• Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu;

    - Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili
    - Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili

    Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu;

    1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1;

    - mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni

    - Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage

    - Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo

    - Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu

    2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa;

    - Ufanisi wa pasi
    - Combinations play
    - Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks

    Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya;

    - Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora
    - Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora

    Set Plays siri kuu ni;

    - Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls)
    - Wapigaji wazuri

    NOTE

    1: Dube magoli yanakuja na assist pia

    2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana

    3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele

    4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo

    5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi

    6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake

    FT: Yanga 4-0 Prisons

    👉 Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu; - Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili - Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili 👉 Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu; 1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1; - mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni - Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage - Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo - Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu 2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa; - Ufanisi wa pasi - Combinations play - Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks 👉 Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya; - Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora - Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora 👉 Set Plays siri kuu ni; - Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls) - Wapigaji wazuri NOTE 1: Dube magoli yanakuja na assist pia 🔥 2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana 3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele 4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo 5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi 6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake FT: Yanga 4-0 Prisons
    0 Kommentare ·0 Anteile ·967 Ansichten
  • Kama umetengeneza App na Unahitaji Store ya Kuiweka Ambapo watu wataiona waidownload basi ni hapa https://uploadapk.store/
    Store ni Buree Kabisa Haina Ads.
    Kama umetengeneza App na Unahitaji Store ya Kuiweka Ambapo watu wataiona waidownload basi ni hapa👉👉 https://uploadapk.store/ Store ni Buree Kabisa Haina Ads.
    uploadapk.store
    Free uploads and downloads app with no limits. Enjoy unlimited access to share and save your files seamlessly.
    Like
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·573 Ansichten
  • Bugat na shari ni ndugu
    Bugat na shari ni ndugu
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·253 Ansichten ·25
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·152 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·154 Ansichten
  • .Ni Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake

    TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6
    NYATI = USD 1,900~ mil 4.3
    SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3
    CHUI = USD 3,500~ mil 8
    TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6
    FISI = USD 550~ mil 1.2
    NGIRI = USD 450~ mil 1
    NYANI = USD 110~ laki 254
    PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7
    SWALA = USD 390~ laki 9
    ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000
    ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/=
    .
    .
    Ni muhimu kuwa na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi *Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.*

    Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipa baada ya kumgonga ...
    .Ni Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6 NYATI = USD 1,900~ mil 4.3 SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3 CHUI = USD 3,500~ mil 8 TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6 FISI = USD 550~ mil 1.2 NGIRI = USD 450~ mil 1 NYANI = USD 110~ laki 254 PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7 SWALA = USD 390~ laki 9 ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000 ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/= . . Ni muhimu kuwa na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi *Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.* Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipa baada ya kumgonga ...
    Like
    Love
    4
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·417 Ansichten
  • MERRY CHRISTMAS FROM DUDUU_MENDEZ COMMUNITY

    Zawadi Hii ni kwa members wote wa DUDUU_MENDEZ COMMUNITY, Saa yetu inaendelea kuhesabu mda utakapofika ZAWADI zetu zitafunguka. Nan atawahi kupata hio zawadi??🫵🫵

    Link ya zawadi https://mendezchritsmass.tiiny.site

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
    ▶︎ ●────────── 0:41
    MERRY CHRISTMAS 🎅 🎄 FROM DUDUU_MENDEZ COMMUNITY Zawadi Hii ni kwa members wote wa DUDUU_MENDEZ COMMUNITY, Saa yetu inaendelea kuhesabu mda utakapofika ZAWADI zetu zitafunguka. Nan atawahi kupata hio zawadi??🤔🤔🫵🫵 Link ya zawadi https://mendezchritsmass.tiiny.site > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
    Like
    Love
    Haha
    3
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·722 Ansichten
  • Tumefika mwisho wa mwaka, kuna waliotimiza malengo na kuna walioshindwa. Tumshukuru Mungu kwa yote na tuendelee kumuomba mwaka ujao uwe mwaka wa neema na baraka zake.
    Tumefika mwisho wa mwaka, kuna waliotimiza malengo na kuna walioshindwa. Tumshukuru Mungu kwa yote na tuendelee kumuomba mwaka ujao uwe mwaka wa neema na baraka zake. 🙏😇
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·438 Ansichten
  • Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·270 Ansichten ·11
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·123 Ansichten