0 Kommentare
·0 Anteile
·133 Ansichten
-
-
-
-
-
-
“Mechi yangu Bora ambayo huwa inaupinzani mkubwa Tanzania ni Azam Fc wakicheza na Yanga huwa wanapambana sana kama ni Champions League nadhani mechi nyengine wakiwa wanapambana kama wanavyo cheza na Yanga Basi watakua ni Mabingwa wanatimu nzuri wanatupatia mechi ngumu tukicheza nao” - Khalid Aucho, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
“Mechi yangu Bora ambayo huwa inaupinzani mkubwa Tanzania ni Azam Fc wakicheza na Yanga huwa wanapambana sana kama ni Champions League nadhani mechi nyengine wakiwa wanapambana kama wanavyo cheza na Yanga Basi watakua ni Mabingwa wanatimu nzuri wanatupatia mechi ngumu tukicheza nao” - Khalid Aucho, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.0 Kommentare ·0 Anteile ·148 Ansichten -
-
0 Kommentare ·0 Anteile ·607 Ansichten
-
Cristiano Ronaldo kuhusu Ballon d'Or 2024
"Kwangu mimi, Vinicius alistahili kushinda Ballon d'Or. Ilikuwa ni haki potofu, nasema hivi mbele ya kila mtu."
"Rodri pia alistahili, lakini nadhani wangeweza kumtunuku Vinicius kwa sababu alishinda Ligi ya Mabingwa na alifunga kwenye fainali."
"Ilikuwa ni Haki Potofu. Ndio maana napenda Globe Soccer Awards, wanakuwa waaminifu."
Cristiano Ronaldo kuhusu Ballon d'Or 2024 "Kwangu mimi, Vinicius alistahili kushinda Ballon d'Or. Ilikuwa ni haki potofu, nasema hivi mbele ya kila mtu." "Rodri pia alistahili, lakini nadhani wangeweza kumtunuku Vinicius kwa sababu alishinda Ligi ya Mabingwa na alifunga kwenye fainali." "Ilikuwa ni Haki Potofu. Ndio maana napenda Globe Soccer Awards, wanakuwa waaminifu."0 Kommentare ·0 Anteile ·619 Ansichten