• Kwenye Squid Game Season 2 Episode ya mwisho tuseme sijui Director alijisahau au sijui ilikuwaje
    Kwenye Ile scene ambapo baadhi ya wachezaji wa squid Game na Askari wakiwa wanarushiana risasi,,Cameraman naye akaonekana bhana akiwa anashoot uyo hapo chini niliyemzungushia duara.
    Ndo tuseme walijisahau au na wao walinogewa na hayo mapambano.
    Kumbe sio bongo 2 bhana hata Kwa wenzetu wanakosea unaweza ukaona ni kosa dogo sana lkn Critics wa movie wakiliona ni kubwa sana,ata director anaweza kukosa tuzo hapo

    Kwenye Squid Game Season 2 Episode ya mwisho tuseme sijui Director alijisahau au sijui ilikuwaje馃槂 Kwenye Ile scene ambapo baadhi ya wachezaji wa squid Game na Askari wakiwa wanarushiana risasi,,Cameraman naye akaonekana bhana akiwa anashoot 馃槀馃槀 uyo hapo chini niliyemzungushia duara馃馃槄. Ndo tuseme walijisahau au na wao walinogewa na hayo mapambano. Kumbe sio bongo 2 bhana hata Kwa wenzetu wanakosea unaweza ukaona ni kosa dogo sana lkn Critics wa movie wakiliona ni kubwa sana,ata director anaweza kukosa tuzo hapo馃槀馃槀
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Itakuchukua miaka kati ya 1,000 hadi 60,000 ili umalize video zote zilizopo kwenye youtube

    Hapo unaangalia mfululizo huku youtube ikistopisha ku upload videos nyengine

    Tofauti na hapo huwezi kuzimaliza
    Itakuchukua miaka kati ya 1,000 hadi 60,000 ili umalize video zote zilizopo kwenye youtube Hapo unaangalia mfululizo huku youtube ikistopisha ku upload videos nyengine Tofauti na hapo huwezi kuzimaliza
    0 Commenti 0 condivisioni 681 Views
  • Mchezo wa kitaifa wa Uingereza ni Kriketi na sio Mpira wa Miguu. Mpira wa Miguu ni mchezo pendwa/maarufu nchini humo, Licha ya Kriketi kuwa mchezo wa Kitaifa lakini hakuna timu ya taifa kama ilivyo kwenye soka bali timu ya taifa hutengenezwa kwa kuungana na nchi ya Wales.
    Mchezo wa kitaifa wa Uingereza ni Kriketi na sio Mpira wa Miguu. Mpira wa Miguu ni mchezo pendwa/maarufu nchini humo, Licha ya Kriketi kuwa mchezo wa Kitaifa lakini hakuna timu ya taifa kama ilivyo kwenye soka bali timu ya taifa hutengenezwa kwa kuungana na nchi ya Wales.
    0 Commenti 0 condivisioni 164 Views
  • USICHOJUA KUHUSU WANAOTUMIA MASHOTO

    Mashoto ni watu waliokithiri katika utumiaji wa mkono wa kushoto

    Sasa leo nakujuza juu ya watu wanaotumia mkono wa kushoto

    1. Zaidi ya watu 836, 000, 000 wanatumia mkono wa kushoto duniani....ambapo ni sawa na asilimia kati ya 8 hadi 15 ya watu wote duniani....kumbuka hadi sasa hivi kuna watu bilion 7 duniani

    2. Wanaitumia mikono ya kushoto wengi wao ni wanaume

    3. Katika tafiti zilizofanyika hakuna iliyokuja na jibu la moja kwa moja ni kwa nini kuwa watu wengi wanatumia mkono wa kulia kuliko wa kushoto....lakini baadhi ya wataalamu walisema kuwa sehemu kubwa ya akili inatawala upande wa kulia

    4. Tar 13 mwezi 8 kila mwaka ni siku ya watu wanaotukia mkono wa kushoto duniani ....ambapi siku hiyo inatumika kuielimisha jamii juu ya matumuzi ya mkono wa kushoto na kutoa yale mawazo mabaya juu ya wanaotumia mkono wa kushoto...hapa Tanzania huwa wanauita mkonk wa shetani au mkono wa mavi kitu ambacho kwa namna moja au nyengine huweza kumuathiri mtu aliyezaliwa akiwa anatumia mkono wa kushoto....na pia kuna klabu ya watu wanaotumua mkono wa kushoto duniani (LEFT HANDERS CLUB)

