Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • David Atto @Mefa πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-14 19:24:24 ·
    Love
    5
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·186 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-14 21:13:40 ·
    Appreciation

    Appreciation 💪🔰🔰🤛
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·111 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sameer Ibrahim @escaper_49 ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-12-14 22:56:33 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·300 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-15 06:30:59 ·
    Safari ya kurejea nyumbani imeanza
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Safari ya kurejea nyumbani imeanza #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·651 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-15 06:31:18 ·
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·111 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-15 06:31:38 ·
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·110 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-15 06:31:58 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·109 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-15 06:32:13 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·118 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • ECHO NOVEMBER @Bonge1
    2024-12-15 07:22:58 ·


    HII STORY INAKUFUNDISHA NINI

    MWANAUME mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha.

    Yule mwanaume alikuwa analipwa mshahara wa wastani ambao usingetosha kukidhi kumpendezesha mkewe na kutunza familia. Kutokana na changamoto za kipato kidogo alijiongeza na kununua kagari kadogo aina ya


    Mtanisamehe wale wenye ndoto ya kununua IST) ili akaendeshe kama taxi jioni baada ya kutoka ofisini ili kuongeza kipato chake.......!

    Kiukweli huu mpango ulienda vizuri na maisha yakawa bora na mazuri ijapokuwa alichoka sana na pia alikosa muda wa kutosha na familia yake. Hatahivyo, alijitia moyo kuwa haiwezekani mtu akala keki yake na bado ikawepo yaani..

    UKIWA na muda huna pesa na UKIWA na PESA huna Muda ~ hivyo kila mtu huchagua anachotaka kuwa nacho.

    Kila siku jioni jamaa alimpatia mkewe maokoto ya kwenye teksi kama shilingi 25,000 isipokuwa siku ya Jumapili aliyokuwa anaswali na


    Kila siku jioni jamaa alimpatia mkewe maokoto ya kwenye teksi kama shilingi 25,000 isipokuwa siku ya Jumapili aliyokuwa anaswali na kupumzika. Hii ilikuwa kwaajili ya gharama za chakula na matumizi ya nyumbani.

    PALE nyumbani palikuwa na amani furaha na utulivu. Kutokana na jinsi jamaa alivyompenda yule mkewe na watoto hakutaka kuuliza matumizi ya ile pesa. Kodi ya nyumba ada na matibabu alitoa kwenye mshahara wake wa ofisini.

    KWA ghafla siku moja mkewe akaugua na alihitajika kufanyiwa operesheni ya haraka. Na yule mwanaume hakuwa na tabia ya kujiwekea akiba. Alitaabika na kuhuzunika sana kwani dakitari alimweleza kuwa mkewe asipofanyiwa upasuaji kwa haraka ili kutatua tatizo linalomsibu atafariki dunia.

    Jamaa akajiongeza akamjulisha mkewe kuwa anaenda kuuza ile gari yake IST kwa haraka hata kama ni kwa hasara ili apate fedha za kumtibu mkewe. Basi mama watoto akamshukuru sana kwa jinsi anavyompenda na kumwambia hakika akipona atampenda zaidi na kuwajali watoto.

    Yule mwanaume akarudi nyumbani akihuzunika kuwa hatakuwa na gari ya kutengenezea pesa jioni baada ya kazi hivyo atakosa pesa na uchumi wa familia yake na ubora wa maisha utashuka. Hatahivyo, akapiga moyo konde kuwa ni heri mkewe atibiwe kuliko kuwa na hiyo gari.

    Wakati akitafuta madalali wanaoweza kuuza ile gari kwa haraka au wateja akawa anapiga magoti chumbani na kusali sana usiku kucha. Alikuwa anapiga magoti kwenye mfumbati wa kitanda na kuegemea godoro upande wa miguuni. Mara akagumdua kuwa ule upande wa miguuni mwa godoro kulikuwa kugumu kugumu na kuna uzito usiokuwa wa kawaida. Ndipo alipoamua kufunua shuka na kulitoa lile godoro.

    Alipolichunguza lile godoro kuu kuu akakuta limekatwa na ndani yake kuna fedha iliyofichwa inayofikia shilingi milioni nne na nusu (TZS 4,500,000). Yule mwanaume akashangilia kwa furaha kuu huku akiwa amepigwa na butwaa. Mbona mwenzangu anajua ana kitita kinachotosha matibabu na kuzidi na hasemi yuko tayari niuze gari inayotusaidia kutengeneza pesa? Kwakweli hakupata majibu wala hakumuuliza wala kumueleza yeyote.



    Akaichukua ile pesa akalipa matibabu ya mkewe yote, akanunua godoro kubwa jipya la Tanform 6×6 unene wa nchi sita na mashuka mapya. Akachukua lile godoro kuu kuu walilokuwa wanalilalia 'benki' ya mama watoto na kuwaita watoto wake wote watatu wakalilowanisha kwa mafuta ya taa na kisha wakalichoma moto kwa pamoja. Akawaambia nimenunua godoro jipya ili mama yenu akirudi alale mahali pasafi na pazuri.

    Kwa neema za Mungu mama akatibiwa akapona vizuri na kurusiwa kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani akakuta mumewe amenunua godoro jipya na mashuka mapya mazuri sana.

    Akauliza, "Mume wangu godoro la zamani liko wapi?". Mumewe akamjibu, "Aisee lilikuwa na kunguni na wadudu wa aina nyingi, sikuwa naweza kulala usiku wakati hukuwepo. Tulilimwagia mafuta ya taa mimi na watoto tukalichoma moto". Watoto wakamwambia mama yao, "ni kweli mama! Tulilichoma moto lile godoro tukiwa na baba, ule moto ulikuwa kama wa jehanamu." Stori ikaishia hapo.

