• Mlinda lango wa klabu ya Everton na Timu ya Taifa ya England , Jordan Pickford ametumia chupa maalumu ya maji ambayo ilikuwa na majina ya Wachezaji wa klabu ya Manchester City pamoja na upande ambao wanaopendelea kupiga penati.

    Mlinda lango huyo, alifanikiwa kupangua penati ya Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City na Taifa ya Norway Erling Haaland na kuiwezesha klabu yake ya Everton kuondoka na alama moja (1) katika Uwanja wa Etihad ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao (1-1) huku mabao yote mawili (2) yakifungwa kipindi cha kwanza.

    FT': Manchester City 1-1 Everton

    Mlinda lango wa klabu ya Everton na Timu ya Taifa ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿, Jordan Pickford ametumia chupa maalumu ya maji ambayo ilikuwa na majina ya Wachezaji wa klabu ya Manchester City pamoja na upande ambao wanaopendelea kupiga penati. Mlinda lango huyo, alifanikiwa kupangua penati ya Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City na Taifa ya Norway Erling Haaland na kuiwezesha klabu yake ya Everton kuondoka na alama moja (1) katika Uwanja wa Etihad ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao (1-1) huku mabao yote mawili (2) yakifungwa kipindi cha kwanza. FT': Manchester City 1-1 Everton
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·480 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·138 Views
  • Ahmed Ally Vs Ally Kamwe
    Ahmed Ally Vs Ally Kamwe
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·141 Views
  • "Kwa akili ya kawaida tu, timu ya daraja kubwa kama Yanga ambayo imecheza fainali ya Shirikisho Afrika, timu ambayo imecheza robo fainali Klabu bingwa Afrika, timu ambayo ina makombe mengi nchini iende kuifunga Dodoma Jiji halafu uwe na stori tofauti na mpira wa miguu?

    Wakifungwa Yanga na kucheza vibaya, mada huwa ni za mpira wa miguu na huwa tunakubaliana vizuri tu, ila wakicheza vizuri na kushinda Yanga basi mada huwa hazihusu tena mpira wa miguu, utasikia Marefa mara Udhamini hii huwa inafikirisha sana! Yaani una mashaka na quality ya timu kama Yanga?

    Tuupe heshima sana mpira wa miguu." - Farhan JR, Mchambuzi

    "Kwa akili ya kawaida tu, timu ya daraja kubwa kama Yanga ambayo imecheza fainali ya Shirikisho Afrika, timu ambayo imecheza robo fainali Klabu bingwa Afrika, timu ambayo ina makombe mengi nchini iende kuifunga Dodoma Jiji halafu uwe na stori tofauti na mpira wa miguu? Wakifungwa Yanga na kucheza vibaya, mada huwa ni za mpira wa miguu na huwa tunakubaliana vizuri tu, ila wakicheza vizuri na kushinda Yanga basi mada huwa hazihusu tena mpira wa miguu, utasikia Marefa mara Udhamini hii huwa inafikirisha sana😀! Yaani una mashaka na quality ya timu kama Yanga? Tuupe heshima sana mpira wa miguu." - Farhan JR, Mchambuzi
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·594 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·308 Views
  • Bob Marley alikuwa sahihi kabisa aliposema: "Huenda usiwe wake wa kwanza, wa mwisho, au wake pekee.
    Amekupenda na anaweza kupenda tena. Lakini ikiwa anakupenda sasa, ni nini kingine muhimu? Yeye si mkamilifu, na wewe pia, na nyinyi wawili hamtakuwa wakamilifu.
    Ikiwa anaweza kukufanya ucheke angalau mara moja, kukufanya ufikiri mara mbili, na kukubali kuwa u binadamu na kufanya makosa, mshikilie na kumpa yaliyo bora uwezavyo.
    Hatakukariri mashairi, hatakufikiria kila wakati, lakini atakupa sehemu yake ambayo anajua unaweza.
    Usiuvunje moyo wake,Usimdhuru, usimbadilishe, na usitarajie zaidi ya awezavyo kutoa,usimchambue.
    Tabasamu anapokufurahisha, piga kelele anapokukasirisha, na umkose wakati hayupo.
    Penda kwa moyo wako wote unapopokea upendo wake. Kwa sababu hakuna wasichana kamili, lakini daima kutakuwa na msichana mmoja ambaye ni kamili kwako."

    #BobMarley
    Bob Marley alikuwa sahihi kabisa aliposema: "Huenda usiwe wake wa kwanza, wa mwisho, au wake pekee. Amekupenda na anaweza kupenda tena. Lakini ikiwa anakupenda sasa, ni nini kingine muhimu? Yeye si mkamilifu, na wewe pia, na nyinyi wawili hamtakuwa wakamilifu. Ikiwa anaweza kukufanya ucheke angalau mara moja, kukufanya ufikiri mara mbili, na kukubali kuwa u binadamu na kufanya makosa, mshikilie na kumpa yaliyo bora uwezavyo. Hatakukariri mashairi, hatakufikiria kila wakati, lakini atakupa sehemu yake ambayo anajua unaweza. Usiuvunje moyo wake,Usimdhuru, usimbadilishe, na usitarajie zaidi ya awezavyo kutoa,usimchambue. Tabasamu anapokufurahisha, piga kelele anapokukasirisha, na umkose wakati hayupo. Penda kwa moyo wako wote unapopokea upendo wake. Kwa sababu hakuna wasichana kamili, lakini daima kutakuwa na msichana mmoja ambaye ni kamili kwako." #BobMarley
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·610 Views
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·346 Views
  • Love
    Like
    3
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·295 Views ·90
  • “Kocha (Saed Ramovic) ni mkali sana.Hataki ukae na mpira mguuni muda mrefu.Anataka twende mbele kwa kasi yaani gusa tuondoke.Tumeona mabadiliko makubwa sana.Mbinu zake na mifumo yake inataka uwe na pumzi ya kutosha.”

    “Hataki kuona kabisa unakaa na mpira hata sekunde tano.Ukiupata unatakiwa kujua unaupeleka wapi na kwenda kuunda umbo wapi.Kifupi tukabe wote, tufunge wote.“ - Pacome Zouzoua, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
    “Kocha (Saed Ramovic) ni mkali sana.Hataki ukae na mpira mguuni muda mrefu.Anataka twende mbele kwa kasi yaani gusa tuondoke.Tumeona mabadiliko makubwa sana.Mbinu zake na mifumo yake inataka uwe na pumzi ya kutosha.” “Hataki kuona kabisa unakaa na mpira hata sekunde tano.Ukiupata unatakiwa kujua unaupeleka wapi na kwenda kuunda umbo wapi.Kifupi tukabe wote, tufunge wote.“ - Pacome Zouzoua, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·173 Views
  • Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·318 Views