Upgrade to Pro

PATA BLUETICK YAKO KWA TSHS 1,300 TU KATIKA INSTAGRAM NA FACEBOOK!

Kampuni ya Meta inayosimamia Mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imeanzisha Mfumo wa Discount (Punguzo la Bei) kwa Account za Biashara (Business Accounts) katika Huduma yake ya Meta Verified (Huduma ya Blue tick za Kulipia).

Sasa Mtu/Kampuni yenye Account Instagram inaweza Kupata tick ya Blue kwa Ada ya Tshs 1,300 tu! (Elfu Moja na Mia Tatu) kwa Mwezi wa Kwanza, kisha Tshs 19,500 kwa Mwezi unaofuata.

Huduma ya Meta Verified ni huduma nzuri ikiwa unapenda Kulinda Brand yako Mtandaoni kwani utawapa Mashabiki au Wateja urahisi wa kufahamu ipi ni Account yako Rasmi.



ZINGATIA:
Ofa ya Punguzo la Bei ya tiki hizi ipo kwa Account za Biashara pekee katika Instagram na kwa Watumiaji wa Facebook wenye Account zilizo katika Professional Mode. (Si Account zote zinaweza Kuwa na Discount hii).
PATA BLUETICK YAKO KWA TSHS 1,300 TU KATIKA INSTAGRAM NA FACEBOOK! ๐Ÿ™Œ Kampuni ya Meta inayosimamia Mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imeanzisha Mfumo wa Discount (Punguzo la Bei) kwa Account za Biashara (Business Accounts) katika Huduma yake ya Meta Verified (Huduma ya Blue tick za Kulipia). Sasa Mtu/Kampuni yenye Account Instagram inaweza Kupata tick ya Blue kwa Ada ya Tshs 1,300 tu! (Elfu Moja na Mia Tatu) kwa Mwezi wa Kwanza, kisha Tshs 19,500 kwa Mwezi unaofuata. Huduma ya Meta Verified ni huduma nzuri ikiwa unapenda Kulinda Brand yako Mtandaoni kwani utawapa Mashabiki au Wateja urahisi wa kufahamu ipi ni Account yako Rasmi. ZINGATIA: Ofa ya Punguzo la Bei ya tiki hizi ipo kwa Account za Biashara pekee katika Instagram na kwa Watumiaji wa Facebook wenye Account zilizo katika Professional Mode. (Si Account zote zinaweza Kuwa na Discount hii).
ยท10 Views