    Japokuwa mama alipona kabisa, huu ni mwaka wa sita bado ule mshono wa oparesheni huwa unauma.

    Kumbuka hawezi kuuliza kuhusu Hela zilizokuwa Kwenye godoro.





    HII STORY INAKUFUNDISHA NINI MWANAUME mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha. Yule mwanaume alikuwa analipwa mshahara wa wastani ambao usingetosha kukidhi kumpendezesha mkewe na kutunza familia. Kutokana na changamoto za kipato kidogo alijiongeza na kununua kagari kadogo aina ya Mtanisamehe wale wenye ndoto ya kununua IST) ili akaendeshe kama taxi jioni baada ya kutoka ofisini ili kuongeza kipato chake.......! Kiukweli huu mpango ulienda vizuri na maisha yakawa bora na mazuri ijapokuwa alichoka sana na pia alikosa muda wa kutosha na familia yake. Hatahivyo, alijitia moyo kuwa haiwezekani mtu akala keki yake na bado ikawepo yaani.. UKIWA na muda huna pesa na UKIWA na PESA huna Muda ~ hivyo kila mtu huchagua anachotaka kuwa nacho. Kila siku jioni jamaa alimpatia mkewe maokoto ya kwenye teksi kama shilingi 25,000 isipokuwa siku ya Jumapili aliyokuwa anaswali na Kila siku jioni jamaa alimpatia mkewe maokoto ya kwenye teksi kama shilingi 25,000 isipokuwa siku ya Jumapili aliyokuwa anaswali na kupumzika. Hii ilikuwa kwaajili ya gharama za chakula na matumizi ya nyumbani. PALE nyumbani palikuwa na amani furaha na utulivu. Kutokana na jinsi jamaa alivyompenda yule mkewe na watoto hakutaka kuuliza matumizi ya ile pesa. Kodi ya nyumba ada na matibabu alitoa kwenye mshahara wake wa ofisini. KWA ghafla siku moja mkewe akaugua na alihitajika kufanyiwa operesheni ya haraka. Na yule mwanaume hakuwa na tabia ya kujiwekea akiba. Alitaabika na kuhuzunika sana kwani dakitari alimweleza kuwa mkewe asipofanyiwa upasuaji kwa haraka ili kutatua tatizo linalomsibu atafariki dunia. Jamaa akajiongeza akamjulisha mkewe kuwa anaenda kuuza ile gari yake IST kwa haraka hata kama ni kwa hasara ili apate fedha za kumtibu mkewe. Basi mama watoto akamshukuru sana kwa jinsi anavyompenda na kumwambia hakika akipona atampenda zaidi na kuwajali watoto. Yule mwanaume akarudi nyumbani akihuzunika kuwa hatakuwa na gari ya kutengenezea pesa jioni baada ya kazi hivyo atakosa pesa na uchumi wa familia yake na ubora wa maisha utashuka. Hatahivyo, akapiga moyo konde kuwa ni heri mkewe atibiwe kuliko kuwa na hiyo gari. Wakati akitafuta madalali wanaoweza kuuza ile gari kwa haraka au wateja akawa anapiga magoti chumbani na kusali sana usiku kucha. Alikuwa anapiga magoti kwenye mfumbati wa kitanda na kuegemea godoro upande wa miguuni. Mara akagumdua kuwa ule upande wa miguuni mwa godoro kulikuwa kugumu kugumu na kuna uzito usiokuwa wa kawaida. Ndipo alipoamua kufunua shuka na kulitoa lile godoro. Alipolichunguza lile godoro kuu kuu akakuta limekatwa na ndani yake kuna fedha iliyofichwa inayofikia shilingi milioni nne na nusu (TZS 4,500,000). Yule mwanaume akashangilia kwa furaha kuu huku akiwa amepigwa na butwaa. Mbona mwenzangu anajua ana kitita kinachotosha matibabu na kuzidi na hasemi yuko tayari niuze gari inayotusaidia kutengeneza pesa? Kwakweli hakupata majibu wala hakumuuliza wala kumueleza yeyote. Akaichukua ile pesa akalipa matibabu ya mkewe yote, akanunua godoro kubwa jipya la Tanform 6×6 unene wa nchi sita na mashuka mapya. Akachukua lile godoro kuu kuu walilokuwa wanalilalia 'benki' ya mama watoto na kuwaita watoto wake wote watatu wakalilowanisha kwa mafuta ya taa na kisha wakalichoma moto kwa pamoja. Akawaambia nimenunua godoro jipya ili mama yenu akirudi alale mahali pasafi na pazuri. Kwa neema za Mungu mama akatibiwa akapona vizuri na kurusiwa kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani akakuta mumewe amenunua godoro jipya na mashuka mapya mazuri sana. Akauliza, "Mume wangu godoro la zamani liko wapi?". Mumewe akamjibu, "Aisee lilikuwa na kunguni na wadudu wa aina nyingi, sikuwa naweza kulala usiku wakati hukuwepo. Tulilimwagia mafuta ya taa mimi na watoto tukalichoma moto". Watoto wakamwambia mama yao, "ni kweli mama! Tulilichoma moto lile godoro tukiwa na baba, ule moto ulikuwa kama wa jehanamu." Stori ikaishia hapo. Japokuwa mama alipona kabisa, huu ni mwaka wa sita bado ule mshono wa oparesheni huwa unauma. Kumbuka hawezi kuuliza kuhusu Hela zilizokuwa Kwenye godoro.
    Love
    Haha
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·920 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Ally Messi1 @allymessi1 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-15 10:31:59 ·
    #highlights
    #highlights
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·728 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (19601-19610 από 25722)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 1959
  • 1960
  • 1961
  • 1962
  • 1963
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers