• Simba SC ndiyo klabu iliyofunga mabao mengi ya penati katika Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa ambapo imefunga mabao sita (6) dhidi ya klabu zifuatazo:

    - Coastal Union
    - Dodoma Jiji Fc
    - KMC FC
    - Pamba Jiji
    - Kengold Fc
    - JKT Tanzania

    Simba SC ndiyo klabu iliyofunga mabao mengi ya penati katika Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa ambapo imefunga mabao sita (6) dhidi ya klabu zifuatazo: - Coastal Union - Dodoma Jiji Fc - KMC FC - Pamba Jiji - Kengold Fc - JKT Tanzania
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·463 مشاهدة
  • Klabu za Afrika zinazofanya vizuri kwenye Ligi Kuu zao hadi sasa.

    5. Simba SC.

    Klabu za Afrika zinazofanya vizuri kwenye Ligi Kuu zao hadi sasa. 5. Simba SC.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·141 مشاهدة
  • Mtandao wa YouTube imeanza harakati ya kupambana na video ambazo zinatumia picha (cover) na kicha cha habari (tittle) ambacho hakiendani na uhalisia wa video (kwa jina la kitaalam zinaitwa 'clickbait').

    YouTube imeanzisha sera hiyo mpya ya kuondoa video zenye vichwa vya habari au picha (thumbnail) za kudanganya ambazo haziendani na uhalisia wa video. Sera hii mpya inaanza kutekelezwa Nchini India kabla ya kusambaa Duniani kote katika miezi ijayo.

    Hatua hii inalenga “clickbait” mbaya zaidi, hasa kwenye video zinazohusu habari za dharura, siasa au matukio ya sasa. Wazalishaji wa video (Creators) wengi wamekuwa wakitumia picha (cover) na vichwa cha habari (tittle) vya uongo ili kuvutia Watu kufungua video lakini video inakuwa haiendani na vile wanavyoviona kwenye picha au kichwa cha habari.

    Kuanzia mwakani, YouTube itaanza kukagua "cover" na vichwa vya habari kwa kutumia mfumo mpya ambao utagundua "tittle" au "cover" ambazo haziendani na uhalisia wa video.
    Mtandao wa YouTube imeanza harakati ya kupambana na video ambazo zinatumia picha (cover) na kicha cha habari (tittle) ambacho hakiendani na uhalisia wa video (kwa jina la kitaalam zinaitwa 'clickbait'). YouTube imeanzisha sera hiyo mpya ya kuondoa video zenye vichwa vya habari au picha (thumbnail) za kudanganya ambazo haziendani na uhalisia wa video. Sera hii mpya inaanza kutekelezwa Nchini India kabla ya kusambaa Duniani kote katika miezi ijayo. Hatua hii inalenga “clickbait” mbaya zaidi, hasa kwenye video zinazohusu habari za dharura, siasa au matukio ya sasa. Wazalishaji wa video (Creators) wengi wamekuwa wakitumia picha (cover) na vichwa cha habari (tittle) vya uongo ili kuvutia Watu kufungua video lakini video inakuwa haiendani na vile wanavyoviona kwenye picha au kichwa cha habari. Kuanzia mwakani, YouTube itaanza kukagua "cover" na vichwa vya habari kwa kutumia mfumo mpya ambao utagundua "tittle" au "cover" ambazo haziendani na uhalisia wa video.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·577 مشاهدة
  • Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·259 مشاهدة
  • TAARIFA KWA UMMA

    Ukisalamiwa" MAMBO VIPI"


    Wewe Jibu ..

    "GUSA ACHIA TWENDE KWAO"


    Credit Vego ze maestro
    TAARIFA KWA UMMA Ukisalamiwa" MAMBO VIPI" Wewe Jibu .. "GUSA ACHIA TWENDE KWAO" Credit Vego ze maestro
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·200 مشاهدة
  • 👊🏼 👊🏼
    👊🏼 👊🏼
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·299 مشاهدة
  • Ndugu zangu;
    Nawatakia Heri Ya Sikukuu ya Krismasi.
    Ndugu zangu; Nawatakia Heri Ya Sikukuu ya Krismasi.
    Like
    Love
    2
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·235 مشاهدة
  • Kuwa faragha zaidi.
    Sio kila kitu unachofanya kinahitaji kuonekana au kusikilizwa.
    Kuwa faragha zaidi. Sio kila kitu unachofanya kinahitaji kuonekana au kusikilizwa.
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·367 مشاهدة
  • Mhusika amethibitisha
    Mhusika amethibitisha
    Love
    Like
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·226 مشاهدة ·51
  • Mwanaume mmoja alinunua sets 4 ya maua na card 4 akaenda kwa cashier kwaajili ya kulipia, Cashier alikua mwanamke, akamuangalia jamaa akaona Pete ya ndoa kwenye kidole cha yule mwanaume cashier akamtania jamaa kwa kumwabia "Pete yako imeniumiza moyo" (akimaanisha kampenda jamaa ila mwamba kashaoa) alafu akamuuliza "unampelekea nani maua yote haya?"

    Jamaa akajibu "set moja ya maua nampelekea mama yangu, kwasababu Baba yangu kafariki na siku zote alikua akimpelekea mama zawadi kama hii.. hivyo akanifundisha namna kuonyesha upendo"

    "Set ya pili ya maua nampelekea mke wangu kwasababu nampenda na amenifundisha namna ya kupokea na kutunza upendo"

    "Set ya 3 ya maua nampelekea binti yangu, kwasababu ni kazi yangu kumfundisha vipi anatakiwa atendewe na anaempa upendo wake"

    Yule mwanaume akashika Set ya 4 ya maua akampa cashier na akamwambia" Hii set ya 4 chukua wewe nataka nikufundishe kuwa mwanaume anaweza kukupa zawadi na kukuonyesha upendo bila kuhitaji chochote kutoka kwako... nakutakia siku njema"

    Na akaondoka zake.
    Mwanaume mmoja alinunua sets 4 ya maua na card 4 akaenda kwa cashier kwaajili ya kulipia, Cashier alikua mwanamke, akamuangalia jamaa akaona Pete ya ndoa kwenye kidole cha yule mwanaume cashier akamtania jamaa kwa kumwabia "Pete yako imeniumiza moyo" (akimaanisha kampenda jamaa ila mwamba kashaoa) alafu akamuuliza "unampelekea nani maua yote haya?" Jamaa akajibu "set moja ya maua nampelekea mama yangu, kwasababu Baba yangu kafariki na siku zote alikua akimpelekea mama zawadi kama hii.. hivyo akanifundisha namna kuonyesha upendo" "Set ya pili ya maua nampelekea mke wangu kwasababu nampenda na amenifundisha namna ya kupokea na kutunza upendo" "Set ya 3 ya maua nampelekea binti yangu, kwasababu ni kazi yangu kumfundisha vipi anatakiwa atendewe na anaempa upendo wake" Yule mwanaume akashika Set ya 4 ya maua akampa cashier na akamwambia" Hii set ya 4 chukua wewe nataka nikufundishe kuwa mwanaume anaweza kukupa zawadi na kukuonyesha upendo bila kuhitaji chochote kutoka kwako... nakutakia siku njema" Na akaondoka zake.
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·475 مشاهدة