.6 iliyopita). ✍🏾Takribani miaka bilioni 4.5 iliyopita sayari ndogo inayoitwa Theia iligongana na Dunia tukio lililosababisha sayari hiyo kupasuka na baadhi ya mapande yake kuruka kwenye Space na kuundia Mwezi na mapande mengine yalifukiwa chini Duniani ambapo katika utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na wanasayansi kutoka chuo cha Arizona Nchini Marekani wamefanikiwa kuyapata baadhi ya mawe yaliyosalia wakati sayari hiyo ilipogongana na Dunia.ndii maana naungana na Mtaalamu wangu kutoka Marekani alimaarufu kama Bari Katika masuala ya uchambuzi ya kwamba Sayari Huwa zinajizalisha zenyewe ama kuzaliana Zenyewe maana Kwamba Sayari Moja inaweza ikasababisha KUZALIWA KWA Sayari zingine ndio maana Hata baadhi mawe makubwa yaliyoko Angani yenye ukubwa Sawa na Jimbo la Alaska ama Australia ni matokeo ama masalia ya Sayari zilizokufa ama zilizowahi kuwepo miaka Mabilioni iliyopita. Maana tufahamu ya kwamba Sayari Huwa zinazaliwa na pia Baada ya miaka Billion 4 mpaka 7 Sayari Huwa zinakufa ndio maana Mtaalamu Bari anazichukuliaa Sayari kama ni VIUMBE Vinavyoishi kama ilivyo Kwa viumbe viumbe Vinginevyo.hivyo Miamba iliyoko mwezini na hapa Duniani Ina Uhusiano Mkubwa na kuonyesha ya kwamba Mwezi na Dunia Zote zimeumbwa wakati Mmoja ama ni matokeo ya Sayari ndogo ya THEIA yenye kutaka kufanana na MARS Kwa ukubwa ilipogngana na Dunia na Kusababisha Kutokea Kwa Mwezi.
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·755 Views
  • Mtandao wa Poly market unaongoza kuweka mikake ya kubeti kuhusu masuala au matukio mbalimbali ya ulimwenguni kama vile masuala ya siasa na matukio mazito imeweka Odds juu ya mtandao wa TikTok kuwa utafungiwa kabla ya mwezi Mei.

    Ongezeko hili kubwa la hali ya utata imekuja baada ya miezi kadhaa ya wabunge na wanasiasa kubishana kuhusu faragha ya data ya jukwaa na athari za usalama wa taifa na kuitaka kuifungia mtandao huo.