    5. Wanaotumia mkono wa kushoto huwa wanapenda sana pombe

    6. Wanaotumia mkono wa kushoto huwa na akili sana kuliko wanaotumua mkono wa kulia

    7. Huwa ni wagumu katika kujifunza lugha

    8. Wanauwezo wakufanya kazi zaidi ya moja (mult-tasking) na pia wana uwezo wa kukumbuka zaidi

    9. Wanaishi maisha mafupi zaidi ya wanaotumia mkono wa kulia... Wanaotumia mkono wa kulia wanaishi miaka 9 zaidi ya wanaotumia mkono wa kushoto

    10. Wanauwezo wa kupona ugonjwa wa kupooza (stroke) haraka zaidi ya wanaotumia mkono wa kulia

    11. Ni wazuri zaidi kwenye masuala ya michezo....kwa mfano asilimia 40 ya wachezaji bora wa tenis duniani wanatumia mkono wa kushoto

    12. Watu wanaotumia mkono wa kushoto ni wabunifu zaidi ya wanaotumia mkono wa kulia

    13. Kama ulikuwa hujui Kucha za mkono wa kushoto hukua zaidi ya mkono wa kulia

    14. Hawa ndio watu maarufu wanaotumia mkonobwa kushoto... Amitha bachan,.. Charlie Chaplin, Angelina Jolie , Brad Pitt , Rambo, celine Dion, Aristotle, Albert Eistein , Napoleon Bornaparte, Julius Cesar, Neil Armstrong .. Boby Charlton, Pele, Maradona , Barack Obama, Bill Clinton, Justin Bieber
    USICHOJUA KUHUSU WANAOTUMIA MASHOTO Mashoto ni watu waliokithiri katika utumiaji wa mkono wa kushoto Sasa leo nakujuza juu ya watu wanaotumia mkono wa kushoto 1. Zaidi ya watu 836, 000, 000 wanatumia mkono wa kushoto duniani....ambapo ni sawa na asilimia kati ya 8 hadi 15 ya watu wote duniani....kumbuka hadi sasa hivi kuna watu bilion 7 duniani 2. Wanaitumia mikono ya kushoto wengi wao ni wanaume 3. Katika tafiti zilizofanyika hakuna iliyokuja na jibu la moja kwa moja ni kwa nini kuwa watu wengi wanatumia mkono wa kulia kuliko wa kushoto....lakini baadhi ya wataalamu walisema kuwa sehemu kubwa ya akili inatawala upande wa kulia 4. Tar 13 mwezi 8 kila mwaka ni siku ya watu wanaotukia mkono wa kushoto duniani ....ambapi siku hiyo inatumika kuielimisha jamii juu ya matumuzi ya mkono wa kushoto na kutoa yale mawazo mabaya juu ya wanaotumia mkono wa kushoto...hapa Tanzania huwa wanauita mkonk wa shetani au mkono wa mavi kitu ambacho kwa namna moja au nyengine huweza kumuathiri mtu aliyezaliwa akiwa anatumia mkono wa kushoto....na pia kuna klabu ya watu wanaotumua mkono wa kushoto duniani (LEFT HANDERS CLUB) 5. Wanaotumia mkono wa kushoto huwa wanapenda sana pombe 6. Wanaotumia mkono wa kushoto huwa na akili sana kuliko wanaotumua mkono wa kulia 7. Huwa ni wagumu katika kujifunza lugha 8. Wanauwezo wakufanya kazi zaidi ya moja (mult-tasking) na pia wana uwezo wa kukumbuka zaidi 9. Wanaishi maisha mafupi zaidi ya wanaotumia mkono wa kulia... Wanaotumia mkono wa kulia wanaishi miaka 9 zaidi ya wanaotumia mkono wa kushoto 10. Wanauwezo wa kupona ugonjwa wa kupooza (stroke) haraka zaidi ya wanaotumia mkono wa kulia 11. Ni wazuri zaidi kwenye masuala ya michezo....kwa mfano asilimia 40 ya wachezaji bora wa tenis duniani wanatumia mkono wa kushoto 12. Watu wanaotumia mkono wa kushoto ni wabunifu zaidi ya wanaotumia mkono wa kulia 13. Kama ulikuwa hujui Kucha za mkono wa kushoto hukua zaidi ya mkono wa kulia 14. Hawa ndio watu maarufu wanaotumia mkonobwa kushoto... Amitha bachan,.. Charlie Chaplin, Angelina Jolie , Brad Pitt , Rambo, celine Dion, Aristotle, Albert Eistein , Napoleon Bornaparte, Julius Cesar, Neil Armstrong .. Boby Charlton, Pele, Maradona , Barack Obama, Bill Clinton, Justin Bieber
    0 Commenti 0 condivisioni 656 Views
  • Like
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 138 Views
  • IJUE NCHI YA LUXEMBOURG

