·35 Vue
Annuaire
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho hakitovumilia dalili zozote za rushwa kwa wanachama, viongozi au mawakala kwenye uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Januari mwaka huu.
#neliudcosiah
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho hakitovumilia dalili zozote za rushwa kwa wanachama, viongozi au mawakala kwenye uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Januari mwaka huu. #neliudcosiah·27 Vue -
*Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa mwongozo kuelekea uchaguzi wa chama hicho kuwa hatua inayofuata kwa sasa ni usaili na uteuzi wa wagombea ambapo wagombea wanaogombea nafasi za chama wanapaswa wafike makao makuu ya chama hicho Januari 19, 2025 ili Kamati Kuu kufanya kazi ya usaili na uteuzi wa wagombea kwa mujibu wa kanuni, katiba, maadili na itifaki ya chama.*
#neliudcosiah
*Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa mwongozo kuelekea uchaguzi wa chama hicho kuwa hatua inayofuata kwa sasa ni usaili na uteuzi wa wagombea ambapo wagombea wanaogombea nafasi za chama wanapaswa wafike makao makuu ya chama hicho Januari 19, 2025 ili Kamati Kuu kufanya kazi ya usaili na uteuzi wa wagombea kwa mujibu wa kanuni, katiba, maadili na itifaki ya chama.* #neliudcosiah·74 Vue -
NAMNA KUPATA BAADHI YA TIPS NA ELIMU MBALIMBALI ZA KIMTANDAO KWENYE WEBSITE YA MENDEZ
Fungua website https://mendez-website.vercel.app/
LOGIN kama ni mgeni register kwanza
START NOW
Chagua Premium
Chagua FREE TIPS
huko kuna post nyingi zinazohusu mambo mbalimbali na hacking tips kadhaa
#Duduumendez
#Duduu_mendez
#Duduu_mendez_backupNAMNA KUPATA BAADHI YA TIPS NA ELIMU MBALIMBALI ZA KIMTANDAO KWENYE WEBSITE YA MENDEZ Fungua website https://mendez-website.vercel.app/ LOGIN kama ni mgeni register kwanza START NOW Chagua Premium Chagua FREE TIPS huko kuna post nyingi zinazohusu mambo mbalimbali na hacking tips kadhaa #Duduumendez #Duduu_mendez #Duduu_mendez_backup·39 Vue -
*'Wafanyabiashara na uongozi wa Soko la Job Ndugai lililopo jijini Dodoma, wameziomba mamlaka husika kusaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa wateja katika soko hilo huku wakitoa ushauri wa baadhi ya mambo ya kufanya.
#neliudcosiah
*'Wafanyabiashara na uongozi wa Soko la Job Ndugai lililopo jijini Dodoma, wameziomba mamlaka husika kusaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa wateja katika soko hilo huku wakitoa ushauri wa baadhi ya mambo ya kufanya. #neliudcosiah·33 Vue -
Ikiwa siku moja hutanisikia tena, tafadhali kumbuka hili- nilikupenda kwa kila kitu nilichokuwa nacho. Nilikufanya kuwa kipaumbele changu kwa njia ambazo sikuwahi kufikiria ningeweza kwa mtu.
Nilikuwa na njia nyingi sana za kuchukua, watu wengi sana ambao ningeweza kuwachagua, lakini kati ya chaguzi hizo zote, bado nilikuchagua wewe. Nilikaa, ingawa nilijua hautafanya vivyo hivyo. Na hatimaye nitakapoamua kuondoka, natumai kutokuwepo kwangu kutakuletea amani ambayo uwepo wangu haungeweza kamwe. Upendo wangu haukuwa kamili, lakini ulikuwa wa kweli. Na hata sasa, ninapoachilia, sehemu yangu itatumaini kila wakati kuwa utapata furaha ambayo hukupata kwangu!Ikiwa siku moja hutanisikia tena, tafadhali kumbuka hili- nilikupenda kwa kila kitu nilichokuwa nacho. Nilikufanya kuwa kipaumbele changu kwa njia ambazo sikuwahi kufikiria ningeweza kwa mtu. Nilikuwa na njia nyingi sana za kuchukua, watu wengi sana ambao ningeweza kuwachagua, lakini kati ya chaguzi hizo zote, bado nilikuchagua wewe. Nilikaa, ingawa nilijua hautafanya vivyo hivyo. Na hatimaye nitakapoamua kuondoka, natumai kutokuwepo kwangu kutakuletea amani ambayo uwepo wangu haungeweza kamwe. Upendo wangu haukuwa kamili, lakini ulikuwa wa kweli. Na hata sasa, ninapoachilia, sehemu yangu itatumaini kila wakati kuwa utapata furaha ambayo hukupata kwangu!1 Commentaires ·15 Vue