    #polymarket #tiktok #tiktokban #teknoloji #habari
    Mtandao wa Poly market unaongoza kuweka mikake ya kubeti kuhusu masuala au matukio mbalimbali ya ulimwenguni kama vile masuala ya siasa na matukio mazito imeweka Odds juu ya mtandao wa TikTok kuwa utafungiwa kabla ya mwezi Mei. Ongezeko hili kubwa la hali ya utata imekuja baada ya miezi kadhaa ya wabunge na wanasiasa kubishana kuhusu faragha ya data ya jukwaa na athari za usalama wa taifa na kuitaka kuifungia mtandao huo. #polymarket #tiktok #tiktokban #teknoloji #habari
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·729 Views
  • Watu 20 wauawa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad
    Watu 20 wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad lililotokea jumatano jioni.
    Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini humo imesema, shambulio hilo lilitokea majira ya saa 1:45 jioni kwa saa za huko ambapo kundi la watu 24 waliokuwa na silaha walidai kuharibikiwa na gari na kuwashambulia walinzi katika mlango mkuu wa Ikulu.
    Wakati wa shambulio hilo, washambulizi hao waliwaua askari wawili na kujeruhi vibaya askari wengine watano huku wakijaribu kuingia kwa nguvu ndani ya Ikulu. Hata hivyo vikosi vya usalama vilijibu shambulio hilo haraka na kuwaua washambuliaji 18, huku washambuliaji wengine 6 waliojeruhiwa walikamatwa na kupelekwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
    Watu 20 wauawa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad Watu 20 wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad lililotokea jumatano jioni. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini humo imesema, shambulio hilo lilitokea majira ya saa 1:45 jioni kwa saa za huko ambapo kundi la watu 24 waliokuwa na silaha walidai kuharibikiwa na gari na kuwashambulia walinzi katika mlango mkuu wa Ikulu. Wakati wa shambulio hilo, washambulizi hao waliwaua askari wawili na kujeruhi vibaya askari wengine watano huku wakijaribu kuingia kwa nguvu ndani ya Ikulu. Hata hivyo vikosi vya usalama vilijibu shambulio hilo haraka na kuwaua washambuliaji 18, huku washambuliaji wengine 6 waliojeruhiwa walikamatwa na kupelekwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
    Like
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·279 Views
  • China na Ethiopia zaadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi
    China na Ethiopia zimeadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi Jumapili mjini Addis Ababa.
    Tukio hilo kubwa lililoandaliwa na Ubalozi wa China na Chama cha Wafanyabiashara Wachina nchini Ethiopia, likiambatana na sherehe za sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina, lilikuwa na shughuli mbalimbali, ikiwemo mnada wa hisani, maonesho ya utamaduni wa China, vyakula vya jadi vya kichina na huduma bure za matibabu.
    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina itaangukia Januari 29 mwaka huu, ikifungua Mwaka wa Nyoka, kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China.
    Akiongea katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa Wachina na wenyeji, Balozi wa China nchini Ethiopia Bw. Chen Hai amesema, China itatumia maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano kama mwanzo mpya, kutelekeza matokeo ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing na makubaliano yaliyofikiwa na wakuu wa nchi hizo mbili, na kufanya juhudi pamoja na marafiki wa Ethiopia kuzijenga nchi hizo mbili kuwa za kisasa.
    Akikumbusha kuwa China na Ethiopia zimeinua uhusiano wao hadi kufikia ngazi ya Uhusiano wa Wenzi wa Kimkakati wa Pande Zote tangu mwezi Oktoba mwaka jana, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Mesganu Arga amesisitiza urafiki mkubwa katika China na Ethiopia, na kusema uhusiano huo wa karibu ni ushahidi wa kile kinachoweza kufikiwa wakati mataifa haya mawili yanaheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja.
    China na Ethiopia zaadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi China na Ethiopia zimeadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi Jumapili mjini Addis Ababa. Tukio hilo kubwa lililoandaliwa na Ubalozi wa China na Chama cha Wafanyabiashara Wachina nchini Ethiopia, likiambatana na sherehe za sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina, lilikuwa na shughuli mbalimbali, ikiwemo mnada wa hisani, maonesho ya utamaduni wa China, vyakula vya jadi vya kichina na huduma bure za matibabu. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina itaangukia Januari 29 mwaka huu, ikifungua Mwaka wa Nyoka, kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China. Akiongea katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa Wachina na wenyeji, Balozi wa China nchini Ethiopia Bw. Chen Hai amesema, China itatumia maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano kama mwanzo mpya, kutelekeza matokeo ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing na makubaliano yaliyofikiwa na wakuu wa nchi hizo mbili, na kufanya juhudi pamoja na marafiki wa Ethiopia kuzijenga nchi hizo mbili kuwa za kisasa. Akikumbusha kuwa China na Ethiopia zimeinua uhusiano wao hadi kufikia ngazi ya Uhusiano wa Wenzi wa Kimkakati wa Pande Zote tangu mwezi Oktoba mwaka jana, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Mesganu Arga amesisitiza urafiki mkubwa katika China na Ethiopia, na kusema uhusiano huo wa karibu ni ushahidi wa kile kinachoweza kufikiwa wakati mataifa haya mawili yanaheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja.
    Like
    Love
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·441 Views
  • Netanyahu atuma ujumbe wa ngazi ya juu Qatar "kuendeleza" mazungumzo ya kuwarudisha mateka.
    Netanyahu atuma ujumbe wa ngazi ya juu Qatar "kuendeleza" mazungumzo ya kuwarudisha mateka.
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·126 Views
  • Inaonekana mamlaka ya Korea Kaskazini imetoa wito kwa wanajeshi wake kujiua kwa kujilipua ili kukwepa kukamatwa
    https://bbc.in/4fXe6MG
    Inaonekana mamlaka ya Korea Kaskazini imetoa wito kwa wanajeshi wake kujiua kwa kujilipua ili kukwepa kukamatwa https://bbc.in/4fXe6MG
    Marekani: Idadi ya waliofariki katika moto wa nyika Los Angeles yaongezeka huku upepo mkali ukitarajiwa - BBC News Swahili
    bbc.in
    Upepo mkavu wa Santa Ana unatarajiwa kushika kasi usiku kucha na kuendelea kusababisha maafa hadi Jumatano.
    Like
    Sad
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·136 Views
  • Tengeneza embedded kwaajil ya video zako za YouTube kwenye site yako

