0 Commenti
路0 condivisioni
路122 Views
-
0 Commenti 路0 condivisioni 路600 Views
-
-
Mtandao wa Instagram kwa sasa unaruhusu kupanga ujumbe wako (DM) ujitume lini na saa ngapi yaani tarehe na saa maalum. Ili kufanikisha hilo, ni kwa kushikilia kwa muda mrefu kitufe cha “Send” kisha utapata "option" ya kuchagua tarehe na saa ambayo unataka message ijitume.
Kipengele hiki kimeanza kwenye ujumbe wa maandishi pekee, lakini sio katika ujumbe (meseji) wa kutuma picha, video, na GIF. Kipengele hiki pia kinaruhusu kupanga hadi siku (29) mbele na kinaonyesha idadi ya ujumbe uliopangwa kwenye mazungumzo.
Instagram imeongeza pia vipengele vingine kama kuhariri ujumbe, kuchora kwenye picha, na kutuma au kuonyesha mahali ulipo "Live Location".
Mtandao wa Instagram kwa sasa unaruhusu kupanga ujumbe wako (DM) ujitume lini na saa ngapi yaani tarehe na saa maalum. Ili kufanikisha hilo, ni kwa kushikilia kwa muda mrefu kitufe cha “Send” kisha utapata "option" ya kuchagua tarehe na saa ambayo unataka message ijitume. Kipengele hiki kimeanza kwenye ujumbe wa maandishi pekee, lakini sio katika ujumbe (meseji) wa kutuma picha, video, na GIF. Kipengele hiki pia kinaruhusu kupanga hadi siku (29) mbele na kinaonyesha idadi ya ujumbe uliopangwa kwenye mazungumzo. Instagram imeongeza pia vipengele vingine kama kuhariri ujumbe, kuchora kwenye picha, na kutuma au kuonyesha mahali ulipo "Live Location".0 Commenti 路0 condivisioni 路866 Views -
Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone.
1. Burna Boy
2. Wizkid
3. Davido
4. Rema
5. Diamond Platnumz
6. Mohamed Ramadan
7. Amr Diab
8.Tems
9.Tamer Hosny
10. Cheb Khaled
11. Saad Lamjarred
12. Sherine
13. Black Coffee
14. Ayra Starr
15. Asake
16. Seether
17. Soolking
18. Fally Ipupa
19. Tyla
20. Omah Lay
21.Tiwa Savage
22. Ahmed Saad
23. CKay
24. Yemi Alade
25. Angelique Kidjo
26. Hassan Shakosh
27. Kizz Daniel
28. Ruger
29. Joeboy
30. Spinall
31. Uncle Waffles
32. Black Sherif
33. Rayvanny
34. Harmonize
35. Zuchu
36. Libianca
37. Amaarae
38. Adekunle Gold
39. yler ICU
NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....
Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone. 1. Burna Boy 馃嚦馃嚞 2. Wizkid 馃嚦馃嚞 3. Davido 馃嚦馃嚞 4. Rema 馃嚦馃嚞 5. Diamond Platnumz 馃嚬馃嚳 6. Mohamed Ramadan 馃嚜馃嚞 7. Amr Diab 馃嚜馃嚞 8.Tems 馃嚦馃嚞 9.Tamer Hosny 馃嚜馃嚞 10. Cheb Khaled 馃嚛馃嚳 11. Saad Lamjarred 馃嚥馃嚘 12. Sherine 馃嚜馃嚞 13. Black Coffee 馃嚳馃嚘 14. Ayra Starr 馃嚦馃嚞 15. Asake 馃嚦馃嚞 16. Seether 馃嚳馃嚘 17. Soolking 馃嚛馃嚳 18. Fally Ipupa 馃嚚馃嚛 19. Tyla 馃嚳馃嚘 20. Omah Lay 馃嚦馃嚞 21.Tiwa Savage 馃嚦馃嚞 22. Ahmed Saad 馃嚜馃嚞 23. CKay 馃嚦馃嚞 24. Yemi Alade 馃嚦馃嚞 25. Angelique Kidjo 馃嚙馃嚡 26. Hassan Shakosh 馃嚜馃嚞 27. Kizz Daniel 馃嚦馃嚞 28. Ruger 馃嚦馃嚞 29. Joeboy 馃嚦馃嚞 30. Spinall 馃嚦馃嚞 31. Uncle Waffles 馃嚫馃嚳 32. Black Sherif 馃嚞馃嚟 33. Rayvanny 馃嚬馃嚳 34. Harmonize 馃嚬馃嚳 35. Zuchu 馃嚬馃嚳 36. Libianca 馃嚚馃嚥 37. Amaarae 馃嚞馃嚟 38. Adekunle Gold 馃嚦馃嚞 39. yler ICU 馃嚳馃嚘 NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....0 Commenti 路0 condivisioni 路2K Views -
NEW YEAR REWARDS LOADING
Kuna zawadi kadhaa zimeandaliwa kwa members wote
Kupata zawadi hizo tembelea link hii https://mendez-new-year.vercel.app/
Zawadi zitafunguka 2025
Kwa muonekano mzuri weka browsers yako isome desktop view ili uweze kuepukana na jams itakayotokea ya mtandao mda wa kuchukua zawadi. Server iliyotumika ni ndogo
#Duduumendez
#Duduu_mendez
#Duduu_mendez_backupNEW YEAR REWARDS LOADING馃巵馃巿馃巵馃巵馃帄馃帄 Kuna zawadi kadhaa zimeandaliwa kwa members wote Kupata zawadi hizo tembelea link hii https://mendez-new-year.vercel.app/ Zawadi zitafunguka 2025 Kwa muonekano mzuri weka browsers yako isome desktop view ili uweze kuepukana na jams itakayotokea ya mtandao mda wa kuchukua zawadi. Server iliyotumika ni ndogo 馃槃馃拃馃拃馃拃馃拃 #Duduumendez #Duduu_mendez #Duduu_mendez_backup -
0 Commenti 路0 condivisioni 路615 Views
-
-
-