Upgrade to Pro

  • #JEWAJUA
    Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 )

    Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga.

    Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
    #JEWAJUA Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 ) Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga. Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
    Like
    1
    ·127 Views
  • Yanga African
    Yanga African
    Love
    1
    ·13 Views ·16 Views
  • 🔥🔥🔥🙏🔥🔥
    Love
    1
    ·11 Views ·16 Views
  • Kauli gani ulishawahi kuambiwa na mtu unayempenda na ikakuumiza?
    Kauli gani ulishawahi kuambiwa na mtu unayempenda na ikakuumiza?
    Love
    1
    ·21 Views
  • ·9 Views
  • ·16 Views
  • ·16 Views
  • ·16 Views
  • Hujambo kaka...Mie jina langu Mike kutoka Nairobi Kenya natafuta mchumba kwa mahusiano ambayo yatatuelekeza kwenye ndoa.Nina umri wa miaka 30 hivi awe na umri sawa na wangu au awe mdogo kwangu.Nambari yangu ya whatsapp ni +254713168463.
    Hujambo kaka...Mie jina langu Mike kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪 natafuta mchumba kwa mahusiano ambayo yatatuelekeza kwenye ndoa.Nina umri wa miaka 30 hivi awe na umri sawa na wangu au awe mdogo kwangu.Nambari yangu ya whatsapp ni +254713168463.
    Like
    Love
    2
    1 Comments ·43 Views
  • Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) bila ruhusa.

    Hata hivyo, mshtakiwa alipopewa nafasi ya kujitetetea kwanini asipewe adhabu; aliomba mahakama hiyo imuachie huru kwa kuwa ni mkosaji wa mara ya kwanza na alivaa ili akubaliwe na mchumba wake.

    Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) bila ruhusa. Hata hivyo, mshtakiwa alipopewa nafasi ya kujitetetea kwanini asipewe adhabu; aliomba mahakama hiyo imuachie huru kwa kuwa ni mkosaji wa mara ya kwanza na alivaa ili akubaliwe na mchumba wake.
    Like
    1
    2 Comments ·41 Views