·130 Просмотры
Каталог
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).
19
⚽️ 20
10
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). 🏟️ 19 ⚽️ 20 🎯 10·655 Просмотры -
Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.·254 Просмотры -
Klabu ya YANGA SC imemtambulidha Adnan Behlulovic' raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili wa wachezaji wa klabu hiyoKlabu ya YANGA SC imemtambulidha Adnan Behlulovic' raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili wa wachezaji wa klabu hiyo1
·120 Просмотры -
TUNALALA BILA UKAKIKA WA KUISHI KESHO LAKINI BADO TUNAWEKA ALARM YA KUTUAMSHA ASUBUHI HAYA NI MATUMAINI MAKUBWA SANA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.TUNALALA BILA UKAKIKA WA KUISHI KESHO LAKINI BADO TUNAWEKA ALARM YA KUTUAMSHA ASUBUHI HAYA NI MATUMAINI MAKUBWA SANA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.1
·118 Просмотры -
Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović💪🏽
Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu.
Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwikoKaribu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽 Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko3
·751 Просмотры -
Hussein Abel ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Jumapili hapa Algeria.
#paulswaiHussein Abel ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Jumapili hapa Algeria. #paulswai·210 Просмотры -
-
-
MC ALGER VS YOUNG AFRICANS LEO SAA4:00 USIKU 7 DECEMBER #WANANCHI #YOUNGAFRICANSSC #🇹🇿1
·977 Просмотры