    https://codegena.com/generator/Youtube-Embed-Code-Generator/
    Tengeneza embedded kwaajil ya video zako za YouTube kwenye site yako https://codegena.com/generator/Youtube-Embed-Code-Generator/
    Codegena Youtube Embed Code Generator
    codegena.com
    Codegena Youtube Embed Code Generator allows you to quickly create youtube embed codes with advanced customizations like responsive video player,adjustable youtube start time and end time, disable html5 player,load flash and more...
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·153 Views
  • Support yenu wadau wangu wa nguvu.
    Usisahau ku subscribe na kulike. Utakuwa umetisha sana.


    https://youtube.com/@_creator821?si=ph6mhbduqp0hiMsk
    Support yenu wadau wangu wa nguvu. Usisahau ku subscribe na kulike. Utakuwa umetisha sana. https://youtube.com/@_creator821?si=ph6mhbduqp0hiMsk
    COME AND SEE
    youtube.com
    WAFANYA KAZI WA YAPI MERKEZI LOT 3 ITIGI WAGOMA WAKIDAI MALIPO YAO YA NSSF.
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·346 Views
  • Kama umetengeneza App na Unahitaji Store ya Kuiweka Ambapo watu wataiona waidownload basi ni hapa https://uploadapk.store/
    Store ni Buree Kabisa Haina Ads.
    Kama umetengeneza App na Unahitaji Store ya Kuiweka Ambapo watu wataiona waidownload basi ni hapa👉👉 https://uploadapk.store/ Store ni Buree Kabisa Haina Ads.
    uploadapk.store
    Free uploads and downloads app with no limits. Enjoy unlimited access to share and save your files seamlessly.
    Like
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·212 Views
  • Jamani mpo poa humu
    Jamani mpo poa humu😊
    Like
    4
    · 2 Comments ·0 Shares ·224 Views
  • Sambaza Tuzidi ongezeka huku pia
    https://www.instagram.com/p/DDOeOuRoRm9/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
    Sambaza Tuzidi ongezeka huku pia https://www.instagram.com/p/DDOeOuRoRm9/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
    Like
    Yay
    5
    · 0 Comments ·0 Shares ·227 Views
  • Microsoft Office 2024 Pro Plus
    | Activation Key

    Key:
    FKN36-GT8B2-PVC9R-3DJCJ-YP6J3

    Sub Type: X23-57850
    Activation Count: 347

    Microsoft Office 2021 Pro Plus | Activation Keys

    Key:
    TCDPN-QBBYR-MCBXB-2PH9H-KHPCX
    Sub Type: X22-53679
    Activation Count: 5720

    Key:
    KGXQW-NC8R2-6TJFP-XVM6J-GVPCX
    Sub Type: X22-53674
    Activation Count: 959

    Key:
    N2RYY-GHXR3-C42G6-6YVYF-QGR2X
    Sub Type: X22-53681
    Activation Count: 210