    1. kuanzia tar 1/3/2020 luxembourge ndio itakuwa nchi ya kwanza ambayo haulipii nauli unapotaka kusafiri...yaan utapanda gari bure, treni bure.....ukumbuke asilimia 60 ya wakazi wa nchi hiyo wanamiliki magari...na asilimia 19 tu ya raia ndio wanatumia usafiri wa umma

    2) Waziri mkuu wa Luxembourge ...ndio waziri mkuu wa kwanza kuoana na mwanaume mwenzie.......waziri mkuu huyo anaitwa Xavier Bettel alioana na Gauthier Destenay (huyu ni mhandisi wa majengo kutoka ubelgiji)

    3) Luxembourge ndio nchi inayotoa mishahara mikubwa zaidi katika nchi za ulaya ambapo mfanyakazi analipwa EUR 1,923 kama kima cha chini ambapo ukiibadilisha kwa hela ya tanzania ni sh milion 4 na laki 8 ....lakini asilimia kubwa ya raia wake hawaishi nchini mwao bali wanaishi katika nchi za jirani kama ufaransa, ubelgiji na ujerumani....hivyo karibia nusu ya wafanyakazi hutokea nchi hizo za ujreruman, ufaransa na ubelgiji

    4) Nchi ya luxembourge ndio nchi tajiri namba 2 duniani

    5) Luxembourge ndio nchi salama zaidi duniani

    6) Luxembourge ni miongoni mwa nchi ndogo zaidi duniani na ndio nchi yenye wakazi wachache zaidi katika nchi za ulaya ....ambapo hadi kufikia 2015 kulikuwa na wakazi 563,000

    7) asilimia 87 ya raia wa luxembourge ni wakatoliki
    IJUE NCHI YA LUXEMBOURG 1. kuanzia tar 1/3/2020 luxembourge ndio itakuwa nchi ya kwanza ambayo haulipii nauli unapotaka kusafiri...yaan utapanda gari bure, treni bure.....ukumbuke asilimia 60 ya wakazi wa nchi hiyo wanamiliki magari...na asilimia 19 tu ya raia ndio wanatumia usafiri wa umma 2) Waziri mkuu wa Luxembourge ...ndio waziri mkuu wa kwanza kuoana na mwanaume mwenzie.......waziri mkuu huyo anaitwa Xavier Bettel alioana na Gauthier Destenay (huyu ni mhandisi wa majengo kutoka ubelgiji) 3) Luxembourge ndio nchi inayotoa mishahara mikubwa zaidi katika nchi za ulaya ambapo mfanyakazi analipwa EUR 1,923 kama kima cha chini ambapo ukiibadilisha kwa hela ya tanzania ni sh milion 4 na laki 8 ....lakini asilimia kubwa ya raia wake hawaishi nchini mwao bali wanaishi katika nchi za jirani kama ufaransa, ubelgiji na ujerumani....hivyo karibia nusu ya wafanyakazi hutokea nchi hizo za ujreruman, ufaransa na ubelgiji 4) Nchi ya luxembourge ndio nchi tajiri namba 2 duniani 5) Luxembourge ndio nchi salama zaidi duniani 6) Luxembourge ni miongoni mwa nchi ndogo zaidi duniani na ndio nchi yenye wakazi wachache zaidi katika nchi za ulaya ....ambapo hadi kufikia 2015 kulikuwa na wakazi 563,000 7) asilimia 87 ya raia wa luxembourge ni wakatoliki
    0 Commenti 0 condivisioni 333 Views
  • WANAUME MNAKWAMA HAPA

