• Love
    Like
    Haha
    4
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·199 Vue
  • Like
    Love
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·207 Vue ·34
  • Wakongo wameomba radhi
    Wakongo wameomba radhi
    Like
    Love
    4
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·256 Vue ·37
  • Fanya kazi kwa moyo, kama umechagua maisha kujitoa na kusaidia watu basi jitoe kwa moyo bila manung’uniko yoyote yale. Usiangalie malipo na kuwa hela mbele kuliko utu. Saidia watu kwa kile Mungu alichokujalia kama wewe ni mwalimu wafundishe watu, kama wewe ni mwanamziki imba nyimbo nzuri za kuelimisha na kuburudisha watu hata kama watu hawakupi shukrani. Wewe kama ni mwandishi andika watu wajifunze kile unachojua kwa kufanya hivi utakua umeikomboa dunia.
    Fanya kazi kwa moyo, kama umechagua maisha kujitoa na kusaidia watu basi jitoe kwa moyo bila manung’uniko yoyote yale. Usiangalie malipo na kuwa hela mbele kuliko utu. Saidia watu kwa kile Mungu alichokujalia kama wewe ni mwalimu wafundishe watu, kama wewe ni mwanamziki imba nyimbo nzuri za kuelimisha na kuburudisha watu hata kama watu hawakupi shukrani. Wewe kama ni mwandishi andika watu wajifunze kile unachojua kwa kufanya hivi utakua umeikomboa dunia.
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·327 Vue
  • Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya .

    Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki.

    Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show".

    “$1M For Wedding Show In Mombasa ” - Diamond Platnumz via Instagram.

    Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya 🇰🇪. Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show". “$1M For Wedding Show In Mombasa 🇰🇪” - Diamond Platnumz via Instagram.
    0 Commentaires ·0 Parts ·989 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·129 Vue
  • Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·293 Vue
  • BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16.

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024.

    Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka.

    Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera.

    Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi.

    Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni.

    Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024. Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera. Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni. Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.
    Love
    Sad
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·692 Vue
  • Sad
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·139 Vue
  • Sad
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·151 Vue