    Key:
    2PDKD-N2YHD-J6TPG-YMY39-H6GW9
    Sub Type: X22-53674
    Activation Count: 622
    Microsoft Office 2024 Pro Plus | Activation Key Key: 👇👇 FKN36-GT8B2-PVC9R-3DJCJ-YP6J3 ➡️Sub Type: X23-57850 ➡️Activation Count: 347 Microsoft Office 2021 Pro Plus | Activation Keys Key:👇👇 TCDPN-QBBYR-MCBXB-2PH9H-KHPCX ➡️Sub Type: X22-53679 ➡️Activation Count: 5720 Key:👇👇 KGXQW-NC8R2-6TJFP-XVM6J-GVPCX ➡️Sub Type: X22-53674 ➡️Activation Count: 959 Key: 👇👇 N2RYY-GHXR3-C42G6-6YVYF-QGR2X ➡️Sub Type: X22-53681 ➡️Activation Count: 210 Key:👇👇 2PDKD-N2YHD-J6TPG-YMY39-H6GW9 ➡️Sub Type: X22-53674 ➡️Activation Count: 622
    Like
    Yay
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·242 Views
  • Msemaji wa IDF, kutoka jeshi la israeli Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: "Leo, imeidhinishwa kwamba wakati wa operesheni ya ISA iliyoungwa mkono na IDF, mwili wa mateka wa Israel Itai Svirsky, ulipatikana kwa mafanikio kutoka Ukanda wa Gaza na kurudishwa Israeli kwa mazishi. . "Imeambatishwa ni taarifa ya Kiingereza ya Msemaji wa IDF, Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: https://bit.ly/4ggXoYZ
    Msemaji wa IDF, kutoka jeshi la israeli Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: "Leo, imeidhinishwa kwamba wakati wa operesheni ya ISA iliyoungwa mkono na IDF, mwili wa mateka wa Israel Itai Svirsky, ulipatikana kwa mafanikio kutoka Ukanda wa Gaza na kurudishwa Israeli kwa mazishi. . "Imeambatishwa ni taarifa ya Kiingereza ya Msemaji wa IDF, Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: https://bit.ly/4ggXoYZ
    Like
    Wow
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·259 Views
  • Msemaji wa jeshi la israeli ( IDF), Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: "Leo, imeidhinishwa kwamba wakati wa operesheni ya ISA iliyoungwa mkono na IDF, mwili wa mateka wa Israel Itai Svirsky, ulipatikana kwa mafanikio kutoka Ukanda wa Gaza na kurudishwa Israeli kwa mazishi. . "Imeambatishwa ni taarifa ya Kiingereza ya Msemaji wa IDF, Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: https://bit.ly/4ggXoYZ
    Msemaji wa jeshi la israeli ( IDF), Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: "Leo, imeidhinishwa kwamba wakati wa operesheni ya ISA iliyoungwa mkono na IDF, mwili wa mateka wa Israel Itai Svirsky, ulipatikana kwa mafanikio kutoka Ukanda wa Gaza na kurudishwa Israeli kwa mazishi. . "Imeambatishwa ni taarifa ya Kiingereza ya Msemaji wa IDF, Admirali wa Nyuma Daniel Hagari: https://bit.ly/4ggXoYZ
    Like
    Wow
    5
    · 0 Comments ·0 Shares ·252 Views
  • Kabla ya kuanza kujifunza CSS (Cascading Style Sheets), ni muhimu kuelewa msingi wa HTML (Hypertext Markup Language) kwanza. CSS ni lugha inayotumika kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa ukurasa wa wavuti ulioandikwa kwa kutumia HTML.

    Hapa kuna vitu vya msingi vya kujifunza kuhusu CSS:

    1. Chagua chombo cha kujifunzia: Kuna rasilimali nyingi mkondoni ambazo zinaweza kukusaidia kujifunza CSS, kama vile tovuti, vitabu, na video. Unaweza kutumia W3Schools, Mozilla Developer Network (MDN), Codecademy, au freeCodeCamp kuanza.

    2. Kuanza na msingi: Anza kwa kujifunza misingi kama vile jinsi ya kuandika chaguzi za CSS kwa vitambulisho (IDs), aina (classes), na sehemu (elements). Unaweza pia kujifunza kuhusu CSS selectors, properties, na values.

    3. Jaribu mazoezi: Ni muhimu kutekeleza mazoezi ya vitendo ili kujifunza kwa vitendo. Jaribu kubuni ukurasa wa wavuti rahisi na tumia CSS kuibadilisha. Pia, hakikisha kuwa unajaribu kufanya maandishi yako, picha, na vitu vingine vionekane vizuri na kuundwa kwa njia inayofaa kwako.

    4. Jifunze jinsi ya kuandika kanuni safi na yenye muundo mzuri: CSS inazidi kuwa ngumu kadri unavyojifunza zaidi, kwa hivyo ni muhimu kuweka kanuni zako kuwa safi, yenye mantiki, na yenye muundo mzuri. Kutumia vipindi vya kurasa (indentation), maoni (comments), na kutenganisha muundo wa kanuni yako ni muhimu.

    5. Tembelea tovuti zingine na uchunguze kificho chao: Wakati mwingine njia bora ya kujifunza ni kwa kuangalia kificho cha wavuti zingine. Jisikie huru kutembelea tovuti zinazovutia na uchunguze jinsi CSS imefanyika. Hii itakupa wazo la mazoea bora na kukuhamasisha kujifunza zaidi.