    1. Chezea matiti ya mkeo, lakini usiuchezee moyo wake.

    2. Ufungue moyo wa mkeo, lakini usiyafungue makovu yake.

    3. Zifiche siri za mkeo, lakini usimfiche siri mkeo.

    4. Yapige matatizo ya mkeo, lakini usimpige mkeo.

    5. Msaidie kufanya maamuzi, lakini usimhukumu.

    6. Itanue na uisambaze miguu yake, lakini usimsambazie magonjwa na maradhi ya zinaa.

    7. Mtanie, lakini usimfanye kuwa kituko kwa watu wengine.

    8. Cheka naye, lakini usimcheke.

    9. Yanyonye matiti yake, lakini usiyanyonye maisha yake.

    10. Mfanye apige kelele kitandani wakati wa mahaba, lakini usimfanye akapiga kelele kutokana na msongo na kipigo.

    11. Ipoze hasira na ghadhabu yake, lakini usiikandamize sauti na maoni yake.

    12. Mfanye atoe chozi la furaha, usimfanye atoe chozi la kifo cha penzi lako.
    #mwananzengo
    #jewajua
    WANAUME MNAKWAMA HAPA 1. Chezea matiti ya mkeo, lakini usiuchezee moyo wake. 2. Ufungue moyo wa mkeo, lakini usiyafungue makovu yake. 3. Zifiche siri za mkeo, lakini usimfiche siri mkeo. 4. Yapige matatizo ya mkeo, lakini usimpige mkeo. 5. Msaidie kufanya maamuzi, lakini usimhukumu. 6. Itanue na uisambaze miguu yake, lakini usimsambazie magonjwa na maradhi ya zinaa. 7. Mtanie, lakini usimfanye kuwa kituko kwa watu wengine. 8. Cheka naye, lakini usimcheke. 9. Yanyonye matiti yake, lakini usiyanyonye maisha yake. 10. Mfanye apige kelele kitandani wakati wa mahaba, lakini usimfanye akapiga kelele kutokana na msongo na kipigo. 11. Ipoze hasira na ghadhabu yake, lakini usiikandamize sauti na maoni yake. 12. Mfanye atoe chozi la furaha, usimfanye atoe chozi la kifo cha penzi lako. #mwananzengo #jewajua
    Like
    1
    1 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • HII KITAALAMU TUNAIITAJE

    Mnamo 1993, Sevilla walipoteza uongozi wao mbele ya Barcelona baada ya kuruhusu mabao mawili ndani ya dakika moja. Kocha wa Sevilla, Bilardo, alikasirika na alitaka kuwafundisha somo wachezaji wake.

    Asubuhi iliyofuata, Bilardo alileta watoto 11 kutoka timu ya chini ya miaka 10 na kuwataka kucheza dhidi ya wachezaji wake. Aliwaambia wachezaji wake wacheze kwa umakini, kana kwamba wanakabiliana na timu ya watu wazima. Baada ya chini ya dakika moja, timu ya wakubwa ilifunga bao. Dakika ya kwanza ilipomalizika, Bilardo akapuliza kipyenga chake na kumaliza mechi.

    Aliipongeza timu ya watoto na kisha akawakusanya wachezaji wake katikati ya duara, akisema kwa hasira: "Umeona, nyie wahuni?! Hata timu ya watoto hairuhusu mabao mawili kwa dakika moja!"

    HII KITAALAMU TUNAIITAJE馃榾 馃敊 Mnamo 1993, Sevilla walipoteza uongozi wao mbele ya Barcelona baada ya kuruhusu mabao mawili ndani ya dakika moja. Kocha wa Sevilla, Bilardo, alikasirika na alitaka kuwafundisha somo wachezaji wake. Asubuhi iliyofuata, Bilardo alileta watoto 11 kutoka timu ya chini ya miaka 10 na kuwataka kucheza dhidi ya wachezaji wake. Aliwaambia wachezaji wake wacheze kwa umakini, kana kwamba wanakabiliana na timu ya watu wazima. Baada ya chini ya dakika moja, timu ya wakubwa ilifunga bao. Dakika ya kwanza ilipomalizika, Bilardo akapuliza kipyenga chake na kumaliza mechi. Aliipongeza timu ya watoto na kisha akawakusanya wachezaji wake katikati ya duara, akisema kwa hasira: "Umeona, nyie wahuni?! Hata timu ya watoto hairuhusu mabao mawili kwa dakika moja!" 馃槀馃拃
    Like
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 412 Views
  • Mrs Feodol Vasslyev alizaliwa mwaka 1707 Shurya nchini Urusi. Ni mwanamke aliyeshika rekodi ya kuzaa watoto wengi zaidi duniani watoto 69 na ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia GUINNESS
    Alizaa mapacha wawili Mara 16, watatu ×7 na wanne ×4

    Mrs Feodol Vasslyev alizaliwa mwaka 1707 Shurya nchini Urusi. Ni mwanamke aliyeshika rekodi ya kuzaa watoto wengi zaidi duniani watoto 69 na ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia GUINNESS Alizaa mapacha wawili Mara 16, watatu ×7 na wanne ×4
    0 Commenti 0 condivisioni 275 Views
  • JE NI RANGI GANI UNAIONA UKIFUMBA MACHO??

    watu wengi wanajua kuwa wakifumba macho wanaiona rangi nyeusi lakini ukweli unayoiona sio rangi nyeusi

    Rangi unayoiona inaitwa EIGENGRAU
    JE NI RANGI GANI UNAIONA UKIFUMBA MACHO?? watu wengi wanajua kuwa wakifumba macho wanaiona rangi nyeusi lakini ukweli unayoiona sio rangi nyeusi Rangi unayoiona inaitwa EIGENGRAU
    0 Commenti 0 condivisioni 141 Views