Upgrade to Pro

  • .MAONI YA MDAU👇🏽

    NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE...

    Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo

    Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita

    Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi

    Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji

    KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap

    Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League

    So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli
    .MAONI YA MDAU👇🏽 NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE... Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli 🙏🙏🙏
    Love
    Like
    5
    ·292 Views
  • Like
    Love
    4
    ·143 Views
  • ·58 Views
  • Kikosi cha leo. #TotalEnergiesCAFCC

    #paulswai
    Kikosi cha leo. #TotalEnergiesCAFCC #paulswai
    Like
    Love
    6
    ·215 Views
  • Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka kuhusu Diamond Platnumz kushindwa kutumbuiza huko Nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Hii baada ya Msanii wa kenya Willy Paul kudai kuwa Wasanii wa Tanzania wanapendelewa zaidi Nchini humo huku akimtaja Diamond Platnumz kutaka kutumbuiza kabla yake.

    “Nadhani ifike mahali wasanii muwekeze bidii
    kwenye kazi, kufeki story sababu ya fame ya kulazimisha bifu ili kutrend haisaidii, Msanii aitwae Willy aseme ukweli alikuwa anabishana na mtoto wa kike ( Zuchu ) aliblock njia Zuchu asipande kwenye steji akisema alikuwepo tokea mwanzo hivyo anataka pande yeye, ilhali wakati zamu yake allitwa apande kwenye stage aligoma na kusema hawezi kupanda yeye ni Headliner anataka Afunge show Mwisho, baada ya kuona wenzake wanapata shangwe akawa anforce kupanda kwenye Muda wa Zuchu na wala sio Diamond. Regarding why Diamond hajapanda is between us and organizer has nothing to do na msanii yoyote. Bless Up” - Sallam SK

    Toa maoni yako
    Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka kuhusu Diamond Platnumz kushindwa kutumbuiza huko Nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Hii baada ya Msanii wa kenya Willy Paul kudai kuwa Wasanii wa Tanzania wanapendelewa zaidi Nchini humo huku akimtaja Diamond Platnumz kutaka kutumbuiza kabla yake. “Nadhani ifike mahali wasanii muwekeze bidii kwenye kazi, kufeki story sababu ya fame ya kulazimisha bifu ili kutrend haisaidii, Msanii aitwae Willy aseme ukweli alikuwa anabishana na mtoto wa kike ( Zuchu ) aliblock njia Zuchu asipande kwenye steji akisema alikuwepo tokea mwanzo hivyo anataka pande yeye, ilhali wakati zamu yake allitwa apande kwenye stage aligoma na kusema hawezi kupanda yeye ni Headliner anataka Afunge show Mwisho, baada ya kuona wenzake wanapata shangwe akawa anforce kupanda kwenye Muda wa Zuchu na wala sio Diamond. Regarding why Diamond hajapanda is between us and organizer has nothing to do na msanii yoyote. Bless Up” - Sallam SK Toa maoni yako
    Like
    1
    ·215 Views
  • Like
    1
    ·19 Views
  • Like
    1
    ·19 Views
  • Like
    1
    ·21 Views
  • Hao ndiyo Ubaya ubwela
    #Simbasc
    Hao ndiyo Ubaya ubwela #Simbasc
    Like
    2
    ·53 Views
  • Like
    Love
    2
    ·40 Views