    Usiwe na hofu ya kujaribu na kufanya makosa, kwa sababu ndivyo unavyojifunza! CSS ni ujuzi mzuri wa kuwa nao katika ulimwengu wa wavuti, na kujifunza jinsi ya kutekeleza awali ni hatua muhimu katika safari yako ya kuelekea kuwa mtengenezaji wa wavuti.

    Kabla ya kuanza kujifunza CSS (Cascading Style Sheets), ni muhimu kuelewa msingi wa HTML (Hypertext Markup Language) kwanza. CSS ni lugha inayotumika kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa ukurasa wa wavuti ulioandikwa kwa kutumia HTML. Hapa kuna vitu vya msingi vya kujifunza kuhusu CSS: 1. Chagua chombo cha kujifunzia: Kuna rasilimali nyingi mkondoni ambazo zinaweza kukusaidia kujifunza CSS, kama vile tovuti, vitabu, na video. Unaweza kutumia W3Schools, Mozilla Developer Network (MDN), Codecademy, au freeCodeCamp kuanza. 2. Kuanza na msingi: Anza kwa kujifunza misingi kama vile jinsi ya kuandika chaguzi za CSS kwa vitambulisho (IDs), aina (classes), na sehemu (elements). Unaweza pia kujifunza kuhusu CSS selectors, properties, na values. 3. Jaribu mazoezi: Ni muhimu kutekeleza mazoezi ya vitendo ili kujifunza kwa vitendo. Jaribu kubuni ukurasa wa wavuti rahisi na tumia CSS kuibadilisha. Pia, hakikisha kuwa unajaribu kufanya maandishi yako, picha, na vitu vingine vionekane vizuri na kuundwa kwa njia inayofaa kwako. 4. Jifunze jinsi ya kuandika kanuni safi na yenye muundo mzuri: CSS inazidi kuwa ngumu kadri unavyojifunza zaidi, kwa hivyo ni muhimu kuweka kanuni zako kuwa safi, yenye mantiki, na yenye muundo mzuri. Kutumia vipindi vya kurasa (indentation), maoni (comments), na kutenganisha muundo wa kanuni yako ni muhimu. 5. Tembelea tovuti zingine na uchunguze kificho chao: Wakati mwingine njia bora ya kujifunza ni kwa kuangalia kificho cha wavuti zingine. Jisikie huru kutembelea tovuti zinazovutia na uchunguze jinsi CSS imefanyika. Hii itakupa wazo la mazoea bora na kukuhamasisha kujifunza zaidi. Usiwe na hofu ya kujaribu na kufanya makosa, kwa sababu ndivyo unavyojifunza! CSS ni ujuzi mzuri wa kuwa nao katika ulimwengu wa wavuti, na kujifunza jinsi ya kutekeleza awali ni hatua muhimu katika safari yako ya kuelekea kuwa mtengenezaji wa wavuti. 👑🎓🎓🎓🎓🎓
    Like
    Yay
    5
    · 0 Comments ·0 Shares ·341 Views
  • Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ...............

    USIWAZE HELA KWANZA

    1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya )

    Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho

    A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita )

    Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo

    1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi

    1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni

    1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim

    1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona..

    1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu

    1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi

    NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo

    Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi

    1: KineMaster
    2: Inshort
    3: Yo Cut
    3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha

    Baada ya hayo Jifunze yafuatayo

    1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script

    2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti

    3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako

    4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O

    5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi)
    Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako

    Then Fanya pia yafuatayo

    Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao.

    Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu

    kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi

    3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa

    4: Tengeneza Logo Safi

    5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba

    6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo

    NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata

    7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo

    8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi
    9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo

    10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena

    11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana

    12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day




    📌 Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ............... USIWAZE HELA KWANZA 😁😁 1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya ) Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita ) Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo 1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi 1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni 1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim 1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona.. 1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu 1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi 1: KineMaster 2: Inshort 3: Yo Cut 3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha 😁😁😁 Baada ya hayo Jifunze yafuatayo 1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script 2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti 3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako 4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O 😳😳 5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi) Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako Then Fanya pia yafuatayo Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao. Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi 3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa 4: Tengeneza Logo Safi 5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba 6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata 7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo 8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi 9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo 10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena 11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana 12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day 🙏🙏🙏🙏🙏
    Like
    Love
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·994 Views
More Stories