0 التعليقات
·0 المشاركات
·124 مشاهدة
-
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).
19
⚽️ 20
10
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). 🏟️ 19 ⚽️ 20 🎯 100 التعليقات ·0 المشاركات ·617 مشاهدة -
Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.0 التعليقات ·0 المشاركات ·248 مشاهدة -
Klabu ya YANGA SC imemtambulidha Adnan Behlulovic' raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili wa wachezaji wa klabu hiyoKlabu ya YANGA SC imemtambulidha Adnan Behlulovic' raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili wa wachezaji wa klabu hiyo· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·115 مشاهدة1
-
TUNALALA BILA UKAKIKA WA KUISHI KESHO LAKINI BADO TUNAWEKA ALARM YA KUTUAMSHA ASUBUHI HAYA NI MATUMAINI MAKUBWA SANA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.TUNALALA BILA UKAKIKA WA KUISHI KESHO LAKINI BADO TUNAWEKA ALARM YA KUTUAMSHA ASUBUHI HAYA NI MATUMAINI MAKUBWA SANA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·112 مشاهدة1
-
Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović💪🏽
Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu.
Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwikoKaribu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽 Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·694 مشاهدة3
-
Hussein Abel ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Jumapili hapa Algeria.
#paulswaiHussein Abel ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Jumapili hapa Algeria. #paulswai0 التعليقات ·0 المشاركات ·205 مشاهدة -
🧤 CAMARA 🧤 🧤 ABEL 🧤 🧤 SALIM 🧤 #paulswai0 التعليقات ·0 المشاركات ·211 مشاهدة
-
-
MC ALGER VS YOUNG AFRICANS LEO SAA4:00 USIKU 7 DECEMBER #WANANCHI #YOUNGAFRICANSSC #🇹🇿· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·879 مشاهدة1