نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-01 16:04:57 ·
    Mitandao ya Facebook na Instagram ina mpango wa kuanzisha akaunti zinazotumia teknolojia ya akili bandia (AI). Akaunti hizi zitakuwa na maelezo binafsi (bio), picha za wasifu, na uwezo wa kutengeneza maudhui kwa kutumia AI.

    Kampuni ya Meta imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye teknolojia ya AI, na tayari imezindua zana mbalimbali zinazotumia teknolojia hiyo mfano Watumiaji wanaweza kutumiana ujumbe (kuchat) na Meta AI ndani ya mitandao ya kijamii. Meta imeanza majaribio ya kuruhusu akaunti za AI ambazo zitakuwa kama akaunti za Watumiaji wa kawaida. Instagram na Facebook itakuwa ni mitandao ya AI na Watu wa kawaida wakizungumza (wakichat) na kushirikiana kwa pamoja!

    Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa juu ya athari za akaunti hizi za AI. Zinaweza kuchangia kuenea kwa taarifa za uongo, propaganda, habari za kupotosha, matapeli, na maudhui yasiyo na ubora. Kwa sasa, Watumiaji wengi wa Facebook na Instagram wamekuwa wakiona machapisho yanayopendekezwa ambayo mara nyingine si ya muhimu au yanayochosha.

    Mpango huu umeonyesha mashaka, akaunti hizi za AI zinaweza kuathiri uzoefu wa watumiaji vibaya na kuondoa ule uhalisia wa mitandao kuwa ya kibinadamu. Pia ameonyesha matatizo yaliyopo tayari kwenye maudhui ya AI yaweza kuzidisha changamoto badala ya kuzitatua.

    Akaunti za AI zitakuwa nazo zinaweza kutengeneza picha, caption na kupata followers kama akaunti za watumiaji wa kawaida. Imagine content creator wataanza kushindana na content creator za AI, jambo ambalo litaweza kuibua changamoto nyingine mpya. Hatua hii ipo kwenye majaribio huku Meta ikiangalia utaratibu na sheria mpya.

    Mitandao ya Facebook na Instagram ina mpango wa kuanzisha akaunti zinazotumia teknolojia ya akili bandia (AI). Akaunti hizi zitakuwa na maelezo binafsi (bio), picha za wasifu, na uwezo wa kutengeneza maudhui kwa kutumia AI. Kampuni ya Meta imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye teknolojia ya AI, na tayari imezindua zana mbalimbali zinazotumia teknolojia hiyo mfano Watumiaji wanaweza kutumiana ujumbe (kuchat) na Meta AI ndani ya mitandao ya kijamii. Meta imeanza majaribio ya kuruhusu akaunti za AI ambazo zitakuwa kama akaunti za Watumiaji wa kawaida. Instagram na Facebook itakuwa ni mitandao ya AI na Watu wa kawaida wakizungumza (wakichat) na kushirikiana kwa pamoja! Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa juu ya athari za akaunti hizi za AI. Zinaweza kuchangia kuenea kwa taarifa za uongo, propaganda, habari za kupotosha, matapeli, na maudhui yasiyo na ubora. Kwa sasa, Watumiaji wengi wa Facebook na Instagram wamekuwa wakiona machapisho yanayopendekezwa ambayo mara nyingine si ya muhimu au yanayochosha. Mpango huu umeonyesha mashaka, akaunti hizi za AI zinaweza kuathiri uzoefu wa watumiaji vibaya na kuondoa ule uhalisia wa mitandao kuwa ya kibinadamu. Pia ameonyesha matatizo yaliyopo tayari kwenye maudhui ya AI yaweza kuzidisha changamoto badala ya kuzitatua. Akaunti za AI zitakuwa nazo zinaweza kutengeneza picha, caption na kupata followers kama akaunti za watumiaji wa kawaida. Imagine content creator wataanza kushindana na content creator za AI, jambo ambalo litaweza kuibua changamoto nyingine mpya. Hatua hii ipo kwenye majaribio huku Meta ikiangalia utaratibu na sheria mpya.
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-01 16:06:01 ·
    Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League).

    - Yanga SC 3-1 TP Mazembe
    - Al Hilal 2-1 MC Alger

    Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League). - Yanga SC 3-1 TP Mazembe - Al Hilal 2-1 MC Alger
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·734 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-01 16:06:51 ·
    Klabu za Afrika zilizoshinda mechi nyingi kwenye michezo mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu zao, Kombe la Ligi na kinyang'anyiro cha Afrika nakadhalika.

    - Yanga SC: 38
    - Simba SC: 32

    Klabu za Afrika zilizoshinda mechi nyingi kwenye michezo mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu zao, Kombe la Ligi na kinyang'anyiro cha Afrika nakadhalika. - Yanga SC: 38 - Simba SC: 32
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·203 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Ngombo Mtupori @1809 أضاف صورة
    2025-01-01 16:13:16 ·
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·376 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Katarama Bus @Kataramabus تحديث صورة الملف الشخصي
    2025-01-01 17:14:08 ·
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·326 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Katarama Bus @Kataramabus أضاف صورة
    2025-01-01 17:16:30 ·
    #
    #
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·329 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Katarama Bus @Kataramabus أضاف صورة
    2025-01-01 17:17:14 ·
    @
    @
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·322 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Katarama Bus @Kataramabus أضاف صورة
    2025-01-01 17:22:32 ·
    #
    #
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·345 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • ECHO NOVEMBER @Bonge1 أضاف عرض جديد
    2025-01-01 17:45:24 ·
    Like
    Love
    Yay
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·401 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 أضاف صورة
    2025-01-01 17:50:19 ·
    Ukiondoka Al ahly ya misri, YANGA ndo timu iliyofunga mechi nyingi kwa mwaka 2024 mechi 38 na hapo pira gusa achia Bado halijaingia nchini .

    N.B, kwenye hizo mechi 38, my wetu kachangia mechi 2

    Ukiondoka Al ahly ya misri, YANGA ndo timu iliyofunga mechi nyingi kwa mwaka 2024 mechi 38 na hapo pira gusa achia Bado halijaingia nchini 😀. N.B, kwenye hizo mechi 38, my wetu kachangia mechi 2😀
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·235 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (20271-20280 من 28213)
  • «
  • السابق
  • 2026
  • 2027
  • 2028
  • 2029
  • 2030
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين